Dr. Slaa hajaacha siasa, ashughulikiwe kisiasa

Wakuu natanguliza salamu

Baada ya salamu nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu , Mwanachama wa ccm aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa ameletwa maalum kuja kutumikia chama chake , hakuacha siasa kama alivyodanganya umma Serena Hotel alipopitishwa mlango wa uani na watu wasiojulikana ili kuvuruga UKAWA.

Ni muongo , nimemsikiliza akizungumzia Shambulio la Lissu katika Lugha ya kinafiki ambayo sisi wengine tulijiuliza kama kweli mtu huyu aliwahi kuwa Askofu wa kanisa lolote .

Kwa wale wengi mliomheshimu huyu mzee kama mimi nilivyomheshimu , wakati wa kusitisha heshima ile umefika , kwa vile kishaamua kurejea kwenye siasa za chama cha Mapinduzi basi achambuliwe kisiasa , kama wanavyochambuliwa akina Polepole , Lusinde , Juliana Shonza nk.

Naomba kuwasilisha .
Mkuu
Frankly speaking
Huyu mzee kama n mapunguf mengine anayo
But n mmoja wa magwij wa siasa za upinzan Tanzania
Huwez kumlinganisha Dkt. Slaa na wapuuz wengine wa 'polikick' wa sasa
The man aliibua vya kuibuliwa na kuvinad vya kuvinad
Unaweza kuzungumzia siasa tanzania bila kumtaja huyu mzee???
Kama n kijana bx kuwa na adab kwa huyu tupge goti kwake tujifunze vingi.
Otherwise the man's history wl live in books for later generation.

Hakuna kizur kiso kasoro.
Mnyonge mnyongen haki yake mpen.
 
Wakuu natanguliza salamu

Baada ya salamu nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu , Mwanachama wa ccm aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa ameletwa maalum kuja kutumikia chama chake , hakuacha siasa kama alivyodanganya umma Serena Hotel alipopitishwa mlango wa uani na watu wasiojulikana ili kuvuruga UKAWA.

Ni muongo , nimemsikiliza akizungumzia Shambulio la Lissu katika Lugha ya kinafiki ambayo sisi wengine tulijiuliza kama kweli mtu huyu aliwahi kuwa Askofu wa kanisa lolote .

Kwa wale wengi mliomheshimu huyu mzee kama mimi nilivyomheshimu , wakati wa kusitisha heshima ile umefika , kwa vile kishaamua kurejea kwenye siasa za chama cha Mapinduzi basi achambuliwe kisiasa , kama wanavyochambuliwa akina Polepole , Lusinde , Juliana Shonza nk.

Naomba kuwasilisha .
Tamko kuu la Slaa ni kwamba ameacha party politics ambayo kwangu mimi huendana na siasa za majukwaa. Lakini pia kama mtanzania yeyote ana haki ya kutoa maoni yake kisiasa au juu ya siasa za nchi yake. Slaa ametoka CDM hakujiunga na CCM wala chama kingine. Huko mbele hatujui ni uhuru wake.
Wengi hawakufurahi jinsi alivyo ongelea kuhusu Tundu Lisu lakini pia aliongelea kuhusu mahusiano yake na Mbowe. Ukimsikiliza kwa umakini utaona mbele yake kuna CDM mbili ile aliyekuwepo (ambayo ana i miss) na hii yiliyopo baada ya yeye kutoka. Na pia serikali ya JPM imeamua kufanya nae kazi na yeye amekubali mchana kweupe (anafamilia ya kulisha na anaamini bado ana mchango kwa Tanzania hii). Ukichanganya na maneno na matusi tuliyompa na matamko ya Lisu kuhusu Slaa, hakuna cha kushangaza kwamba line anayochukua kwenye hili ni sawa na ile ya serikali.

Kuna ushauri ametoa kwa upinzani Tanzania cha kufurahisha hakuna anaejadili ule ushauri tumeliona hili la Lissu tu. Mungu hajawahi kushindwa na Lissu tunamuombea apone lakini ili Lisu na CDM wajenge upinzani imara-maneno au ushauri wa Slaa si wa kupuuza.
 
Kipindi kile amepigwa mke wake kule Arusha alisemaje kweli, maana kipindi hicho alikuwa katibu mkuu chadema
 
Muacheni Slaa afanye kazi aliopewa ya ubalozi
Chadema hamuwezi kupambana na Dr.Slaa,atawamaliza kirahisi sana msambaratike,mna mambo mengi ya kufanya lama vile nani asimame 2020 kati ya Lowassa na lissu kuliko kukimbizana na mtu asiwahusu.Tatizo lenu hampendi habari hasi dhidi yenu,mkipewa dola mtakata watu vichwa hadharani
 
Nakushukuru kwa kuandika " kwa adabu " mengine niyaache kwanza ila nataka nikuambie hivi , na hili ulijue , HAKUNA BALOZI YEYOTE WA TANZANIA KWENDA NCHI YEYOTE AMBAYE SI MWANACCM .
 
Wakuu natanguliza salamu

Baada ya salamu nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu , Mwanachama wa ccm aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa ameletwa maalum kuja kutumikia chama chake , hakuacha siasa kama alivyodanganya umma Serena Hotel alipopitishwa mlango wa uani na watu wasiojulikana ili kuvuruga UKAWA.

Ni muongo , nimemsikiliza akizungumzia Shambulio la Lissu katika Lugha ya kinafiki ambayo sisi wengine tulijiuliza kama kweli mtu huyu aliwahi kuwa Askofu wa kanisa lolote .

Kwa wale wengi mliomheshimu huyu mzee kama mimi nilivyomheshimu , wakati wa kusitisha heshima ile umefika , kwa vile kishaamua kurejea kwenye siasa za chama cha Mapinduzi basi achambuliwe kisiasa , kama wanavyochambuliwa akina Polepole , Lusinde , Juliana Shonza nk.

Naomba kuwasilisha .
Siku ukimuona Lissu upande wa pili ndipo utakapojua hakuna anaeihitaji heshima yako.

Kila mtu anasimamia kile anachokiamini na sio kulinda heshima ya watu wengine.
 
Karibu sana JF Ingizo jipya , mnamiminika tu kama maji .
 
Muacheni Slaa afanye kazi aliopewa ya ubalozi
Chadema hamuwezi kupambana na Dr.Slaa,atawamaliza kirahisi sana msambaratike,mna mambo mengi ya kufanya lama vile nani asimame 2020 kati ya Lowassa na lissu kuliko kukimbizana na mtu asiwahusu.Tatizo lenu hampendi habari hasi dhidi yenu,mkipewa dola mtakata watu vichwa hadharani
Usaliti ni laana .
 
Mnaangaika naye huyo?! Dr.Slaa ni kama Dr.Shika tu, atapewa promo atajimaliza mwenyewe.
 
Wakuu natanguliza salamu

Baada ya salamu nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu , Mwanachama wa ccm aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa ameletwa maalum kuja kutumikia chama chake , hakuacha siasa kama alivyodanganya umma Serena Hotel alipopitishwa mlango wa uani na watu wasiojulikana ili kuvuruga UKAWA.

Ni muongo , nimemsikiliza akizungumzia Shambulio la Lissu katika Lugha ya kinafiki ambayo sisi wengine tulijiuliza kama kweli mtu huyu aliwahi kuwa Askofu wa kanisa lolote .

Kwa wale wengi mliomheshimu huyu mzee kama mimi nilivyomheshimu , wakati wa kusitisha heshima ile umefika , kwa vile kishaamua kurejea kwenye siasa za chama cha Mapinduzi basi achambuliwe kisiasa , kama wanavyochambuliwa akina Polepole , Lusinde , Juliana Shonza nk.

Naomba kuwasilisha .
 
Wakuu natanguliza salamu

Baada ya salamu nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu , Mwanachama wa ccm aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa ameletwa maalum kuja kutumikia chama chake , hakuacha siasa kama alivyodanganya umma Serena Hotel alipopitishwa mlango wa uani na watu wasiojulikana ili kuvuruga UKAWA.

Ni muongo , nimemsikiliza akizungumzia Shambulio la Lissu katika Lugha ya kinafiki ambayo sisi wengine tulijiuliza kama kweli mtu huyu aliwahi kuwa Askofu wa kanisa lolote .

Kwa wale wengi mliomheshimu huyu mzee kama mimi nilivyomheshimu , wakati wa kusitisha heshima ile umefika , kwa vile kishaamua kurejea kwenye siasa za chama cha Mapinduzi basi achambuliwe kisiasa , kama wanavyochambuliwa akina Polepole , Lusinde , Juliana Shonza nk.

Naomba kuwasilisha .
Katika hili nadhani ni muhimu Chadema ndiyo ishughulikiwe na watanzania kwa viongozi wake kukubali kumpa nafasi mwana CCM Dk Slaa kuwa mbunge kwa misimu mitatu.

Kuwa makamu Mwenyekiti na hatimaye katibu mkuu wa chama na mgombea Urais wa Chadema.

Katika mazingira hayo wa kushughulikiwa ni viongozi wa Chadema waliowahadaa wananchi kwa kumpa nafasi dk huku wakijua ni mwana CCM

Ukimshughulikia Dk Utakuwa hjatatua tatizo kwa kuwa sasa chama kimekabidhiwa kwa mwana CCM Mwingine Lowassa
 
kuna dude mnalifuga hapo ndani mmeshndwa kulishugulikia mnahangaika na dr slaa ambye hayupo kwnye sytem yenu,zaid zaid anawapa ushauri mzuri km jana ulimsikiliza vizur tatzo lenu mmejawa na chuki na hasira ndyo mana hamumwelewi dr slaa.mange ameshawapa alarm kwa luwasa ni dude mda wote litawameza nakuna ishara mmeshaona alipoenda kw mkulu mlijaribu kupiga kelele tokeo lake wote mlipgwa mkwara mpaka na chair wenu mbowe
 
Tamko kuu la Slaa ni kwamba ameacha party politics ambayo kwangu mimi huendana na siasa za majukwaa. Lakini pia kama mtanzania yeyote ana haki ya kutoa maoni yake kisiasa au juu ya siasa za nchi yake. Slaa ametoka CDM hakujiunga na CCM wala chama kingine. Huko mbele hatujui ni uhuru wake.
Wengi hawakufurahi jinsi alivyo ongelea kuhusu Tundu Lisu lakini pia aliongelea kuhusu mahusiano yake na Mbowe. Ukimsikiliza kwa umakini utaona mbele yake kuna CDM mbili ile aliyekuwepo (ambayo ana i miss) na hii yiliyopo baada ya yeye kutoka. Na pia serikali ya JPM imeamua kufanya nae kazi na yeye amekubali mchana kweupe (anafamilia ya kulisha na anaamini bado ana mchango kwa Tanzania hii). Ukichanganya na maneno na matusi tuliyompa na matamko ya Lisu kuhusu Slaa, hakuna cha kushangaza kwamba line anayochukua kwenye hili ni sawa na ile ya serikali.

Kuna ushauri ametoa kwa upinzani Tanzania cha kufurahisha hakuna anaejadili ule ushauri tumeliona hili la Lissu tu. Mungu hajawahi kushindwa na Lissu tunamuombea apone lakini ili Lisu na CDM wajenge upinzani imara-maneno au ushauri wa Slaa si wa kupuuza.
Mkuu
Ndo mana tunakosa malegendar kwny siasa zetu
Haiwezekan mtu ambaye hata hakunyonyoka hata nywele wala ukucha leo aonekane wa mana na kumtus mzee alyejtolea kuujenga upinzani tanzania

Tuwakumbushe vijana kuwa wakat slaa anahangaika dhid ya dola lowassa n' co.ltd walkuwa wakila "mema ya nch" wakiwacheka wafia chadema na kuwatus na dhihaka

Sumaye 10 prime minister leo awe lulu chadema kuliko dkt.slaa

Come ooooooon
Apewe heshima yake huyu mzee

Yapo aloteleza
But si kuanza kumvua nguo na kumtoa thaman ktk medan na uso wa wapinzan

"usiache mbachao.(slaa, zito ) kwa msala upitao(lowasa and fellows) "
 
Nakushukuru kwa kuandika " kwa adabu " mengine niyaache kwanza ila nataka nikuambie hivi , na hili ulijue , HAKUNA BALOZI YEYOTE WA TANZANIA KWENDA NCHI YEYOTE AMBAYE SI MWANACCM .
Sasa mkuu
Sisi hlo kama upinzan linatukera nn
Linatuzuia vp kuendeleza ndoto zetu za kushika dola
Au lengo n kumtoa thaman kwa umma wa watanzania
Otherwise u hv to tell me kuwa jamaa anatuumiza kichwa bado
Otherwise u hb to tel m kuwa dkt. Slaa amekuwa threat kwa mustakabal wa ustaw wa upinzan

Lkn je hana hata jema moja alilofanya kwa upinzani tz

Je kwann tusmpuuze kwa alilojikwaa nalo na tumpe thaman kwa mema alotufanyia

One quiz
Hebu soma mchezo wa ccm kwa Kingunge hadi anaingia kaburin

Lets read our enemy's political tactics kdg plz
 
Kwani uongo, kwenda kumjulia hali mgonjwa yeyote ni utashi wa mtu, wew ulienda kumuona marehemu kingunge wakati kalazwa?!
Yakobo 1
26 Mtu akidhani ya kuwa anayo dini, wala hauzuii ulimi wake kwa hatamu, hali akijidanganya moyo wake, dini yake mtu huyo haifai.
27 Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
 
Back
Top Bottom