Dr. Slaa hajaacha siasa, ashughulikiwe kisiasa

Dr. Slaa hajaacha siasa, ashughulikiwe kisiasa

Yakobo 1
26 Mtu akidhani ya kuwa anayo dini, wala hauzuii ulimi wake kwa hatamu, hali akijidanganya moyo wake, dini yake mtu huyo haifai.
27 Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
Lissu siyo yatima wala mjane.
 
Ni Slaa huyu huyu ambae polisi wamepindisha mkono wake kwa kipigo cha uonevu, leo amesimamia upande wao.
Nadhani waneun'goa kabisa ingekuwa sawa zaidi!
Kuwa mkweli acha uongo,Dk slaa aliumia mkono bafuni, akiwa hotelini na sio polisi kama unavyoropoka wewe!
 
Ni ajabu kuwa Dk Slaa hayuko sympathetic kwa Lisu, amenishangaza sana kwa comment yake juu ya shambulio dhidi ya uhai wa Lisu, nahisi Dk. Slaa ni mkatili aisee.

Vv
Kunaina mbili ya mauaji au kumdhuru mtu.
1. Kumuumiza kwa kutumia silaha ama kwa kumdhalilisha kwa matusi na kumharibia jina.
2. Kumuuwa mtu kikatili au kumharibia maisha mtu kwa kumjengea majungu na hata kutaka kuharibu nyumba yake.

Mtu atakayekutendea mojawapo ya hayo ni Adui yako mbaya sana
 
Wakuu natanguliza salamu,

Baada ya salamu nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu, Mwanachama wa CCM aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa ameletwa maalum kuja kutumikia chama chake, hakuacha siasa kama alivyodanganya umma Serena Hotel alipopitishwa mlango wa uani na watu wasiojulikana ili kuvuruga UKAWA.

Ni muongo, nimemsikiliza akizungumzia Shambulio la Lissu katika lugha ya kinafiki ambayo sisi wengine tulijiuliza kama kweli mtu huyu aliwahi kuwa Askofu wa kanisa lolote.

Kwa wale wengi mliomheshimu huyu mzee kama mimi nilivyomheshimu, wakati wa kusitisha heshima ile umefika, kwa vile kishaamua kurejea kwenye siasa za Chama Cha Mapinduzi basi achambuliwe kisiasa, kama wanavyochambuliwa akina Polepole, Lusinde, Juliana Shonza nk.

Naomba kuwasilisha.
Alisema na juzi karudia kusema alichoacha ni siasa za kwenye majukwaa moja kwa moja.
Siasa za majukwaani, lakini akasema hataacha kulisemea jambo lolote lile lenye kugusa maslahi ya kitaifa, ambayo ni haki yake kikatiba.
 
Hatutak siasa za "kushughulikiana" bali tunataka siasa za kushughulika
Kushughulika na kero za wananchi, maendeleo ya watu na nchi kwa ujumla
 
Hakuna jambo alilonishangaza Dr Slaa kama pale aliposema shambulio la Tundu Lissu ni tukio la kawaida!

Litakuwaje tukio la kawaida wakati mwanasiasa hiyo wa upinzani ameminiwa risasi zaidi ya 30 mchana kweuoe, tena kwenye makazi ya viongozi wa serikali na hadi Leo zaidi ya miezi 5 hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa kwa kuhusika na tukio hilo??

Litakuwaje tukio la kawaida wakati dereva wa Lissu amewatajia kuwa gari iliyofanya unyama ule ilikuwa Nissan Patrol yenye namba T932AKN, na bado Polisi hawajatueleza ni kwanini huyo mwenye gari hiyo bado hajakamatwa??
 
Wakuu natanguliza salamu,

Baada ya salamu nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu, Mwanachama wa CCM aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa ameletwa maalum kuja kutumikia chama chake, hakuacha siasa kama alivyodanganya umma Serena Hotel alipopitishwa mlango wa uani na watu wasiojulikana ili kuvuruga UKAWA.

Ni muongo, nimemsikiliza akizungumzia Shambulio la Lissu katika lugha ya kinafiki ambayo sisi wengine tulijiuliza kama kweli mtu huyu aliwahi kuwa Askofu wa kanisa lolote.

Kwa wale wengi mliomheshimu huyu mzee kama mimi nilivyomheshimu, wakati wa kusitisha heshima ile umefika, kwa vile kishaamua kurejea kwenye siasa za Chama Cha Mapinduzi basi achambuliwe kisiasa, kama wanavyochambuliwa akina Polepole, Lusinde, Juliana Shonza nk.

Naomba kuwasilisha.
Hauna picha, mikasa, kashfa na vitimbi vidogo vidogo umtumie Da'mange.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
!
!
Tulio wengi tumechoka, hilo sisiem wanajua na wanatumia nguvu kubwa mno kuwa walivyo sasa. Ipo siku gharama itawashinda.
 
Alisema na juzi karudia kusema alichoacha ni siasa za kwenye majukwaa moja kwa moja.
Siasa za majukwaani, lakini akasema hataacha kulisemea jambo lolote lile lenye kugusa maslahi ya kitaifa, ambayo ni haki yake kikatiba.
Mipango inaendelea kumpandisha jukwaani kinondoni .
 
Hauna picha, mikasa, kashfa na vitimbi vidogo vidogo umtumie Da'mange.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwa askofu wa kikatoliki kuzaa akiwa bado ndani ya kanisa ilitosha .
 
Ni lini Dr. SLAA alisema ameacha siasa?? Kiswahili ni kigumu au uwezo wa kung'amua mambo ndio mgumu?? Kipi kati ya hivi ni kikwazo kwako ewe malafyale??
Hajaacha siasa na bado anazifanya kwa kutumia jukwaa la ubalozi wa ccm
 
Yule mama kamharibu Dr wetu; kweli kina delila si mchezo wana nguvu tangu zama za kale za akina Samson.
 
Mbona hujajichambuwa kwa kuwa na msimamo wa kupandikiziwa - unadhani wewe uko safi kwa kuwa miongoni mwa watanzania wanaopinga kila jambo hata liwe zuri???
 
Fuatilia hotuba yake pale Serena hotel

Alisema ameacha siasa ya vyama vya kisiasa, lakini hakuacha siasa ya nchi.

Siasa inamgusa mwananchi yoyote , NA kila mtu anazungumzia siasa. Dr Slaa kwa maoni yangu amewacha siasa za kishabiki, lakini bado anaendela NA siasa za kisayansi.
 
Kanisikitisha sana kusema kwamba halazimishwi kwenda kumuangalia Tundu Lissu

Kwenda kumuona Lissu ni uwezo NA muda ukikuruhusu, sidhani kama wewe NA wanachama wa chama cha Lissu wengi walifadhilika kwenda kumuona.

NA zaidi ya hayo, mbona Lissu alipokuwa akitumika, kumvua nguo NA kumtukana Slaa, hamkumkemea kutofanya hivyo NA kumshauri atumie lugha nzuri ya kisiasa kuponda maamuzi aliyoyachukua Slaa wakati huo.
 
huyu baba alisaliti yule mama rose kamili
akasaliti upadre
akasaliti chadema ....... wachaneni naye ni laana inamtafuna

Umemuona Slaa ndio msaliti, lakini Mbowe aliyezaa NA mbunge aliyemweka bungeni kijamaa, NA aliyekiuza chama, NA anayefuja mali za chama siyo msaliliti. Au mtu akiendelea kukifuja chama NA akaendelea kuvaa Gwanda hawezi kuwa msaliti
 
Back
Top Bottom