Dr.Slaa: Eid izidi kutuunganisha Watanzania

Status
Not open for further replies.
Dini yetu haitaki wanafki.mzinzi,mwizi kama huyu slaa wenu
Mkuu kati ya kikwete na Dr. Slaa mwisilamu ni yupi? Tuambie kikweta ana wake wangapi mbona watoto kibao na je mama wa hawa watoto wote alishawahi kuwaoa?

Acha kutumia argument za kitoto hapa sisi ni watu tunaoweza kupambanua mambo! Kawandanganyeni huko vijijini lakini siyo hapa JF! Na huko vijijini siku hizi shule za kata zimeamusha watu mtapata shida sana maana hamwezi kutawala kama mnavyotaka, ni either mkubali kupote heshima yenu na utajiri mlioupta kwa kuwanyonya masikini wa nchi hii or msipo kubali kubadilika mtang'olewa tu ni swala la muda tu and God is watching!
 

kwa maana hiyo unamtetea slaa kwa uzinzi wake na unafiki wake kwakuwa kikwete nae anatabia hizo?

Daima ukweli unauma sana,hiki kibabu kimeshindwa kutii kiapo cha kanisa na mungu wake.kwatamaa za kuzini na unafiki wake.Salam zake za kinafiki apeleke kwa makafiri wenzake huko
 
Chadema wameanza drama zao toka lini wakawapenda Waislam wakati wafuasi wao wanakesha JF kuwatukana Waislam, Dr.W.Slaa ni member humu JF kashindwa nini kuja na ID yake mwenyewe.

Na wewe ulipata kazi Uhamiaji?
 
Last edited by a moderator:
Mara kwa mara, tatizo lenu mnajificha baadae mnajitokeza kuushambulia uislamu

Mkuu swala la waislamu kujisikia hawapendwi nchi hii ni kitu ambacho hakina uhalisia na kama ukipewa uhuru wa kwenda kuthibitisha haya kwenye mahakama huru kama za kimataifa wewe mwenyewe ndugu yangu hutakuwa na cha kusema maana ni kitu cha kuambiwa na wala hujawahi kukiishi wewe! Hebu toa experience yako binafsi ni lini na wapi ulishawahi kubaguliwa? Tumekuwa na maraisi wawili wakristo na wawili waislamu, kama kungekuwa na kunyanyasika kwa waislamu au wakristo basi tungekuwa tulishapigana maana kila Raisi angeingia madarakani na kupendelea dini yake na kuwanyanyasa wengine. Kama waislamu kweli wangekuwa wanayanyaswa basi Maraisi wa kiislamu wasingepigiwa kura na wakristo kwa sababu wangehofia kulipiziwa kisasi!

Mkuu tuache kufikiri kama watu ambao hawajaenda darasani maana kama sisi tulioenda darasani tunaanza kuchochea udini kwa maandishi hapa JF basi wale ndugu zetu ambao hawakubahatika kusoma wao watafanya nini? Hawa ni watu wakuambiwa na kutekeleza hawatapata muda hata wa kutafakari athari zake maana tayari kwa umasikini na shida zao hawana cha kupoteza!
Unaweza kuona ni vizuri kutumia propaganda za udini ukidhani unaiharibia chadema lakini kumbuka madhara yake ni zaidi ya kuiharibia chadema, hata hao ccm hawatapata kitu maana kama watu wakijua chadema ni wakristo tu basi wakristo wote wataisupport chadema na hapo ndo utakuwa mmwanzo wa utungu na mtakuwa mmeshachelewa hamtaweza kuwarudisha watu nyuma tena!

Lakini sishangai sana maana wapo watu nadhani hawana matumaini tena , wamefika mwisho na kwao sasa hivi ni "Bora tukose wote"

Kama sisi watu wa kawaida tungejua kinachotafutwa basi tungekuwa makini sana na kauli zetu za kuwagawa watanzania kwa dini zao maana zitatuasili wenyewe na wala sio wengine!
 
Tena mnafiki kafiri anaunafuu kwasababu usha mjuwa.kuliko anaejidai mwislamu kumbe nimnafiki mkubwa kama hawa BAKWATA na ccm yao

Yani ww una frustrations zako za siku nyingi unaiparamia cdm. sasa Bakwata inaingiaje hapa?
 
Yani ww una frustrations zako za siku nyingi unaiparamia cdm. sasa Bakwata inaingiaje hapa?

Bakwata na cdm na ccm wote wanafiki raana iwe juu yao.mashekhe wa bakwata hawa ndio anao wasema lisu wala rushwa
 
Bakwata na cdm na ccm wote wanafiki raana iwe juu yao.mashekhe wa bakwata hawa ndio anao wasema lisu wala rushwa
Waislam mnapenda kulalamika kama akina mama, nyie kila siku ni kuonewa tu?
 

ﻭَﺩَّ ﻛَﺜِﻴﺮٌ ﻣِﻦْ ﺃَﻫْﻞِ ﺍﻟْﻜِﺘَﺎﺏِ ﻟَﻮْ ﻳَﺮُﺩُّﻭﻧَﻜُﻢْ ﻣِﻦْ ﺑَﻌْﺪِ ﺇِﻳﻤَﺎﻧِﻜُﻢْ ﻛُﻔَّﺎﺭًﺍ ﺣَﺴَﺪًﺍ ﻣِﻦْ ﻋِﻨْﺪِ ﺃَﻧْﻔُﺴِﻬِﻢْ ﻣِﻦْ ﺑَﻌْﺪِ ﻣَﺎ ﺗَﺒَﻴَّﻦَ ﻟَﻬُﻢُ ﺍﻟْﺤَﻖُّ ۖ ﻓَﺎﻋْﻔُﻮﺍ ﻭَﺍﺻْﻔَﺤُﻮﺍ ﺣَﺘَّﻰٰ ﻳَﺄْﺗِﻲَ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﺑِﺄَﻣْﺮِﻩِ ۗ ﺇِﻥَّ ﺍﻟﻠَّﻪَ ﻋَﻠَﻰٰ ﻛُﻞِّ ﺷَﻲْءٍ ﻗَﺪِﻳﺮٌ

Wengi miongoni mwa watu wa Kitabu wanatamani lau wange kurudisheni nyinyi muwe makafiri baada ya kuamini kwenu, kwa ajili ya uhasidi uliomo ndani ya nafsi zao, baada ya kwisha wapambanukia Haki. Basi sameheni na wachilieni mbali mpaka Mwenyezi Mungu atapo leta amri yake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu.

ﻭَﻟَﻦْ ﺗَﺮْﺿَﻰٰ ﻋَﻨْﻚَ ﺍﻟْﻴَﻬُﻮﺩُ ﻭَﻻَ ﺍﻟﻨَّﺼَﺎﺭَﻯٰ ﺣَﺘَّﻰٰ ﺗَﺘَّﺒِﻊَ ﻣِﻠَّﺘَﻬُﻢْ ۗ ﻗُﻞْ ﺇِﻥَّ ﻫُﺪَﻯ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﻫُﻮَ ﺍﻟْﻬُﺪَﻯٰ ۗ ﻭَﻟَﺌِﻦِ ﺍﺗَّﺒَﻌْﺖَ ﺃَﻫْﻮَﺍءَﻫُﻢْ ﺑَﻌْﺪَ ﺍﻟَّﺬِﻱ ﺟَﺎءَﻙَ ﻣِﻦَ ﺍﻟْﻌِﻠْﻢِ ۙ ﻣَﺎ ﻟَﻚَ ﻣِﻦَ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﻣِﻦْ ﻭَﻟِﻲٍّ ﻭَﻻَ ﻧَﺼِﻴﺮٍ

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
 

Allah akulipe kila lililo jema
 

Khaa!!! Tiririka mwanangu !!
 
Mimi namjua vizuri Dr.Slaa hawezi hata siku moja akawatakia heri Waislam huyu aliyeandika huu uzi ni Makene au Yericko, Dr.Slaa hana muda wa kuongea na Waislam ingekuwa Pasaka sawa.

Hapo ndo mnaponichekesha! Mmefunga mwezi mzima mkae mbali na dhambi kufungua tu mnaanza na ya uongo! Dr Slaa Humjui hakujui
 
Bakwata na cdm na ccm wote wanafiki raana iwe juu yao.mashekhe wa bakwata hawa ndio anao wasema lisu wala rushwa

Sasa Bakwata inahusika vipi na Chadema we mbwa mwenye udhu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…