Dr. Slaa: CHADEMA ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI

Mkuu,

Dr. Slaa ana uroho sana wa pesa na madaraka. Ndio maana amewadhalilisha machifu kwa kuwadanganya.
Mkuu,

Hii tabia ya ulaghai kaishawafundisha mpaka wabunge Chadema.

Nakumbuka uchaguzi wa Arumeru Mashariki mbunge Joshua Nassari wakati wa kampeni alitoa ahadi kwa wapiga kura kuwa akishinda ubunge atashusha bei ya sukari, teh teh teh!

Mpaka leo kimya ukihoji unatukanwa na Bavicha.
 
Kuwa mwanaccm lazima kwanza uwe mjinga,mwongo na mzushi,we ni mjinga kwa sababu huelewi hata chanzo cha vifaa vya ujenzi kuwa juu,cha kwanza ni gharama za umeme kuwa pasina sababu(ufsadi),pili kiwango cha kodi kuwa juu kwa sababu wasiolipa ni wengi kulko,tatu miundo mbinu kama treni za kisasa zingekuwa na ubora ni wazi gharama za usafiri zingepungua hadi hapo utaelewa.
Kuhusu kuomba radhi kwanza kwa maelekezo hayo hana sababu za kuomba radhi,pia ungekuwa mwelewa ungetazama viongozi wa chama chako waliwahi kuomba radhi wapi na lini?wamewaua wananchi kwa maji ya sumu hadi leo,walifukia watz kwenye mgodi wa bulyahuru,wanafanya biashara ya madawa ya kulevya,wameiba twiga,vyura na mijusi,wamechoma nyumba za wakulima na wafugaji,wameuza ardhi yetu na kuuza madini nje kwa manufaa yao na wamekuwa mabingwa wa kutoa ahadi za uongo kwenye chaguz hadi leo hatujawahi kuskia wakiomba radhi sasa we hili umelitoa wapi?kama wendawazimu kumtuhumu mwenzio kwa yale usiyoweza kuyatenda hovyo sana.
 
Hahahahahahahahahha

Kweli kura zinawafanya watu waseme tu maneno wasiyojua hata utekelezaji wake ulivyo.

Dogo Janja alidhani kushusha bei ya sukari ni sawa na kushusha bei ya "kijiti cha Arusha".
 
Kuwa mwanaccm lazima kwanza uwe mjinga,mwongo na mzushi,we ni mjinga kwa sababu huelewi hata chanzo cha vifaa vya ujenzi kuwa juu,cha kwanza ni gharama za umeme kuwa pasina sababu(ufsadi),pili kiwango cha kodi kuwa juu kwa sababu wasiolipa ni wengi kulko,tatu miundo mbinu kama treni za kisasa zingekuwa na ubora ni wazi gharama za usafiri zingepungua hadi hapo utaelewa.
Kuhusu kuomba radhi kwanza kwa maelekezo hayo hana sababu za kuomba radhi,pia ungekuwa mwelewa ungetazama viongozi wa chama chako waliwahi kuomba radhi wapi na lini?wamewaua wananchi kwa maji ya sumu hadi leo,walifukia watz kwenye mgodi wa bulyahuru,wanafanya biashara ya madawa ya kulevya,wameiba twiga,vyura na mijusi,wamechoma nyumba za wakulima na wafugaji,wameuza ardhi yetu na kuuza madini nje kwa manufaa yao na wamekuwa mabingwa wa kutoa ahadi za uongo kwenye chaguz hadi leo hatujawahi kuskia wakiomba radhi sasa we hili umelitoa wapi?kama wendawazimu kumtuhumu mwenzio kwa yale usiyoweza kuyatenda hovyo sana.

Jaribu kusoma ulichoandika uone kama utaakielewa.

Sleep-walking has so many forms!!!
 
Slaa chama amekiharibu sana alipoanza kuiba kanisani halafu ndiyo kaja kwenye sasa kamwe chama hicho lazima kiwe cha kitapeli tu laana ya mungu hawataikwepa.
 
Mkuu,

Hii tabia ya ulaghai kaishawafundisha mpaka wabunge Chadema.

Nakumbuka uchaguzi wa Arumeru Mashariki mbunge Joshua Nassari wakati wa kampeni alitoa ahadi kwa wapiga kura kuwa akishinda ubunge atashusha bei ya sukari, teh teh teh!

Mpaka leo kimya ukihoji unatukanwa na Bavicha.
Katika watu waongo wa kupindukia ndani ya chadema anaanza slaa,mnyika halafu anafuata nassri yani ni hasala tupu.
 
Slaa chama amekiharibu sana alipoanza kuiba kanisani halafu ndiyo kaja kwenye sasa kamwe chama hicho lazima kiwe cha kitapeli tu laana ya mungu hawataikwepa.

kichwa cha mwendawazimu,aliye tapeli ni yupi?kati ya yule aliyetoa ahadi lukuki na kujitangazia ushindi,na yule aliyeomba ridhaa kwa watanzania na kuwaahidi yale aliyoyaona ni ya msingi kwa wapiga kura?twambie anaestahiri kulaumiwa ni yupi?
 
Nadhani umeandika ili kujionesha kuwa unaandika. Ama mnalipwa kubwabwaja. Kumhukumu mtu kuwa na lazima awe amepata nafasi ya kutekeza. Pia kama ni ilani ya chama chao ilisema kwanini u attribute suala zima. Nadhani upeo wako kuhusu sera ni tatizo. Ndoto kwa mwanasiasa ni kitu cha kawaida, kwa kuwa anawataalamu lukuki. Kama ndoto za wanastihili kuomba msamaha basi CCM iliyotokana na TANU na ASP wamedanganya mno na wana magunia yaliojaaa uongo kama kweli ni waungwana. Rejea Muungano, full matatizo;ujamaa na kujitegemea; siasa ni kilimo ; na ndoto ya ajabu maisha bora kwa kila mtz na wala sio wengi. Huu ni uongo Mkubwa. Totally, a fallacious argument. Kwa hiyo nani aanze kuomba msamaha?!
!?
 
FJM, je unataka kusema kuwa Slaa hajasema kuwa bei ya cement ataishusha mpaka shilingi elfu 5? This is too soon kuanza kubadilisha badilisha lugha. Zipo video zimerekodiwa wakati Slaa anaahidi kushusha bei ya cement. Akibisha tutazileta video tatu katika maeneo matatu tofauti aliyorekodiwa akisema hivyo.

Mtoa thread hii anaonesha jinsi shule hajafika!!!!!!!!
 
Mtoa mada, uchumi wa soko ndio unaopanga bei. Dr Slaa alimaanisha afahakikisha Supply inazidi demand,na bei inashuka yenyewe!!!!!!!!! Lakini haya mtu utayaelewa kama umehuzuoolia darasani.
 
Hiyo ni tafsiri yako au ndio kauli ya Slaa?
 
Slaa amenikera sana kwa dharau aliyoonyesha kwa machifu wa makabila ya Tanzania.

Kumdanganya chifu ni kosa kubwa sana. Asipoomba radhi anastahili kupewa adhabu kubwa.

Ni vizuri ukachukua hatua unayoona inafaa kwako kuliko kung'ang'ania tu Dr. Slaa kadanganya. Wakati mwingine unahitaji kuamua na kufanya mambo kwa faida yako tu! Na wewe kama unaona hilo ni la msingi kwako(na ccm), zungukeni nchi mwaambie wa Tz kuwa Dr. Slaa ni mwongo, kwani humu jf wanachama ni walewale na bado hawasomi wote. Kupoteza kwako mda kuhangaika na Dr. Kila mara ni umalaya wa mdomo!!! Umepewa maelezo mengi sana yanayohusu uchumi na nini kinaamua bei sokoni, lakini bado hutaki kuelewa, ww na kudanganya kwa dr. tu. Utazeeka mapema bure kwa siasa zako za kinafiki!!
 
Akili ya Bavicha hapo ndio mwisho wake!
 
Inaonyesha una inferiority complex ndio maana neno dogo linakukwaza hata pale wakubwa zako tunapokuita hivyo.

Sitaki kuwa kama Dr. Slaa asiyejua kuomba radhi.

Naomba unisamehe ndugu yangu. Sitakuita tena dogo.

Tuendelee na mjadala.

Futa kauli yako hapo red hapo ndiyo tuendelee na mjadala
 
Yaani wewe ukitaka matusi na dharau kwenye jf basi iponde chadema au viongozi wa chadema,ht kmbikitokea siku moja kiongozi wa chadema amekula nyama ya mtu hadharani basi utaona mijitu itakavyotetea na kuhalalisha upuuzi huo,mzee upo juu na ulichokiandika ni sahihi,ila kwa kuongezea tu chadema ni chama cha wakaskazini na kinachofuata utawala wa kikiristo,km mtanitusi poa tushawazoea sana nyinyi ht kupigana bungeni mko tayari.
 
Hapo ondoa shaka.

Chadema ni chama kilichonzishwa na BEPARI wa kwanza Tanzania Mzee Edwin Mtei ambaye ubepari wake ulimfanya aikimbie Tanzania. Ubepari kwake was, is and always will be more important that Tanzania.

Kama unatafuta chama cha kibepari basi kimbilia Chadema ASAP. Ila kama wewe ni mkulima mdogomodogo au mjasiriamali unayechipukia unayetegemea nchi iweke mifumo ya usawa ili uweze kukidhi mahitaji yako pamoja na kukuza uzalishaji wako basi iogope Chadema kama UKOMA.

Kwa hiyo kwako wewe ubepari ni dhambi sio?ila ufisadi sio dhambi kwako?think big meeen kabla huja buuug meeen!
 
Back
Top Bottom