Dr. Slaa: CHADEMA ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI

Yaani wewe ukitaka matusi na dharau kwenye jf basi iponde chadema au viongozi wa chadema,ht kmbikitokea siku moja kiongozi wa chadema amekula nyama ya mtu hadharani basi utaona mijitu itakavyotetea na kuhalalisha upuuzi huo,mzee upo juu na ulichokiandika ni sahihi,ila kwa kuongezea tu chadema ni chama cha wakaskazini na kinachofuata utawala wa kikiristo,km mtanitusi poa tushawazoea sana nyinyi ht kupigana bungeni mko tayari.

Nyie watu wa udini na ukanda na ukabila pandeni hilo bus lenu,lakini sie tunapanda bus lenye charter ya M4C.
 
Si umuulize yeye atakudadavulia jinsi alivyofikia hiyo bei? Yeye anasema hazungumzi kitu ambacho hajakifanyia utafiti. Na kuhusu katiba mpya je nayo unasemaje?
 
Hahahahahahahahahha

Kweli kura zinawafanya watu waseme tu maneno wasiyojua hata utekelezaji wake ulivyo.

Dogo Janja alidhani kushusha bei ya sukari ni sawa na kushusha bei ya "kijiti cha Arusha".
Dogo janja siku hizi yupo kimya hana tena habari ya kushusha sukari.

Wewe muache tu watu watamkubusha hii ahadi yake.
 
FJM, je unataka kusema kuwa Slaa hajasema kuwa bei ya cement ataishusha mpaka shilingi elfu 5? This is too soon kuanza kubadilisha badilisha lugha. Zipo video zimerekodiwa wakati Slaa anaahidi kushusha bei ya cement. Akibisha tutazileta video tatu katika maeneo matatu tofauti aliyorekodiwa akisema hivyo.

Jibu swali ulilo ulizwa,je aliye ahidi MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA NI MKWELI AU MWONGO! NYANI HAONI KU.....
 
Hahahahahahaha

Mkuu, umenikumbusha Slaa kila siku hadhithi yake ni EPA tu. Hana jipya zaidi ya story za EPA ndio maana ameamua kutunga ulaghai wa kushusha bei ya cement.

Ashabikiaye wezi ni mwizi,uchawi ni mchawi.wenzio bado tunahitaji majibu ya je mpaka sasa kila mtz ana maisha bora?
 
Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania MWENYE BIDII.

Huwezi kukaa kibarazani unapiga story kuanzia asubuhi mpaka jioni halafu utegemee maisha bora yakufuate.

Nyinyi ndio watu mnaolalamika kuwa Mengi ana vitalu vingi, lakini ukiulizwa wewe umeomba vingapi unajibu hujawahi kuomba! Sasa kama hujawahi kuomba kwanini unakasirika Mengi akiwa navyo vingi?
Hapo KWA MWENYE BIDII UMEONGEZEA WEWE,mbona wenzio wakifafanua kuhusu mantiki ya hotuba ya Dr.unakomaa?Mburula mbishi
 
kuna kitu kinaitwa bei elekezi,wenzetu hata capitalists wanazo.mfano south africa serikali ndio inaamua uuze shilingi ngapi nyumba yako kwasababu kuna chombo kinasimamia,wanaamuabei ya bidhaa sokoni,kenya wameamua kodi za nyuma(pango) zilipwe kwa mwezi.
hivi mbona korosho,tumbaku,kahawa n.k serikali inaamua bei
kwanini ishindwe saruji(cement)
kijana fikirisha akili yako usikurupuke.
mipango na nia tu.sasa uliza cement inayotoka msumbiji shilingi ngapi kama hujalia
 
Hapo KWA MWENYE BIDII UMEONGEZEA WEWE,mbona wenzio wakifafanua kuhusu mantiki ya hotuba ya Dr.unakomaa?Mburula mbishi

alafu muulize walienda shule na ajira hawapati wala hawakopesheki kupitia vyeti vyao wafanyeje?
 
944504_10200976768556913_667316611_n.jpg
 
humu ndani kuna mengi!
kama bei ya cement inaangalia soko na kwamba soko la cement tanzania ni huria mbona ilipoanza kuingia cement ya pakistani wenye viwanda waliwahonga wabunge ili cement ya pakistani iwekewe uzibe? teno walihongwa wabunge wa ccm akiwamo Kigoda.
kwa nini hawakuamua tu kushindana na hiyo cement ya pakistani?
wacha kutuletea longolongo zako hapa ndani!!!

Leo bila aibu Dr. Slaa ametoa taarifa hadharani kuwa Chadema ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI. Katika taarifa yake hiyo amefafanua kuwa Chadema inaamini kwenye Market Economy ambapo bei ya kitu huamuliwa na nguvu za demand and supply. Kwa lugha nyepesi ni kwamba taarifa aliyotoa leo Dr. Slaa ni kuwa yeye na chama chake cha Chadema wanaamini kuwa kupanga bei ya cement iwe sh. elfu tano SIO SAHIHI.
Dr. Slaa ni mwanasiasa MLAGHAI.

Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 Dr. Slaa alizunguka baadhi ya sehemu za Tanzania (hakufanya kampeni nchi nzima) na kuwalaghai watu kuwa iwapo watampigia kura basi atashusha bei ya cement mpaka shilingi elfu tano kwa mfuko mmoja. Wapo vijana wasiofikiri kwa kina waliolaghaika na kushabikia ahadi hiyo ya kilaghai, lakini watanzania wengi walikuwa werevu na kutambua ulaghai wa Dr. Slaa na hivyo hawakumpigia kura. Matokeo yake Dr. Slaa alishindwa vibaya katika uchaguzi huo na kushindwa kupata hata asilimia 29 ya kura!

Huu ni ulaghai wa hali ya juu. Katika sehemu alizozunguka, Dr. Slaa aliwalaghai watu wazima na machifu wa jamii mbalimbali juu ya bei ya cement. Katika jamii za kiafrika inaaminika kuwa kumlaghai chifu ni kuikosea heshima jamii yote anayoiongoza. Kwa hiyo Dr. Slaa amedhihirisha uchu wa madaraka uliopitiliza kiwango mpaka anazivunjia heshima jamii za watanzania.

Kistaarabu, baada ya Dr. Slaa leo kukiri kuwa alivyokuwa anatangaza kushusha bei ya cement alikuwa anadanganya, basi anawajibika kuomba radhi. Kuomba radhi ni jambo la kiungwana, hata hivyo Dr. Slaa anafahamika kwa tabia yake ya kutokuomba radhi kwa makosa mbalimbali anayofanya. Katika historia, Dr. Slaa ndio mgombea Urais wa kwanza aliyewahi kutamka hadharani kuwa ana mpango wa kuanzisha vurugu ili nchi isitawalike. Hata hivyo hakuomba radhi kwa kauli yake hiyo chafu mpaka leo!

Hata pale alipotoa siri za ofisi yake hadharani kwa lengo la kumdhalilisha mwanasiasa mwenzake, pia hakuomba radhi!

Katika historia ya siasa za Tanzania Dr. Slaa hajawahi kuomba radhi hata siku moja. Hii ni kumaanisha kuwa anajiona kuwa yuko perfect.

Kuomba radhi ni hatua ya awali ya uwajibikaji. Kiongozi asiyekuwa na utashi wa kuomba radhi kwa makosa yake yaliyo bayana, hawezi hata kujiwajibisha kwa kujiuzuru. Hii si dalili nzuri kwa upande wa Dr. Slaa. Mtu wa namna hii hafai kuaminiwa katika majukumu yenye mamlaka kubwa. Watu wenye macho wameshaona hilo...

Kijana wa leo usikubali kuwa victim wa siasa za kilaghai...
 
Moja ya sababu ya bei ya bidhaa kuwa kubwa ni kodi zinazotozwa katika malighafi zake na bidhaa yenyewe,mafuta, umeme na maji ingawa yapo mengine mengi. Ukiweza kucontrol hayo bei za bidhaa haziwezi kupanda sana demand itabaki constant. Mathalani iweje bei ya mafuta ya mitambo iwe ghali Tz lakini zambia,malawi nk iwe poa wakati yanapita nchini kwetu. Tukipunguza kodi ktk bidhaa muhimu na tukaongeza kodi maeneo mengine km madini na gesi basi sementi na bidhaa nyingine itapungua sana.
 
Kuhusu kodi ndio usiseme kabisa mkuu.

Ahadi za Slaa kwenye kodi ni ulaghai mtupu. Ameahidi kushusha na kuvuta kodi, wakati huohuo anaahidi kupandisha mishahara ya watumishi, kutoa elimu na afya bure, na kujenga miundombinu. This arithmetic just dont add up!!!
 
FJM, je unataka kusema kuwa Slaa hajasema kuwa bei ya cement ataishusha mpaka shilingi elfu 5? This is too soon kuanza kubadilisha badilisha lugha. Zipo video zimerekodiwa wakati Slaa anaahidi kushusha bei ya cement. Akibisha tutazileta video tatu katika maeneo matatu tofauti aliyorekodiwa akisema hivyo.

Unaweza kutuambia kwa nini inawezekana Afrika Kusini iwe muuzaji mkuu wa Tanzanite badala ya Tanzania ILA isiwezekane bei ya bidhaa mbalimbali kushuka?
Kwanza ushajiridhisha juu ya sababu za kufumuka kwa bei Tanzania?
Unapoleta mada kwenye jukwaa kama hili, hakikisha akili imekaa sawa..
 
Back
Top Bottom