Dr. Slaa: CHADEMA ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI

Dr. Slaa: CHADEMA ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI

Mfumo wa kibepari haumaanishi bidhaa kupanda bei. Serikali iliyoko madarakani inapaswa kuweka mazingira ya kuhakikisha bidhaa inashuka bei kulingana na mahogany ya soko. Haipangi bei lakini inaweka mazingira stahiki. Hata hivyo sidhani kwamba mwandishi hayajui haya Bali anaweka ushabiki wa kisiasa. Swali ni je Tanzania ya sasa inafuata mfumo upi?

Slaa alitamka hadharani kuwa kwa kipindi atakachokuwa madarakani cha miaka mitano bei ya cement itakuwa shilingi elfu tano kwa mfuko mmoja. Je, huko ni kuweka mazingira stahiki au ni kupanga bei?
 
Dogo,

Be coherent na mada.

Mada ni ULAGHAI wa Chadema. Mada yetu sio chama kingine cha siasa.

Je, ni nani anayepaswa kuamua bei ya cement? Dr. Slaa kwenye majukwaa ya siasa au hali ya soko? Kwa mujibu wa kauli yake mwenyewe Dr. Slaa ni kwamba yeye na chama chake wanaamini kuwa hali ya soko ndio inayopaswa kuamua bei ya cement.

Kwahiyo Slaa ni wale aina ya wanasiasa wanaosema mamneno matamu ili tu wapewe kura. Ndio maana alizunguka nchini akinadi sera ya majimbo ambayo haitekelezeki - ofcourse kwa sababu alijua kuwa atashindwa uchaguzi, lakini kwenye hili la kuwadanganya machifu wa kisukuma,kinyamwezi na kinyakyusa anapaswa kuomba radhi.

1:Niombe Radhi kwa kuniita Dogo.Hiyo sio njia ya kistaarabu katika majadiliano hapa.Hujui hata basic skills za communication kwenye public forums?Umenivunjia heshima

2:CHADEMA ni Centrists.Soma ideology hii kabla haujakurupuka kuanzisha thread emotionally.
 
Rekebisha kauri hatuna machifu UNYAKYUSNI OK! TUNA WASOMI TU.
 
Sijawahi kuona hata siku mija Uzi wenye mashiki tika kwa huyu jamaa .. huyu ni Gamba hasa,mananlke Magba wanastyle ya kuzima moto kwa Majani,wakiina wamebanwa,wanaanzisha jambo ambalo litawaweka watu busy ili wapate mapumziko....
 
Rekebisha kauri hatuna machifu UNYAKYUSNI OK! TUNA WASOMI TU.

Hilo nalo ni tusi kwa machifu. Yaani unadhani machifu sio wasomi!!! Nyinyi vijana wa Bavicha sijui kwanini mnadharau sana mila asili za kitanzania. Mkiendelea na dharau kwa machifu hamtashinda uchaguzi mkuu hata siku moja.

Unamjua Chifu Mwailemale wa wanyakyusa? Ni msomi mzuri wa sheria.

Usidharau machifu kama alivyofanya Slaa.
 
1:Niombe Radhi kwa kuniita Dogo.Hiyo sio njia ya kistaarabu katika majadiliano hapa.Hujui hata basic skills za communication kwenye public forums?Umenivunjia heshima

2:CHADEMA ni Centrists.Soma ideology hii kabla haujakurupuka kuanzisha thread emotionally.

Mbona ukiitwa MKuu usemi uombwe radhi? Kwani kuwa dogo kuna ubaya gani? Wewe kwangu ni dogo. Hata mimi ni dogo kwa Jasusi . Kila mtu ana dogo wake na wakuu wake. Najua ulitaka nikuite mkuu, ila wewe kwangu mimi ni dogo. Na dogo sio tusi, usijisikie vibaya.
 
Last edited by a moderator:
Tangu nimeanza kusoma na kuchangia thread zako Ze Macoporo sijawahi kuona utumbo wako uliojaa ----- kama huu.Wewe kama unaujua uchumi kweli,je unajua economic principles?acha kukariri mambo na kuja humu jf kupotosha unao ita vijana,elewa vijana nao wana uwezo wa kuona ukweli wa mambo unasimama wapi?je umeona Rais wa kenya amefanya nini katika kudhibiti bidhaa adhimu nchini mwake?kwa taarifa yako hata sisi kutengwa na wenzetu ni kwa sababu watz hatutaki kufanya kazi za maendeleo na watawala wamekalia siasa uchwara za kuiota chadema tu,ukienda huku chadema,ukila chadema,ukiota chadema,ukienda diaspora chadema,uchina chadema every where chadema chadema,fanyeni majukumu yenu,vijana wanajua ukweli hasa wale wanaosoma kwa nguvu zao bila wizi na kunyenyekea wanadamu kama wewe.Unaweza kuikataa chadema mdomoni na kuikubali moyoni.TUACHENI NA DR.WETU
 
You have to think bigger for ur age. Usiwe unakurupuka kkt kuanzisha thread kwa kuangalia emotion kuliko cognitive. JE THREAD YAKO INAISAIDIAJE CHAMA CHAKO NA SERIKALI KWA UJUMLA? You have to think big than
 
Huu ni utapeli wa kisiasa tatizo kubwa la Dr. Slaa ni mtu wa kundandia matukio na kuyatolea matamko.
 
Huwa ninaitwa Kwa jina langu.Kama hujui basic skills za communications tu huwezi kuchukuliwa serious!Hausimamii hata unachotaka
 
Nilishawaambia vijana wenzako wa Bavicha kuwa kufanya Kenya kuwa mfano wa kuuiga ni kukosa mwelekeo. Kenya ni nchi masikini isiyokuwa na mafanikio yoyote ya kujivunia. Unapotaka kuiiga Kenya unataka kuiga failure.

Waambie na Bavicha wenzako waanze kuemulate nchi kama Sweden, Switzerland na Finland. Msiemulate Kenya, mtapotea bure...
 
Huwa ninaitwa Kwa jina langu.Kama hujui basic skills za communications tu huwezi kuchukuliwa serious!Hausimamii hata unachotaka

Inaonyesha una inferiority complex ndio maana neno dogo linakukwaza hata pale wakubwa zako tunapokuita hivyo.

Sitaki kuwa kama Dr. Slaa asiyejua kuomba radhi.

Naomba unisamehe ndugu yangu. Sitakuita tena dogo.

Tuendelee na mjadala.
 
Huu ni utapeli wa kisiasa tatizo kubwa la Dr. Slaa ni mtu wa kundandia matukio na kuyatolea matamko.

Mkuu,

Dr. Slaa ana uroho sana wa pesa na madaraka. Ndio maana amewadhalilisha machifu kwa kuwadanganya.
 
You have to think bigger for ur age. Usiwe unakurupuka kkt kuanzisha thread kwa kuangalia emotion kuliko cognitive. JE THREAD YAKO INAISAIDIAJE CHAMA CHAKO NA SERIKALI KWA UJUMLA? You have to think big than

Thread imelenga kuwasaidia vijana walio kwenye hatihati ya kulaghaiwa na siasa za kilaghai za Dr. Slaa na Chadema. Thread hii haijadhamiriwa kuisaidia serikali. Serikali ina instruments nyingi za kutekeleza mipango yake, haihitaji msaada wa thread ya JF.
 
mwacheni babu ameshaa zeeka bwana???

how to make hamburger!
[h=1]How to Make a Hamburger[/h] Edited by CoolMuslim, BooksRule, Towering Inferno, Maluniu and 33 others

158

Article Edit Discuss

Toss out those unhealthy fat filled processed burger patties! Making your own is both easy and healthy, using freshly ground beef from your favorite butcher and for just a little effort.

[h=2]Ingredients[/h]
  • 1 lb. (453g) 85% lean ground beef/chuck
  • 6 burger buns
  • 1 egg yolk
Recommended seasonings:

  • ½ small red or white onion (optional)
  • Ketchup (optional)
  • 1 tbsp Worcestershire sauce (optional)
  • 1 tbsp mustard (optional)
  • 1 tbsp white pepper (optional)
  • 1 garlic clove (optional)
  • Handful fresh herbs, chopped roughly (optional)
  • Salt and pepper (to taste)
Recommended toppings:

  • 2 thinly sliced tomatoes (optional)
  • 6 slices of cheese (optional)
  • Lettuce leaves (optional)
  • Ketchup and mayonnaise on the table

    [h=2]Steps[/h]
    • 1
      Start with good meat. Get a butcher to grind chuck beef for you with a 15% fat content. (More fat and it will just drip off the meat and cause fire flare-ups; less and the burgers will be dry.) If possible, buy the meat the day you’re going to cook it.

      • Ask the butcher to grind the meat twice, once in the coarse plate of the grinder and then through the fine plate.
    • 2
      Place the ground beef in a bowl.
    • 3
      Roughly chop the onion and garlic. Put them in a bowl and mix them together until combined.
      • Add any of the ingredients you're wanting to be a part of the burger – the Worcestershire sauce, ketchup, mustard, and the chopped herbs.
    • 4
      Add the egg yolk. Season with salt and pepper and mix everything together.
    • 5
      Mix it all together. It is easier to start mixing with a spoon; then use your clean hands to thoroughly combine the ingredients.
    • 6
      Create the burgers. Handle the meat as little as possible, so you don’t squeeze out the juices.
      • Shape the mixture into 6 equal-sized balls using your hands.
      • Press the balls down to make flat burger shapes about ½ inch (1.27cm) thick. Make a small indentation in the center of the burger with your thumb. This prevents the center from swelling, leading to uneven cooking.
    • 7
      Arrange the burgers on a plate. Cover them with plastic wrap or wax paper. Chill for 30 minutes to a few hours to make the burgers firmer and easier to cook. Burger meat is best cooked cold.
    • 8
      Choose your cooking method. The homemade burgers can be cooked with a broiler or grill, fried in the skillet or frying pan, or barbecued. They can also be baked. The method used depends on what you have available and what you prefer by way of taste and texture. Whichever method you choose, after taking the patties out of the fridge, spritz them with a little cooking oil or brush them with some melted butter before cooking.
      • Broiler/grill: Preheat the broiler (upper level grill) to medium heat. Line a broiler pan with foil, for easier cleanup after cooking. Place the burgers in the broiler pan. Broil them for 6-7 minutes on each side or until thoroughly cooked.
      • Frying pan or skillet: Add oil or butter to the pan and fry the burgers well. Be sure to use low heat and a long cook to properly cook the burgers the whole way through.
      • Place on the barbecue grill. Cook as usual for hamburgers on the barbecue.
      • Bake: Place in the oven on 350ºF/180ºC for 15 to 30 minutes, depending on thickness. You may like to flip them over half way, testing doneness regularly.
    • 9
      While the burgers are cooking, prepare the toppings:
      • Wash the lettuce and tomatoes.
      • Halve the burger buns, then thinly slice the tomatoes.
      • Place the ketchup and mayonnaise on the table for diners to make their own choice.
    • 10
      Serve. Once the burgers are cooked to each diner's liking, serve the burgers. Place inside the bun with the toppings and deliver to the table.
      • Alternatively, place the burger on a plate with other food such as rice, chips, mashed potato, salad, etc.
 
,Dr Slaa alisema akishinda kiti cha uraisi pamoja na mambo mengi atakayofanya ni kuhakikisha wananchi wanakuwa na makazi bora'

serikali iliyo makini huwa ina vipaumbele. Serikali inaweza kufidia baadhi ya gharama za kuzalisha cement ili iuzwe bei itakayo onekana inafaa.
​
Kwa sasa huwezi kusema kuwa Dr Slaa ni muongo kwani bado hajaingia madarakani kama raisi na akashindwa kushusha bei ya cement.

Kwa sasa wa kulaumiwa ni huyu alivoko madarakani. Kuna mengi yamehaidiwa lakini hadi leo ni hewa.

Hivi ni nane amesema kuwa atashindwa kushusha hiyo bei? Serikali yoyote hata ikiamua kugawa cement bure haishindwi, the only question will be how many people will get it.

Jaribu kusoma kwa utulivu ili uelewe kinachojadiliwa.
 
Mfumo wa kibepari ndo mpango mzima. Nikithibitisha kama kweli chadema ni chama cha kibepari, nitajiunga mara moja
 
Jamani ndugu hakuna haja ya kuwa wakali kwasababu Dr slaa alikuwa na akili timam hadi kuzungumza vile kumbuka zile ni ahadi kama angepata hiyo nafasi pengine angeweza kutekeleza mbona kuna ahadi nyingi Dr kikwete aliahidi na hatoweza kuzitekeleza????
 
Mfumo wa kibepari ndo mpango mzima. Nikithibitisha kama kweli chadema ni chama cha kibepari, nitajiunga mara moja

Hapo ondoa shaka.

Chadema ni chama kilichonzishwa na BEPARI wa kwanza Tanzania Mzee Edwin Mtei ambaye ubepari wake ulimfanya aikimbie Tanzania. Ubepari kwake was, is and always will be more important that Tanzania.

Kama unatafuta chama cha kibepari basi kimbilia Chadema ASAP. Ila kama wewe ni mkulima mdogomodogo au mjasiriamali unayechipukia unayetegemea nchi iweke mifumo ya usawa ili uweze kukidhi mahitaji yako pamoja na kukuza uzalishaji wako basi iogope Chadema kama UKOMA.
 
Back
Top Bottom