Dr. Slaa: CHADEMA ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI

hii rubbish inakuwa reduced to this:Kwa vile kila alichosema alipanga na kukisimamia na bado ni kweli.Ulishawahi msahuri JK hilo..?Haya mauaji nchini....?

Mkuu,

Jaribu kusoma mwenyewe ulichoandika kama utakielewa!
 
Mzee Tupa Tupa wa Lumumba,

Hii thread sio shambulio binafsi. Ni changanuo la sera za kilaghai.

Nchi yetu ina majanga mengi. Janga mojawapo ni siasa za kilaghai ambapo mwanasiasa anasema chochote kile ilimradi tu achaguliwe. Siasa za namna hii huchelewesha maendeleo.

Huu ni mfano HALISI wa siasa za kilaghai.
Kuna myu aliahidi kwamba ataleta maisha bora kwa kila mtanzania, atapeleka Meli ya kisasa kwenye maziwa ya Nyasa, Tanganyika na Viktoria, atajenga kiwanja cha ndege cha kisasa kule kigoma na mambo lukuki! Zemarcopolo sijawahi kukusikia ukihoji ulaghai huo na leo ni mwaka wa nane tangu aingie madarakani! Lazima utakuwa uliugua kwashiakoo ulipokuwa mtoto kwa uzembe na ujinga wa mama yako.
 
Akili za Bavicha hapo ndio mwisho wake.

Inaelekea wewe ni miongoni mwa wachache waliolaghaika.

Utekelezaji wa Ilani hupimwa mwisho wa awamu ya uongozi. Ahadi za Kikwete zipime 2015.

Walaghai ni wale wanaokanusha ahadi zao kabla hata hawajachaguliwa, wangechaguliwa ingekuwa BALAA...
 
FJM, je unataka kusema kuwa Slaa hajasema kuwa bei ya cement ataishusha mpaka shilingi elfu 5? This is too soon kuanza kubadilisha badilisha lugha. Zipo video zimerekodiwa wakati Slaa anaahidi kushusha bei ya cement. Akibisha tutazileta video tatu katika maeneo matatu tofauti aliyorekodiwa akisema hivyo.

OTP tupu. CCM wanaamini siasa za UFISADI na UPORAJI WA RASILIMALI ZA TAIFA kwa mnufaa yao.
 
Akili za Bavicha hapo ndio mwisho wake.

Inaelekea wewe ni miongoni mwa wachache waliolaghaika.

Utekelezaji wa Ilani hupimwa mwisho wa awamu ya uongozi. Ahadi za Kikwete zipime 2015.

Walaghai ni wale wanaokanusha ahadi zao kabla hata hawajachaguliwa, wangechaguliwa ingekuwa BALAA...

To greed, all nature is insufficient, and it incapacitates the grey matter
 
Slaa alishagawiwa haki yake na mungu tangu alivyofanya matendo ya aibu kwenye nyumba za mungu kwahiyo hayuko sawa.
 
OTP tupu. CCM wanaamini siasa za UFISADI na UPORAJI WA RASILIMALI ZA TAIFA kwa mnufaa yao.
Ufisadi muulize mzee slaa anujua aliyeiba mpaka pesa za kanisa tena zilizokuwa zinahusu watoto yatima.
 
Mfumo wa kibepari haumaanishi bidhaa kupanda bei. Serikali iliyoko madarakani inapaswa kuweka mazingira ya kuhakikisha bidhaa inashuka bei kulingana na mahogany ya soko. Haipangi bei lakini inaweka mazingira stahiki. Hata hivyo sidhani kwamba mwandishi hayajui haya Bali anaweka ushabiki wa kisiasa. Swali ni je Tanzania ya sasa inafuata mfumo upi?
 
Chadema siyo chama wakuu ni genge la waharifu tu,
mkuu endelea kutoa elimu jamii kubwa ilishawatambua hawa mabepari.
 
1:CHADEMA ni chama cha Mrengo wa Kati.

Nguvu ya Soko inaamua na pia intervention ndogo ya serikali .Kuwa Center maana yake unaweza ku-align left or Right.Katika mazingira hayo umaweza ku-accomodate sera na ukaamua kulingana na mahitaji ya wakati.

2:Centrists wanaweza kufanya maamuzi sahihi zaidi na kwenye social services kama Shule,hospitali na hata ujenzi wa Nyumba katika kuboresha makazi ambayo ni one of the basic needs of a human being.They can align left to champion social services,they can align Left for whatever reasons.Hapa naona upo katika ideological crisis.Sasa tunaomba aje katibu wako wa Itikadi na Uenezi pengine anaweza kujitutumua.Soma Ideologies vizuri urudi hapa kabla hatujakuvua nguo.Nakushauri kwa usalama wa credibility na heshima ndogo uliyobakiza hapa uondoe hii thread.

3:CCM ni chama cha kijamaa,na Tanzania kwa mujibu wa katiba yetu ya mwaka 1977 ni ya kijamaa hadi leo.Does this ideology reflect the reality on the ground?CHADEMA kina justification ideologically.Leo inakuaje katibu Mkuu wa CCM anatamka kwamba ni sahihi kukumbatua matajiri/mabepari kwa kuwa maskini/wakulima wataleta kuku na bata tu?Inakuaje nchi ya kijamaa waziri Mkuu anatamka kuwa ili mfanyabiashara afanikiwe ni lazima aichangie CCM?

Inakuaje Leo tunafanya investments na kuitisha MNC's bila regulations zozote?

Tukienda deep hapa utaishia kuleta matusi...Jitafakari upya!
 
Akili za Bavicha hapo ndio mwisho wake.

Inaelekea wewe ni miongoni mwa wachache waliolaghaika.

Utekelezaji wa Ilani hupimwa mwisho wa awamu ya uongozi. Ahadi za Kikwete zipime 2015.

Walaghai ni wale wanaokanusha ahadi zao kabla hata hawajachaguliwa, wangechaguliwa ingekuwa BALAA...
Hapo ndipo unapodhihirisha kwamba unamtindio wa ubongo kwa sababu ya kwashiako uliyoipata utotoni kwa ujinga na uzembe wa mama yako mzazi! unawezaje kusema na kuhukumu sera ambazo hazikuweza kupewa nafasi ya kuzitekeleza? Kama ungelikuwa na akili ungetumia muda kuzichambua sera na ahadi za chama kilichounda serikali kama zinatekelezeka au vipi! sasa wewe unakesha hapa na siasa zako maji taka ukidhani unakisaidia chama cha majambazi! mpuuzi wewe! watanzania hawadanganyiki na uwongo mwepesi kama huu wako.
 
Wana JF, kuna mada nyingine zinahitaji kufikiri kidogo sio kukurupuka.
Kwa nchi yenye mipango mizuri kiuchumi cement inawezekana kuuzwa elfu tano.
Tujiulize bidha zinolipiwa kodi 50% nfano VAT 18%na exc. 25% .pia kuna subsidise method.

Kwa hiyo ndani ubepari unaweza uka control bei sio unaachia kila kitu.
 
You are missing the point.

Swala sio bei ni shilingi ngapi. Swala ni nani anapanga bei. Je, bei inapangwa kwenye majukwaa ya siasa au inatokana na hali ya soko. Chadema inaamini kuwa hali ya soko ndio inapaswa kuamua bei lakini kwenye uchaguzi waliwalaghai wananchi kwa kusema kuwa watapanga bei ya bidhaa.

Huu ni ulaghai ambao Dr. Slaa anapaswa kuomba radhi kwa kuufanya.
 
kaka huna data,hebu nenda mbagala kuna kiwanda cha cement pale.wale walisema hata wakiuza sh.8000 wanapata faida,pia cement inayotoka Pakistan inauzwa sh.14000,kama ya twiga.ulasimu wa selikari walikataa camel cement kuuzwa 8000 kisa ataharibu soka la twiga where by serilali kuna percent yake.sasa slaa alizungumza ukweli kwamba cement itauzwa sh.5000 inawezekana Sana fanya utafiti.am engineer najua Sana production ya cement,so materials nyingi za kwetu.samahan mleta post yaan umefuka huna data
 
Hali ya Soko kwa baadhi ya bidhaa inaathiriwa na sera za serikali.CHADEMA kuwa Centrist kina position nzuri ingawa CCM kuwa Chama cha kijamaa kilitakiwa kuwa katika position nzuri zaidi.Wamepoteza Focus.
 
1:CHADEMA ni chama cha Mrengo wa Kati.

Nguvu ya Soko inaamua na pia intervention ndogo ya serikali .Kuwa Center maana yake unaweza ku-align left or Right.Katika mazingira hayo umaweza ku-accomodate sera na ukaamua kulingana na mahitaji ya wakati.

2:Centrists wanaweza kufanya maamuzi sahihi zaidi na kwenye social services kama Shule,hospitali na hata ujenzi wa Nyumba katika kuboresha makazi ambayo ni one of the basic needs of a human being.They can align left to champion social services,they can align Left for whatever reasons.Hapa naona upo katika ideological crisis.Sasa tunaomba aje katibu wako wa Itikadi na Uenezi pengine anaweza kujitutumua.Soma Ideologies vizuri urudi hapa kabla hatujakuvua nguo.Nakushauri kwa usalama wa credibility na heshima ndogo uliyobakiza hapa uondoe hii thread.

3:CCM ni chama cha kijamaa,na Tanzania kwa mujibu wa katiba yetu ya mwaka 1977 ni ya kijamaa hadi leo.Does this ideology reflect the reality on the ground?CHADEMA kina justification ideologically.Leo inakuaje katibu Mkuu wa CCM anatamka kwamba ni sahihi kukumbatua matajiri/mabepari kwa kuwa maskini/wakulima wataleta kuku na bata tu?Inakuaje nchi ya kijamaa waziri Mkuu anatamka kuwa ili mfanyabiashara afanikiwe ni lazima aichangie CCM?

Inakuaje Leo tunafanya investments na kuitisha MNC's bila regulations zozote?

Tukienda deep hapa utaishia kuleta matusi...Jitafakari upya!

Dogo,

Be coherent na mada.

Mada ni ULAGHAI wa Chadema. Mada yetu sio chama kingine cha siasa.

Je, ni nani anayepaswa kuamua bei ya cement? Dr. Slaa kwenye majukwaa ya siasa au hali ya soko? Kwa mujibu wa kauli yake mwenyewe Dr. Slaa ni kwamba yeye na chama chake wanaamini kuwa hali ya soko ndio inayopaswa kuamua bei ya cement.

Kwahiyo Slaa ni wale aina ya wanasiasa wanaosema mamneno matamu ili tu wapewe kura. Ndio maana alizunguka nchini akinadi sera ya majimbo ambayo haitekelezeki - ofcourse kwa sababu alijua kuwa atashindwa uchaguzi, lakini kwenye hili la kuwadanganya machifu wa kisukuma,kinyamwezi na kinyakyusa anapaswa kuomba radhi.
 
Kwanza mimi nataka niongelee kwenye suala la kiuchumi hapo:
1. Tukubali au tusikubali uchumi wa kijamaa hauna nguvu na hata nchi yetu kinadharia inafuata uchumi wa kijamaa lakini kimatendo inafuata uchumi wa kibepari. Na dunia ya leo nchi yeyote ili iweze kuendelea na kushindana basi ni lazima ifuate sera za uchumi wa kibepari.
2. Katika suala la kiuchumi kuna mambo mawili ambayo ni 'price floor na price ceiling'. Katika price floor serikali inaweza kuingilia na kupanga bei ya vitu ambavyo ni muhimu kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wake. Mf. Pale wamiliki wa daladala wanapotaka kupandisha bei ni lazima wapate baraka za serikali kupitia sumatra. Kwahiyo sioni cha ajabu ilani ya Chadema iliposema itapunguza bei ya cement. Na cha ajabu sio kipindi kirefu tu wabunge wa chama cha CCM waliitaka serikali kupunguza bei ya vifaa vya ujenzi (cement ikiwemo).
3. Kuna mambo mengi sana ya kutazama katika chama chako cha CCM,ambacho kimepoteza imani ya watu wengi sana. Ungeweza kutoa ushauri ambao ungesaidia CCM ikaimarika. Na hata sisi tusio na uanachama na chama chochote tukajiunga na CCM.
CCM sio mbaya na hata malengo ya Mwalimu Nyerere na washirika wake kukianzisha chama hiki yalikuwa mazuri,ila aina ya viongozi waliopo CCM ndio wanaiharibu sana. Na nina wasiwasi sana wa hiki chama kuendelea kuwepo madarakani.
 
kaka huna data,hebu nenda mbagala kuna kiwanda cha cement pale.wale walisema hata wakiuza sh.8000 wanapata faida,pia cement inayotoka Pakistan inauzwa sh.14000,kama ya twiga.ulasimu wa selikari walikataa camel cement kuuzwa 8000 kisa ataharibu soka la twiga where by serilali kuna percent yake.sasa slaa alizungumza ukweli kwamba cement itauzwa sh.5000 inawezekana Sana fanya utafiti.am engineer najua Sana production ya cement,so materials nyingi za kwetu.samahan mleta post yaan umefuka huna data

Wewe ni engineer.

Maengineer ni watu wanaojua kufanya hesabu ngumu sana.

Kama engineer unayejua kufanya hesabu ngumu sikutegemei ushin dwe kuelewa vitu rahisi.

Hakuna mtu aliyesema bei ya cement haiwezi kuwa kiasi fulani. Tunachojadili hapa ni MPANGA BEI ni nani? Huo ndio mjadala ulio mbele yake mheshimiwa engineer.
 
Hapo ndipo unapodhihirisha kwamba unamtindio wa ubongo kwa sababu ya kwashiako uliyoipata utotoni kwa ujinga na uzembe wa mama yako mzazi! unawezaje kusema na kuhukumu sera ambazo hazikuweza kupewa nafasi ya kuzitekeleza? Kama ungelikuwa na akili ungetumia muda kuzichambua sera na ahadi za chama kilichounda serikali kama zinatekelezeka au vipi! sasa wewe unakesha hapa na siasa zako maji taka ukidhani unakisaidia chama cha majambazi! mpuuzi wewe! watanzania hawadanganyiki na uwongo mwepesi kama huu wako.

Akili za Bavicha zina ukomo wa kuelewa. Hapo ndipo mwisho wake...
 
Chadema siyo chama wakuu ni genge la waharifu tu,
mkuu endelea kutoa elimu jamii kubwa ilishawatambua hawa mabepari.

Slaa amenikera sana kwa dharau aliyoonyesha kwa machifu wa makabila ya Tanzania.

Kumdanganya chifu ni kosa kubwa sana. Asipoomba radhi anastahili kupewa adhabu kubwa.
 
Back
Top Bottom