Dr. Slaa: CHADEMA ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI

Dr. Slaa: CHADEMA ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI

Kuhusu kodi ndio usiseme kabisa mkuu.

Ahadi za Slaa kwenye kodi ni ulaghai mtupu. Ameahidi kushusha na kuvuta kodi, wakati huohuo anaahidi kupandisha mishahara ya watumishi, kutoa elimu na afya bure, na kujenga miundombinu. This arithmetic just dont add up!!!

Kwa mafisadi wa CCM, kila kitu HAKIWEZEKANI!
Hii ni akili ya waliokata tamaa, kwamba kwa sababu mimi nimeshindwa LAZIMA kila mtu atashindwa!
Poor thinking, Poor generation!
 
humu ndani kuna mengi!

Leo bila aibu Dr. Slaa ametoa taarifa hadharani kuwa Chadema ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI. Katika taarifa yake hiyo amefafanua kuwa Chadema inaamini kwenye Market Economy ambapo bei ya kitu huamuliwa na nguvu za demand and supply.Kwa lugha nyepesi ni kwamba taarifa aliyotoa leo Dr. Slaa ni kuwa yeye na chama chake cha Chadema wanaamini kuwa kupanga bei ya cement iwe sh. elfu tano SIO SAHIHI.

Kama mwalimu wako aliyekufundisha aliishia hapo, ipo haja ya kudai kurudishiwa ADA!
Inamaana hukujifunza maana ya INVISIBLE HAND?????!
Kama hukujifunza, au ulisoma kwa ku-brush utakuwa ni Mangung'o mtarajiwa!
 
Pole sana Zemarcopolo, ccm mnapaswa kutopanic kipindi hiki ni kigumu kwenu, bandiko lako limejaa ushakunaku uliokithiri, hakuna sababu ya kufanya personal attack, ingekuwa vyema kama ungeipitia katiba ya CDM ndipo uje na argument, ccm inapaswa kutimiza ahadi na sera zake badala ya kila kuchapo Dr Slaa
 
Unaweza kutuambia kwa nini inawezekana Afrika Kusini iwe muuzaji mkuu wa Tanzanite badala ya Tanzania ILA isiwezekane bei ya bidhaa mbalimbali kushuka?
Kwanza ushajiridhisha juu ya sababu za kufumuka kwa bei Tanzania?
Unapoleta mada kwenye jukwaa kama hili, hakikisha akili imekaa sawa..

Jaribu kusoma ulichokiandika kama utakielewa.
 
Pole sana Zemarcopolo, ccm mnapaswa kutopanic kipindi hiki ni kigumu kwenu, bandiko lako limejaa ushakunaku uliokithiri, hakuna sababu ya kufanya personal attack, ingekuwa vyema kama ungeipitia katiba ya CDM ndipo uje na argument, ccm inapaswa kutimiza ahadi na sera zake badala ya kila kuchapo Dr Slaa

Mkuu,

Je unataka kusema Katiba ya Chadema imeandikwa tofauti na kauli za Katibu wake Mkuu?
 
Back
Top Bottom