Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!

Naona haukuwa makini kusoma taarifa ya dr na mahojiano yake na kituo cha Runinga cha chanel 5.Dr alimtaka Nape apeleke ushahidi kuwa kadi imelipiwa ofisi gani na lini,acha ukilaza......

- Nah sijawahi kusikia anakanusha bro, mbona ya kuwa na kadi alisema wazi na wote tumesikia na kusoma magazetini, hili la kulipia kadi hajakanusha ni wakati muafaka sasa akakanusha kwamba hajawahi kulipia kadi yake ya CCM, ili apewe risiti zake!1

le mutuz
 

Mkuu una maana kuwa yeye ni mwanachama wa CCM?

Hili sharti la kutoka uanachama unapojiunga na chama cha upinzani unasemaje?
 

Hawezi kuwa raisi wa mataahira kama wa CCM.
 
Mkuu una maana kuwa yeye ni mwanachama wa CCM?

Hili sharti la kutoka uanachama unapojiunga na chama cha upinzani unasemaje?

- I mean ukiwa na kadi ya chama kingine cha siasa na unailipia kila mwezi si unakuwa mwanachama wa kile chama au?

le mutuz
 

Mzee unanikumbusha enzi za Mrema 2005 wakati anaenda kuchukua/kurudisha form ya Kugombea Urais. Alikwenda amevaa Joho huku akisema CCM wanamtishia Degree, sasa ndo hiyo kaipata sasa. My point is; Pamoja na kufail and we all know you failed, Unakuja kututishia hapa JF kwa kuweka avatar picture/photo ya Kijoho!?!?
 
Kwani Jumanne alikuwa mtu wa namna gani?
 
Wewe bwana mdogo William, sisi wakazi Wa London tunajua unaposema kuwa una Bomu la Kiongozi aliyetaka kubaka unamlenga nani!! Hayo yalishazungumzwa hapa JF soma kumbukumbu. Hayana mshiko.
Sasa unaweza kutueleza kwa nn Nape amekimbia maswali leo?
Operation fukuza itaendelea maana na sisi tuna makachero CCM,
Hivi kwa nini hujiulizi tunajuaje mbinu zenu kirahisi. Tumewaweza!!
 


Mkuu umekuwa kimya muda mrefu sana,tukadhani umerudi new york city kwa wajanja!!!
 

Mbona unawaza kwa kurudi nyuma mkuu, kichwani uko sawa kweli ama maumivu ya kunyimwa nafasi ya uongozi kwa CCM bado hayajaisha...
 
King of Bongo Social Media Network??? Kwa PUMBA hizi?????
 
- I mean ukiwa na kadi ya chama kingine cha siasa na unailipia kila mwezi si unakuwa mwanachama wa kile chama au?

le mutuz.......

Sheria si zipo? Mpelekeni Mahakamani. Kama kuna kosa litajulikana huko. Tafuteni sababu nyingine.
 
mbona unawaza kwa kurudi nyuma mkuu, kichwani uko sawa kweli ama maumivu ya kunyimwa nafasi ya uongozi kwa ccm bado hayajaisha...

........

- Nah sitaki kuamini kwamba huko Chadema mna maumivu ya kukosa uongozi wa Taifa au?

le mutuz
 
Hivi mtu mzima mwenye akili timamu unaweza jiita "THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA"Kweli mzee malecela amekula hasara.
 
Hivi mtu mzima mwenye akili timamu unaweza jiita "THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA"Kweli mzee malecela amekula hasara.

- Lakini hana kadi ya Chadema, the ishu hapa ni Dr. Slaa mpaka leo kwa nini hajakanusha au kukubali kwamba anailipia kadi yake ya CCM?

le mutuz
 
Hili jamaa mimi huwa nalidharau sana. Akili ya kushikiwa kabisa, we mtu uliyeshindwa hata kupata alama D tatu kwenye mtihani wa kidato cha nne ndo upange mipango ya kumdondosha Dr Slaa. Hiyo ni akili ya fisi kufuatilia mkono wa mlevi kwamba huenda mkono ukadondoka. This is Shit...

Habari ya kadi imeisha expire, kama ilivyo expire ya wewe kumtukana Kikwete kwenye mtandao wa Ze Utamu
 
Ila jamani usomi unadhalilishwa sana hapa nchini, eti mtoa hoja na yeye ni graduate si unaona mavazi yake au amevaa tu? Leo hii anaongelea hoja ya kipuuzi kama hii duh. Kwenye CCM huyu ni kijana sio? Vijana wa CCM tumieni muda mwingi kufikiria namna ya kujenga chama chenu na si kuifuatafuata Chadema. Wananchi wa siku hizi tunaona. Kama alivyosema msemakweli, jibuni hoja hizo vinginevyo forget 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…