Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!

- So mnawaonea dagaa kumbe gombe mnaogopa? Mnawafukuza watoto wadogo wasio na makosa lakini wakubwa kina Slaa mnawaogopa? Sasa mkishika nchi itakuwaje?

le mutuz
Kule CHADEMA hawana shida na kadi ile. Ipo kwenye maktaba binafsi ya Dr Slaa. Na sio kadi moja tu hiyo mnayoshupalia. Kama mtu makini, Dr Slaa hatupi au kuchoma kumbukumbu zake muhimu. Njoo na thread mpya WJM. Hii ya kadi mbona imekwishachuja?
 

yaani, wewe mrembo hoja zako ni too narrow....aaagghhar, insanity and desperation.

Hivi unajua kuwa JK huwa anavunja Katiba ya nchi kila siku?
 
Hawa wanashikilia bango mambo yasiyo ya maana ili watu wasiwaze ya maana.
 
Jamaa hakuwai kuja na hoja yake zaidi ya kudandia za wenzie tena zile za kijinga!

Nimeamini Dr slaa ana watesa sana Maccm! Juzi kati ulisema kuwa cdm hawan lolote Maccm yanawapa kichwa ni bora kuwa puuza lakini naona umekula matapishi yako!

Likini na kumbuka ulisema utafanya njia yeyote kuhakikisha chadema ina sambaratika! Lakini kama njia zenyewe ni hizi za kukopy kwa @Nnauye jr basi we ni mweupe sana maana hapa hakuna cha kutetelesha chadema wala Dr slaa!

Dr slaa hakika ni kiboko yenu!
 
- Ungefungulia Thread yake hapa haihusu, inahusu Slaa kwa nini hajakanusha kulipia kadi yake ya CCM na kwa nini mmefukuza watoto wadogo na kumuacha Slaa na kosa lao ni lile lile?

le mutuz

Mimi pia mbona ninayo kadi ya ccm na nimeilipia mpaka 2017 na mnanihesabu kama mwanachama wenu siyo? Kweli Dr slaa, Dr wa kweli anawanyima usingizi na bado mtabuni mbinu zote lakini kwa kuwa mmeruhusu akili ndogo kuwatawala nyie wenye akili ndogo zaidi mtaishia aibu.
 


najua unamtaka Dr slaa,lakini hutompata..!!

nendeni kwa babu mkapate kikombe
 

We unatoa ushauri kama nani kwa Dk. Slaa&CHADEMA??? Jisafishe kwanza mwenyewe.
 
- Kwa vile uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana hukuelewa nilichomjibu ni kwamba mbona hawa wadogo majuzi kule Bavicha hamkuwapa hizi choices? unazotaka apewee Slaa?

le mutuz

jibu swli wewe ni punga? kama sio unahisihi nini kimefanya hii habari isambae mjini?
 

- Great, hoja ya mtu mwingine 11 pages sasa nikija na hoja yangu itakuwaje bro? ha1 ha! ha!

le mutuz
 
- Tafadhali jibu hoja ni kwa nini Chadema na Slaa hawajajibu ishu ya Slaa kuilipia kadi yake ya CCM?

le mutuz

Labda tujiulize umuhimu wa jibu la CHADEMA au Dr Slaa kuhusu umiliki wa kadi ya CCM;

Binafsi naona,

Majibu yake hayana maana yeyote kwa masikini wanaoshindia mlo mmoja au labda hata maji tu kwa siku...
Majibu ya umiliki wa kadi hatayamsaidii mwananchi anayedhulumiwa haki yake mahakamani kisa tu, hana kipato...
Majibu ya kadi hayawezi kurudisha dhahabu zinazosafirishwa nje kila siku wala nyumba za serikali zilizouzwa kinyemela!
Majibu ya umiliki wa kadi hayawezi kuwarudishia ardhi wale wanaonyang'anywa..
Majibu ya kadi hayawezi kutuletea haki yetu ya kuishi tunayoona wenzetu wananyang'anywa na polisi kila siku...

Ni ufinyu wa mawazo ndio unaotufanya sisi (mimi nikiwa mmoja wapo) hata kudiriki kukujibu, kwa sababu ningepaswa kufanya jambo la maana zaidi na muda wangu.

Tunahitaji kujadili vitu vya maana zaidi kama taifa.
 
We unatoa ushauri kama nani kwa Dk. Slaa&CHADEMA??? Jisafishe kwanza mwenyewe.

- Mimi ni mwananchi wa Tanzania ninayelipa kodi yangu ambayo inawapa ruzuku Chadema kila mwezi kutoka kwa Serikali ya CCM, ndio ninauliza iweje Slaa anakuwa anlipia kadi ya CCM na kuwa Kiongozi wa Chadema?

le mutuz
 


Ningeomba mods wafute upuuzi huu,

hapa suala CCM ,watuletee huo ushahidi wa DR, kulipia kadi yake.Alienda tawi lipi na receipt tuletewe,vinginevyo hawa ni watu wanaopoteza muda humu ndani, tuache kujadili jinsi rasilimali zetu zinavyopukutishwa na baba zao, huku wakitetea ulaji.
"katibu wenu mkuu anaua tembo wetu,meno yamekamatwa huko Hong Kong yeye akijifanya hajui akijificha kwa kivuli cha katibu mkuu wa Chama cha majangili".Siku zenu zinahesabika, wewe endelea kuchumia tumbo.watu wanakufa hospitali hakuna CT Scan,wewe unatuletea upuuzi humu ndani.
 
Mimi sijapinga kuwa wewe sio King ,jibu swali acha mbwembwe .Hujui kuwa hata ukivua nguo barabarani unaweza ukavutia watu wengi wakuzunguke .So kwa usomi wako uwe unapembua watu wanapokuzunguka wakati umevua nguo wamekuja kukusikiliza kwamba wewe ni shujaa ama wanakushangaa wakihakiki kuwa ni wewe kwa ujinga unaoufanya .

Jipime wewe na vijana wenzako wa ccm kina J. Makamba ,Deo Flikunjombe ,L.Masha nk .Kaka unatia kin.yaa kwenye media (samahani kwa neno hilo ,ila inapaswa uambiwe ukweli).
 

- Kuna thread nyingi sana humu JF kuhusu hoja unazozisema kwenye Maisha kila kitu na wakti wake, so huu hapa ni wakati wa Slaa kwa nini analip[ia kadi CCM na hafukuzwi wengine hawana hata kadi lakini wanafukuzwa?

le mutuz
 

- Haya ni mawazo yako kwa vile sina mawazo kama yako ya kukumbatia mediocre, umesema maneno mengi lakini hujagusa the ishu yaani Slaa kwa nini analipia kadi yake ya CCM na hafukuzwi?

le mutuz
 

nadhani hayo ndiyo ya msingi zaidi kuliko hizo siasa zao za majitaka wanazotuletea kila siku,hivi huyu kichwa maji naye anaona ni hoja kweli katuletea hapa jamvini tujadiliane,mtu mzima lakini ni hovyo kabisa,ukimsoma ktk thread zake za mwaka 2009 huwezi kuamini kuwa ni huyu aliyejitoa uwezo wake wa kufikiri namna hii,he is just like a homeless trump,aibu piuuuu!!!
 
- Haya ni mawazo yako kwa vile sina mawazo kama yako ya kukumbatia mediocre, umesema maneno mengi lakini hujagusa the ishu yaani Slaa kwa nini analipia kadi yake ya CCM na hafukuzwi?

le mutuz

kwa nini nyie msimfukuze kwanza huo uanachama wake???
 
- Mimi ni mwananchi wa Tanzania ninayelipa kodi yangu ambayo inawapa ruzuku Chadema kila mwezi kutoka kwa Serikali ya CCM, ndio ninauliza iweje Slaa anakuwa anlipia kadi ya CCM na kuwa Kiongozi wa Chadema?

le mutuz

Pamoja na watu wote hapa kukwambia akili zako hazitoshi bado unaendelea kuandika? huwa unasikiliza vyombo vya habari au kutwa uko kwenye kumbi za starehe na kujipigisha vipicha? tunakuchora tu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…