Jidulamabambase
Member
- Nov 28, 2010
- 31
- 5
Matokeo ya shule za kata na Division V, Why dont you pretend to have respect to elderly people. It lookd like you are one among the uncultured fellow? Why dont you ask your lovely Party to go around the country explain to all Tanzanians why are we poor in the midst of tremendous natural resources? Can you explain to us why are we not developed, Because the found fathers of the nation once said "For Tanzania to develop we basically needed four things, PEOPLE. LAND, GOOD POLICIES, AND GOOD GOVERNANCE" What is missing under the leadership of CCM for more than a half of the century?Ndugu zanguni,
Nimekaa na kujiuliza , hivi kwa nini kila kukicha kinanuka ndani ya chadema?
Nimegundua kuwa hiki chama sio salama kabisa na haya yamedhihirishwa na katibu mkuu wake Dr Slaa kwa kuamua kubaki na kadi ya CCM kwani anajua tu iko siku kitanuka huko hivyo itabidi arudi nyumbani tu.
Chadema walifanya kosa kubwa kumpa Mbowe uenyekiti kwa sababu ya uwezo wake kifedha na haya ndio malipo yake. Kila siku ni timua timua...
JITAMBUE!
Siku zite naamini kuwa Dr ana busara sana ukija kwenye masuala ya akiba na hazina.Mwenyewe alisema "akiba haiozi" kumbe alikuwa anajua anachomaanisha...
Siku zite naamini kuwa Dr ana busara sana ukija kwenye masuala ya akiba na hazina.
Ndio maana huko Chadema analamba tu ruzuku na hela za sabodo kwani anajua hakuna future...
Slaa ana akil I sana, anajua nyumba anayoishi sasa no ya barafu, jua likiwaka itapotea.
Hata Mimi nilipokuwa chadema sikurudisha kadi, niliitunza kwani nilijua no muhimu kuliko gwanda
huyo mzee nae ni gamba tu.alifanya kazi na tiss kupata majina ya mafisadi papa.ndo maana Zzk anakomaa nae.Katibu Mkuu wa CHADEMA
Slaa amehojiwa na gazeti la Mwananchi (Ukurasa wa Sita gazeti la Leo
Tar31.12.2013) amekili kuwa anakadi yq CCM hadi leo na haoni sababu ya
kuitupa kwani ni mali yake na ameilipia.
"Katoba inaniruhusu,hakuna sehemu iliposema nikihama chama nirudishe
kadi,niacheni".
MODS naomba Attachment hiyo muiweke vizuri isomeke yote.