Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Siyo kada hata kidogo. Ni njaa tu! Moyoni mwake hayupo nao! Njaa mwanamalegeza! If you want to befriend a lion, starve it for weeks or so, then feed it with flesh!
Padre Slaa ni kada wa ccm kabla hajaamia Chadema na hajawahi kurudisha kadi ya ccm.
 
Upinzani wa leo ni ukada wa CCM hadi sasa hakuna upinzani wa kweli bali upinzani wa NJAA..
 
Padre Slaa ni kada wa ccm kabla hajaamia Chadema na hajawahi kurudisha kadi ya ccm.
No, please by those days kulikuwa na chama kimoja TANU/CCM there was no alternative. Vilipokuja vyama vingi watu wakawa revolutionized.
 
Dr Slaa sio issue tena ya mjadala. He is nothing
 
Muuliza swali kama alihitaji kujua, aelimishwe siyo kumpotosha na Siasa za uchochoroni. Kama hoja ya swali ilikuwa ni kwa kuteuliwa kwake, Rais ana mamlaka ya kumteua "mtanzania" yeyote yule kushika nyadhifa yoyote ile, ambayo anadhani angeikidhi. Watanzania wote kwa ujumla wetu, tunawajibika kwa yote ktk nchi yetu.

Kama msingi wa hoja ni kwa kuipongeza serikali kiutendaji, Siasa za upinzani si kupinga kila kitu hata kama kinaendana na unayoyaamini. Member wa republic anaweza akajiunga na wale wa Democratic ktk voting, kwa US.

Kwahiyo inawezekana si kada wa Ccm ila ameyakubali yanayotendeka na Ccm, kama alivyosema mwenyewe, sio kosa. Kukubali uteuzi, ni uzalendo wake kwa nchi yake. Vikitokea vita vya kijeshi watz bila kujali itikadi ya kivyama tutaungana, tuko kwenye vita vya kiuchumi na kuliletea maendeleo taifa, itikadi tuviweke kando.

Kama msingi
 
Alikuwa akiishi Canada kwa pesa za CCM halafu baadaye mkadanganywa anafanya kazi ya kuuza duka!!

Lengo kuwapumbaza "wajinga" waamini ili waondoe wazo la kuwa alikuwa akitumia pesa zenu
 
Muuliza swali kama alihitaji kujua, aelimishwe siyo kumpotosha na Siasa za uchochoroni. Kama hoja ya swali ilikuwa ni kwa kuteuliwa kwake, Rais ana mamlaka ya kumteua "mtanzania" yeyote yule kushika nyadhifa yoyote ile, ambayo anadhani angeikidhi. Watanzania wote kwa ujumla wetu, tunawajibika kwa yote ktk nchi yetu.

Kama msingi wa hoja ni kwa kuipongeza serikali kiutendaji, Siasa za upinzani si kupinga kila kitu hata kama kinaendana na unayoyaamini. Member wa republic anaweza akajiunga na wale wa Democratic ktk voting, kwa US.

Kwahiyo inawezekana si kada wa Ccm ila ameyakubali yanayotendeka na Ccm, kama alivyosema mwenyewe, sio kosa. Kukubali uteuzi, ni uzalendo wake kwa nchi yake. Vikitokea vita vya kijeshi watz bila kujali itikadi ya kivyama tutaungana, tuko kwenye vita vya kiuchumi na kuliletea maendeleo taifa, itikadi tuviweke kando.

Kama msingi
Rais alisema kule Zanzibar kuwa kamwe wapinzani hawatatia pua kwenye serikali yake. Hivyo jibu ni kuwa Dr. ni kada mzuri tu wa CCM.
 
Kachoka kula mihogo kule Canada na kufanya kazi za kuuza duka. Hivyo aliomba afikiriwe maana lile bulungutu alilopewa 2015 lilishakauka.

Amani iwe nanyi, naomba kuuliza je Dr. Slaa ni kada wa CCM? Maana sijaelewa kinachoendelea au naye anamuunga mkono Rais Magufuli?

Naomba mwenye kujua hili anipatie elimu kabwela mimi.

Ahsante.
 
Kwa mujibu wa Biblia Takatifu Laana ya usaliti inatafuna hadi kizazi cha nne
 
Unashangaa Slaa hata mwenye kiti wako ni kada mtiifu wa sisiem
 
Hivi kuna wanamsifu huyo malaya!! Hata kwenye macho ameandikwa msaliti!!
 
Alikuwa anaweka kwenye pochi na alishawahi kukiri kuimiliki kadi ya Chama cha Mapinduzi mbele za Mr chairman. Hakuna mtu ameshukuru kuondoka slaa Chadema kama si Mr chairman maana alikuwa anamnyima raha kweli kweli.
 
Amani iwe nanyi, naomba kuuliza je Dr. Slaa ni kada wa CCM? Maana sijaelewa kinachoendelea au naye anamuunga mkono Rais Magufuli?

Naomba mwenye kujua hili anipatie elimu kabwela mimi.

Ahsante.
Kwani kaitwa makao makuu ya CCM? Inawezekana ulimiss taarifa; Dkt. Slaa ameteuliwa kuwa Balozi alipokuwa Canada. Amerudi nchini na kukutana na aliyemteua. Inawezekana katika kujadiliana post atakayopangiwa. Sasa kinachokufanya umhusishe na CCM ni nini. Ukimuona anashiriki kampeni ya kumuuza mgombea wa CCM akiwa na magwanda na akiisifia CCM utakuwa na swali zuri. Tupo wengi tunaomuunga mkono Magufuli lakini hatujashawishiwa si mashabiki wa CCM na misimamo yetu inaendana Zaidi na tulipokuwa awali kuliko ile ya CCM.
 
Amani iwe nanyi, naomba kuuliza je Dr. Slaa ni kada wa CCM? Maana sijaelewa kinachoendelea au naye anamuunga mkono Rais Magufuli?

Naomba mwenye kujua hili anipatie elimu kabwela mimi.

Ahsante.
Hapo hakuna cha elimu, MKUU alisema hawezi teua wapinzani, ndiyo maana hata wale waloteuliwa wakijiita wapinzani waliishaungana naye. Wahenga walisema kila shetani ana mbuyu wake, ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom