takeaction
Member
- Apr 2, 2012
- 11
- 3
[/QUOTE]Hivi kweli kama Dr is going down or already down, why are going dwn with him by taking year time posting all these? It shows yuko juu na anawatisha! Pole but your strategy of dealing with it is not working. Hapa ni great thinkers!
QUOTE=masopakyindi;5173218]Ha ha
Now you are talking!
However I thought thinking is a reserve for thinkers, then you might see what I am talking about!
Sasa tuwe direct
Dr Slaa talks the talk , but he has failed miserably to walk the talk!
Is that also difficult to figure out?-that seems too obvious to many.
Au kwa waswahili wenzangu wanasema amebugi meen!
Waswahili husema kipendacho roho hula nyama mbichi, na kwa dalili zote za uozo ndani ya Dr na huzioni basi nitashindwa kukusaidia katika hilo.mbona hujathibitisha kuwa hashindwa walk the talk?Ingawa pia nitapenda uniambie wapi CCM wameweza?
Waswahili husema kipendacho roho hula nyama mbichi, na kwa dalili zote za uozo ndani ya Dr na huzioni basi nitashindwa kukusaidia katika hilo.
Mkuu as a thinking man you dissapoint me.Kwanini udhani mimi nahitaji kusaidiwa na wewe na si wewe kusiaidiwa na mimi?Tayaru hujaona kinyume chake ndio kweli .Wewe unachuki na Dr. ndio maana haupo tayari kula nyama iliyoiva.Juzi tuu Tuu amani kasema Kitu hatari kabisa, yaani wanayo card ya ASP ila hakuna aliyefungua mdomo kwa vile hawakuona chochote kibaya.Zanzibara wanafikiria kujitenga, na kuwa na kadi ya ASP kwa mbwembwe si ishara njema.Instead kwa Issue ya Dr. ni tofauti kwa vile kuwepo kwake CDM ni chukizo kwa CCM.
Kuhusu anapokwenda nape kuwa Dr. analipia kadi ni wazi kuwa Nape atahitaji jieleza kwa ushahidi kuwa dr. Ndie alikuwa akilipia na si SIMULATION YA HILO ZOEZI wanaloweza fanya wana CCM kama kawaida yao.
Mkuu as a thinking man you dissapoint me.
You are betraying your mental faculties for blind loyalities which are not only uneccessary , but also uncalled for.
Mchukue Dr kama Dr.
Sina sababu ya kumchukia Dr Slaa kama mtanzania mwenzanu lakini track record yake is not anything to be roud of.
Dr useja, tena wa kiapo umemshind
Dr kachikua mke wa mtu
Dr kaacha familia yake na watoto bila matunzo
If you call that exemplary then you should have your head examined.
Sasa na Dr anataka kuwa rais wa nji hii.
The most we can expect from Dr Slaa ni kuendelea kuongoza CDM, at your chagrin.
unahoja nyepesi huku ukijiaminisha kuwa upo makini.
Kuacha useja bado ni hiari na sheria za catholics zimewekwa zikiwa na Exit door.Na yeye kaitumia.Si wewe tuu uliye mbumbumbu hata CCM walishapewa majibu na Catholic.
Huyo mke wa mtu alishaachika.Pia hujaulizia akina mama wa CCM wanachukuliwa na watu wangapi ndani ya CCM?Ingekuwa dr. Kamchukua mke wa Mtu basi kuna wengi ktk CCM waliopaswa kuwa gerezani.
hayo ya kuacha familia bila matunzo , ni umbe unaokufanya uzidi kuwa kituko.je unao thibitisho wa hilo?Wanaishi vipi?
Uthibitisho wa Dr Slaa kutelekeza watoto wake pamoja na mama yao bila matunzo kesi ipo mahakamani imefunguliwa na mama wa watoto wa Dr Slaa, Rose Kamili anadai fidia ya milioni 50. Vile vile anadai fidia ya milioni 500 kwa Josephine, kumchukulia mume wake ambaye ni Dr Slaa.
mzee wa kulaza ubongo umeingia ghafla kwa povu jingi kama kawaida yako.Mahakama imeamua aje?
Nani kakuambia mtuhumiwa ni mkosefu?
Una hakika gani kuwa kweli walitoswa au ni nmama tuu na wivu na mashindano ya kurudisha esteem baada ya mama kuona alichoshindwa wenzie wameweza.
Its only CCM who are stupid enough to be trappend in their own lies.
Kesi bado ipo mahakamani hukumu bado...unauliza nina hakika gani? Hivi wewe na Rose Kamili nani tumuamini? Wewe na watoto wa Dr Slaa nani tumuamini kama watoto wa Dr Slaa wanakiri kuwa baba yao aliwatelekeza wapo upande wa mama yao, wewe Chadema-Kata unapinga...kama unasikia uchungu sana lipa milioni 50.
kadi si lazima urudishe kuthibitisha kuwa si mwanachama,, KUTOILIPIA ada tu kwa muda uliowekwa inakuwa umejitoa uanachama. kama hailipii ada wewe unawashwa nini?
kama kesi ipo mahakamani na hukumu bado, funga mdomo basi umbea hatutaki.Kaamuamini Kamili, kwnai kuamini si chaguo la mtu.Mbona wewe unaamini kuwauislam ndio ulileta uhuru nani kakunyima.
Huyo Kamili alikuambia wapi?wakati mahakama haijaridhia?
Hujioni unavyotoka povu?kichwa water kabisa.Hivi ni kwamba mnabadiishana vichwa na Nape au ni ndege wa kufanana huruka pamoja?
Kauzu kama wewe uwezi kunifunga mdomo hakuna sheria yoyote ambayo inakataza watu kujadili kesi ambayo ipo mahakamani. Hata nyie Chadema mnajadili wizi wa EPA, mauaji ya Mwandishi wa habari, Richmond, wakati kesi zipo mahakamani hakuna aliyewaambia mfunge midomo yenu...usijifanye unampenda sana Dr Slaa hata kwenye mambo ya kishenzi unamtetea kiongozi ni kioo cha jamii watu wanataka kiongozi msafi.
Mkuu as a thinking man you dissapoint me.
You are betraying your mental faculties for blind loyalities which are not only uneccessary , but also uncalled for.
Mchukue Dr kama Dr.
Sina sababu ya kumchukia Dr Slaa kama mtanzania mwenzanu lakini track record yake is not anything to be roud of.
Dr useja, tena wa kiapo umemshind
Dr kachikua mke wa mtu
Dr kaacha familia yake na watoto bila matunzo
If you call that exemplary then you should have your head examined.
Sasa na Dr anataka kuwa rais wa nji hii.
The most we can expect from Dr Slaa ni kuendelea kuongoza CDM, at your chagrin.
kwa wembamba wa fikra zako nilijua utafikiri nimekwambia kuwa kesi kiwa mahakamani hairuhusiwi iongelea.Upo predictable sana mzee wa kudekeza ubongo.Nilijua ungekimbilia ndio maana nikaandika kama nilivyoandika.Hapa issue ni kwamba kama mama kamili kaamua kwenda mahakamani basi asubiri mahakama ithibitishe malalamiko yake na ndipo hizo tuhuma zako na zake zipate sura ya kuwa kweli.
Kwa ujumla ni mahakam tuu ndio inaweza thibitisha na kumtangaza mtu kuw amkosefu aua lah.Na si wambea kama nyie.
Mzee wa pumbaa bana hivi kupora mke wa mtu na kumpa ujauzito na kufukuza mwanamke uliyezaa naye inaitaji mahakama?