Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
ccm hamna hoja hata kidogo mmekazania hoja zisizo wahusu,ruzuku ya chadema wewe inakuhusu nini?hivi hamuoni hata haya kufuatilia matumizi ya pesa ambazo haziwahusu?hivi unaanzaje kuuliza bajeti ya maisha ya jiran yako? Huu umbea vijana wa ccm utawaisha lini?
Hizo fedha za ruzuku ya chadema zinatuhusu wote kwani zinatokana na kodi ya wananchi wote bila kujali itikadi.