Dr Slaa Avunja rekodi Afrika

Dr Slaa Avunja rekodi Afrika

Nani anamsifia nani... wa kumsafisha dr slaa ni CAG peke yake. Ngoja vyama vikaguliwe na ripoti ifike pale mjengoni. Mh mbowe atavalishwa kanga for sure. Maana anavyopenda kutaka wengine wajiudhuru. Tutaona kamati kuu itamchukulia hatua gani. Jiandaeni kulia zaidi ya pale mliposhindwq mahakamani na zzk
 
Yaani huyo mzee anafanya kazi pale CCBrt kwa kutumia fani gani !? Hana utaalamu wa uongozi. Wala sio mhasibu pale ... sasa yeye pale ni political figure tu. Sasa ni kweli hizo sifa anazistahiki kweli. Ila mbona anashindwa kuing'oa CCM ?!
 
wewe unajua kaz ya m/kit? au unafikir na ccbrt haina mwenyenayo km cdm! tungempongeza km angekua mkurugenz mtendaj lkn kwa m/kit n kumpa sifa zisizo mstahir! atuambie matumiz ya chama yakoje km kiongoz wa kisiasa
Mahesabu ya chama kaulze kwa CAG, cdm hawana account Berlin kjna...!!!
 
mwambie aendelee kukupa nyeti zote ila asisahau yafuatayo: kurudisha milioni arobaini ya chama aliyojikopesha ili akarabatie nyumba yake sinza, atoe taarifa ya bastola kule igunga, atoe taarifa ya IPAD iliyohongwa mwamke na makene,asubirie kidogo aone alivyodanganya kuwa yeye ni dr, baada ya hapo utaendelea kuona ubora wake pia ile kadi ya ccm aliyolipia miaka thelathini airudishe asidanganye kuwa ni mali yake

Ndyo tatizo lenu MAGAMBA
 
Yaani huyo mzee anafanya kazi pale CCBrt kwa kutumia fani gani !? Hana utaalamu wa uongozi. Wala sio mhasibu pale ... sasa yeye pale ni political figure tu. Sasa ni kweli hizo sifa anazistahiki kweli. Ila mbona anashindwa kuing'oa CCM ?!

Wewe ndy unasema pumba kabisa,kwani nani kasema Dr Slaa ni mhasibu CCBRT!,Kwahiyo mtu kuwa mwenyekiti ni mhasibu?
 
Bravo our presidaa. Cc Ritz, chama, ZemaMarcopolo, rejao et al
 
Great! Kama ndivyo nampongeza sana kwa kazi nzuri. Tanzania na Afrika tunahitaji viongozi kama hawa waadilifu na wenye uwezo wa kusimamia mali na taasisi zetu kwa ufanisi.
Tujiulize usimamizi wa fedha ndani ya chama chake ukoje?
 
Dk slaaa hakuna kama yeye miccm hiihabari kwao ni mkuki moyoni
Kweli mkuu ccm uadilifu ni mama mkwe.Nchi hii ina fedha nyingi lakini zina ishia kwa mafisadi.Kagame aliwahi kusema Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar ange waambia wanananchi wake watapata bure huduma zote mhimu.
 
Kweli mkuu ccm uadilifu ni mama mkwe.Nchi hii ina fedha nyingi lakini zina ishia kwa mafisadi.Kagame aliwahi kusema Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar ange waambia wanananchi wake watapata bure huduma zote mhimu.

Rwanda hata Mwanza ni kubwaa
 
Safi sana Dr. Slaa! piga kaz baba wanafiki weng 2! lkn 2naamin kuwa CDM tuko imara!. NB=Sio m2 unamchambua upande m1 angalia na upande chanya! kwan viongoz wa ccm wangap wamevunja recod za ufisad?
 
nani anamsifia nani... Wa kumsafisha dr slaa ni cag peke yake. Ngoja vyama vikaguliwe na ripoti ifike pale mjengoni. Mh mbowe atavalishwa kanga for sure. Maana anavyopenda kutaka wengine wajiudhuru. Tutaona kamati kuu itamchukulia hatua gani. Jiandaeni kulia zaidi ya pale mliposhindwq mahakamani na zzk

sasa hivi huyo kilaza yuko wapi
 
Kiongozi wa chama cha Upinzani na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)
Amevunja rekodi ya usimamizi katika vyama vya siasa barani Afrika, Dr Slaa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCBRT, Amevunja rekodi hio baada ya kuongoza usimamizi wa fedha za wadhamini wa Taasisi anayoiongoza; Akizungumza na Radio ya taifa mjini adis ababa,Abdil jabir Mkuu wa vyama vya siasa Afrika ya Magharibi alipongeza hatua hio kwa kua ni nadra kwa Nchi za Afrika kuwa na Kiongozi muwazi. Itakumbukwa nafasi hio ilitangazwa kwa mara ya kwanza Mjini Libravile,Gabon, Kukiwa na nchi washirika 43, Maazimio hayo yalifikiwa huku vyama vya siasa barani Afrika vikiwa na wakati mgumu, Hasa linapokutazamiwa suala la Uhuru.

WASHNGTON

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KIMEVUNJA REKODI YA VYAMA VYA SIASA NCHINI TANZANIA KWA KUFIKISHA IDADI YA WANACHAMA MILIONI(10)

HAYO YALIBAINISHWA HIVI KARIBUNI NA MKUU WA UTAFITI SERA NA MAHUSIANO WA CHAMA HICHO AKIWA MJINI WASHNGTON

ALISEMA
CHADEMA KWA SASA NI TAASISI INAYOJITEGEMEA KWA KUWA NA WQNACHAMA ZAIDI YA MILIONI KUMI TANZANIA BARA PEKEE.

HATUA HIO INAIFANYA CHADEMA KUVUNJA REKODI YA VYAMA VYOYE TANZANIA IKIWEMO CCM,CUF,TLP,UDP,NK

hakuna ukweli katika ili,tuwekee list ya wanachama
 
Back
Top Bottom