Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,796
- 8,620
ZZK's running the show!
Wewe sawa na kenge wa madoadoa mla kuku wa jiraniWanaJF,
Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, ameandaa tamko maalumu kwa wapenzi wote wa CHADEMA na Watanzania kwa ujumla juu ya kuziweka mali zake hadharani!
Tukio hili la kijasiri ambalo limepangwa kufanywa na Dr Slaa litaenda sambamba na kuweka wazi mshahara wake anaopewa na CHADEMA pamoja na marupurupu mengine.
Katika kufikia hatua hiyo, Dr Slaa pamoja na wafuasi wake wanaamini wataweza kusambaratisha kasi ambayo ACT - Tanzania imekuja nayo.
Aidha, baadhi ya wadau wa mtaa wa Ufipa wamesema pamoja na Dr Slaa kuandaa tamko hili la kijasiri, bado wana mashaka juu ya usahihi wa orodha ya mali ambazo Dr Slaa ana miliki.
Je, wewe unadhani Dr Slaa, Mbowe, Sugu, Msigwa na makamanda wengine waandamizi wataweza kuziweka hadharani mali zao kama ambavyo mzalendo Zitto amethubutu kufanya?
Anazo 1D nyingi.
Mdau uliadimika sana JF, kulikoni!
WanaJF,

Hatuna muda na huo upuuzi,tunasubiri Rais wa watu Dk.Slaa atuongoze nchi inyooke tupumue,we have oppressed & disregarded a great deal now we want changes.OVER
ACT wanatafuta kick kupitia chadema ,naona wao mashambulizi yote ni kwa chadema. Yap CCM well done kwa move mliyofanya maybe itasaidia kidogo but for a short time.
Its disgrace for such young great politician to turn against such promising movt of opposition parties.But true heroes they are still coming believe me.
Chadema nichama chawatanzania wote hatuna dini wala kabila wala Tabaka.
Chadema Kwanza
Mulize katibu wako atangaze naile kazi yake nyingine kwanza
WanaJF,
Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, ameandaa tamko maalumu kwa wapenzi wote wa CHADEMA na Watanzania kwa ujumla juu ya kuziweka mali zake hadharani!
Tukio hili la kijasiri ambalo limepangwa kufanywa na Dr Slaa litaenda sambamba na kuweka wazi mshahara wake anaopewa na CHADEMA pamoja na marupurupu mengine.
Katika kufikia hatua hiyo, Dr Slaa pamoja na wafuasi wake wanaamini wataweza kusambaratisha kasi ambayo ACT - Tanzania imekuja nayo.
Aidha, baadhi ya wadau wa mtaa wa Ufipa wamesema pamoja na Dr Slaa kuandaa tamko hili la kijasiri, bado wana mashaka juu ya usahihi wa orodha ya mali ambazo Dr Slaa ana miliki.
Je, wewe unadhani Dr Slaa, Mbowe, Sugu, Msigwa na makamanda wengine waandamizi wataweza kuziweka hadharani mali zao kama ambavyo mzalendo Zitto amethubutu kufanya?
Mimi nahisi watanzani tuna tatizo la uelewa au tunafanya makusudi. Ukirejea ile fomu imesema M 18 ni pesa taslimu alizokuwa nazo kipindi anajaza fomu kataja pia kiasi cha Tshs alizonazo bank, Euro pamoja na dola, na akaunti nyingine anayoimiliki pamoja na dada yake. Hata kama mtu anapata milioni 11 kwa mwezi kuna matumizi mengi tu anafanya ambayo huwezi ukayahesabu kama mali, yani unakuwa umetumia zimekwenda.
Naona Zitto anawasaidia CCM kuzima joto la ufisadi linalowakabili na kuelekeza attention CDM ili kufurahisha mabwana wake.
Bahati mbaya Sana jinsi mlivyo duni kiasi cha kupata akili ya kuchambia tu mnaingizwa kwenye migogoro binafsi ya huyo mpuuzi.
Ungekuwa na akili ungetumia muda huu kupigania maisha yako kuliko kuwa sehemu ya kupigania kilio cha mkosaji Zitto.
Zzk amewashika pabaya
Mali za kiongozi zinanisaidia nini ? Mimi nahitaji kiongozi anayejuwa Tanzania kwanini imekwama hapa na anamipango ya kuikwamua itoke hapa ilipo huyo ndiye kiongozi ninaye mtaka mimi sio malizake maana sitaki nasitegemei kula au kulala kwake
Kwa mtindo huu wa ACT na CHADEMA, upinzani hautachukua hii nchi kamwe. Daima naamini umoja ni nguvu, hao ACT na CHADEMA kama wangeungana na kusimamisha mgombea mmoja nahisi wangekuwa na nguvu zaidi.
ACT haiwezi kuungana na chama cha kibaguzi chadema kilichowaita cuf mashoga.
Asante kwa kupigia mstari.huyu ni Zana Za Kilimo{ZZK}