Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
atakuwa Khalid Kagenzi aliyebanwa kwa praizi na akina Kigaila?
Gwajima ilikuwaje?
atakuwa Khalid Kagenzi aliyebanwa kwa praizi na akina Kigaila?
Mtoa post nakushauri tu ni bora utafute hela kuliko kujipendekeza kwa mwwanaume mwenzako.utapumuliwa kichogoni shauri yako.
Chadema nichama chawatanzania wote hatuna dini wala kabila wala Tabaka.
Chadema Kwanza
Mbona makao makuu wamejazana wachaga tu?
Je Kinana atataja za Kwake na ile kazi nyingine?Slaa mali zake zinamilikiwa na mchumba ake , Pale hana sauti mpaka ametelekeza watoto wake, Chezea josefin wewe... huyo ndio nshomile original.
WanaJF,
Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, ameandaa tamko maalumu kwa wapenzi wote wa CHADEMA na Watanzania kwa ujumla juu ya kuziweka mali zake hadharani!
Tukio hili la kijasiri ambalo limepangwa kufanywa na Dr Slaa litaenda sambamba na kuweka wazi mshahara wake anaopewa na CHADEMA pamoja na marupurupu mengine.
Katika kufikia hatua hiyo, Dr Slaa pamoja na wafuasi wake wanaamini wataweza kusambaratisha kasi ambayo ACT - Tanzania imekuja nayo.
Aidha, baadhi ya wadau wa mtaa wa Ufipa wamesema pamoja na Dr Slaa kuandaa tamko hili la kijasiri, bado wana mashaka juu ya usahihi wa orodha ya mali ambazo Dr Slaa ana miliki.
Je, wewe unadhani Dr Slaa, Mbowe, Sugu, Msigwa na makamanda wengine waandamizi wataweza kuziweka hadharani mali zao kama ambavyo mzalendo Zitto amethubutu kufanya?
Chadema kama sikio la kufaHii kumtaja taja Zitto mbele ya CHADEMA itawasambaratisha wote.
CHADEMS sasa wameacha mambo ya msingi wanafukuzana na kivuli cha Zito.
Ole wenu!
Mulize katibu wako atangaze naile kazi yake nyingine kwanzaMshumbusi amemruhusu kutangaza mali?
Chadema kama sikio la kufa
Upo sahihi kabisa,ukitumia akili ya asili bila ya kuchanganya ya mwalimu inawezekana sana ningekuwa na mawazo finyu na hafifu kama yako!
Labda nikusaidie kidogo tu kuondoa chengachenga za umbumbumbu. Unaposikia neno mali au "assets" ina maana kuwa kuna aidha mali zisizo hamishika, zinazo hamishika, hisa (untangible assets) na cash au pesa.
Kitu ambacho Zitto amefanya ni kutangaza mali zake pamoja na madeni.Kwa lugha ya kihasibu tunasema ametangaza 'assets' na 'liabilities'. Ambalo neno liability linajumuisha na madeni pia.
Hivyo basi, nakutaka wewe na watu wengine wa aina yako muelewe kuwa, neno mali halina maana ya cash pekee. Tena pia hata matajiri wa hapa nchini, mfano Mengi, huenda pale alipo hata Million mia moja (TZS) benki hana. Je utasema Mengi ni maskini? Watu wamewekeza kwenye hisa za makampuni, watu wanamiliki mahoteli, pesa ipo kwenye mizunguko ili ijizalishe zaidi.
Nadhani somo umelielewa.
WanaJF,
Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, ameandaa tamko maalumu kwa wapenzi wote wa CHADEMA na Watanzania kwa ujumla juu ya kuziweka mali zake hadharani!
Tukio hili la kijasiri ambalo limepangwa kufanywa na Dr Slaa litaenda sambamba na kuweka wazi mshahara wake anaopewa na CHADEMA pamoja na marupurupu mengine.
Katika kufikia hatua hiyo, Dr Slaa pamoja na wafuasi wake wanaamini wataweza kusambaratisha kasi ambayo ACT - Tanzania imekuja nayo.
Aidha, baadhi ya wadau wa mtaa wa Ufipa wamesema pamoja na Dr Slaa kuandaa tamko hili la kijasiri, bado wana mashaka juu ya usahihi wa orodha ya mali ambazo Dr Slaa ana miliki.
Je, wewe unadhani Dr Slaa, Mbowe, Sugu, Msigwa na makamanda wengine waandamizi wataweza kuziweka hadharani mali zao kama ambavyo mzalendo Zitto amethubutu kufanya?
WanaJF,
Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, ameandaa tamko maalumu kwa wapenzi wote wa CHADEMA na Watanzania kwa ujumla juu ya kuziweka mali zake hadharani!
Tukio hili la kijasiri ambalo limepangwa kufanywa na Dr Slaa litaenda sambamba na kuweka wazi mshahara wake anaopewa na CHADEMA pamoja na marupurupu mengine.
Katika kufikia hatua hiyo, Dr Slaa pamoja na wafuasi wake wanaamini wataweza kusambaratisha kasi ambayo ACT - Tanzania imekuja nayo.
Aidha, baadhi ya wadau wa mtaa wa Ufipa wamesema pamoja na Dr Slaa kuandaa tamko hili la kijasiri, bado wana mashaka juu ya usahihi wa orodha ya mali ambazo Dr Slaa ana miliki.
Je, wewe unadhani Dr Slaa, Mbowe, Sugu, Msigwa na makamanda wengine waandamizi wataweza kuziweka hadharani mali zao kama ambavyo mzalendo Zitto amethubutu kufanya?
Anazo 1D nyingi.Mdau uliadimika sana JF, kulikoni!
....
....elimu ya mjinga ni majungu Banza Stone !!!
Wewe wa ajabu sana,maandiko yanasema mke ni nani ndani ya nyumba?, akizimiliki kuna hoja,mbina Act mnaubaguzi wa kijinsia,ndio maana m/ kiti mwanamke mmemweka picha mwenye madaraka ni zittoSlaa mali zake zinamilikiwa na mchumba ake , Pale hana sauti mpaka ametelekeza watoto wake, Chezea josefin wewe... huyo ndio nshomile original.