Tangu lini umekuwa msemaji wa CHADEMA? Yasiyokuhusu mwachie Ngoswe.
zito ni mzalendo tangu lini? mbona hakuweka fedha anazopewa na ccm?
Mtoa post nakushauri tu ni bora utafute hela kuliko kujipendekeza kwa mwwanaume mwenzako.utapumuliwa kichogoni shauri yako.
Mdau uliadimika sana JF, kulikoni!
WanaJF,
Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, ameandaa tamko maalumu kwa wapenzi wote wa CHADEMA na Watanzania kwa ujumla juu ya kuziweka mali zake hadharani!
Tukio hili la kijasiri ambalo limepangwa kufanywa na Dr Slaa litaenda sambamba na kuweka wazi mshahara wake anaopewa na CHADEMA pamoja na marupurupu mengine.
Katika kufikia hatua hiyo, Dr Slaa pamoja na wafuasi wake wanaamini wataweza kusambaratisha kasi ambayo ACT - Tanzania imekuja nayo.
Aidha, baadhi ya wadau wa mtaa wa Ufipa wamesema pamoja na Dr Slaa kuandaa tamko hili la kijasiri, bado wana mashaka juu ya usahihi wa orodha ya mali ambazo Dr Slaa ana miliki.
Je, wewe unadhani Dr Slaa, Mbowe, Sugu, Msigwa na makamanda wengine waandamizi wataweza kuziweka hadharani mali zao kama ambavyo mzalendo Zitto amethubutu kufanya?
Eti kama mzalendo Zitto alivyofanya.Kwa akili yako ya kuzaliwa bila kuchanganya na za walimu waliokunoa darasani
UNASADIKI KUWA ZITTO ANAMILIKI 18 M?
Mshahara wa mbunge kwa mwezi nalipata kusoma humu ni around 11 M (nakaribisha kukosolewa)amekaa bungeni miaka 10.

Mbowe akitangaza mimi najihudhuru kuishi Duniani. Labda adanganye.
Maana ulikuwepo?hawezi kutangaza yule mzee, analipwa mshahara wa mbunge wakati yeye si mbunge baada ya kulazimisha chama kufanya hivyo
Chadema imekufa
Za Kinana ni nini vile?Teh Teh Mali za Slaa ni pamoja na Mke mmoja na girl friend mmoja.
Tuwaachie Chadema yako na wachaga wenzako co? Aya bhana baki nayo
Eti kama mzalendo Zitto alivyofanya.Kwa akili yako ya kuzaliwa bila kuchanganya na za walimu waliokunoa darasani
UNASADIKI KUWA ZITTO ANAMILIKI 18 M?
Mshahara wa mbunge kwa mwezi nalipata kusoma humu ni around 11 M (nakaribisha kukosolewa)amekaa bungeni miaka 10.
Kazi iliyokua mbele yetu nikupambana na Mwenye Mbwa hatuangaiki na MbwaC bora hata huyo Zito aliyejaribu kutangaza kuliko huyo anaeandaa kwanza tamko ndo atangaze, siamini kama mbowe ataweza kuthubutu kutangaza
atakuwa Khalid Kagenzi aliyebanwa kwa praizi na akina Kigaila?Tupo pamoja, taarifa mpya ni kuwa, kuna mlinzi wa katibu wa chama kimoja cha siasa, kapata kipigo toka kwa walinzi wa chama akihusishwa na tuhuma mbali mbali, ikiwemo mahusiano na mchumba wa kiongozi wa chama.
Karibu sana Jukwaani.