Dr Slaa Atoa Tamko Juu ya Kutangaza Mali Zake!

Dr Slaa Atoa Tamko Juu ya Kutangaza Mali Zake!

WanaJF,

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, ameandaa tamko maalumu kwa wapenzi wote wa CHADEMA na Watanzania kwa ujumla juu ya kuziweka mali zake hadharani!

Tukio hili la kijasiri ambalo limepangwa kufanywa na Dr Slaa litaenda sambamba na kuweka wazi mshahara wake anaopewa na CHADEMA pamoja na marupurupu mengine.

Katika kufikia hatua hiyo, Dr Slaa pamoja na wafuasi wake wanaamini wataweza kusambaratisha kasi ambayo ACT - Tanzania imekuja nayo.

Aidha, baadhi ya wadau wa mtaa wa Ufipa wamesema pamoja na Dr Slaa kuandaa tamko hili la kijasiri, bado wana mashaka juu ya usahihi wa orodha ya mali ambazo Dr Slaa ana miliki.

Je, wewe unadhani Dr Slaa, Mbowe, Sugu, Msigwa na makamanda wengine waandamizi wataweza kuziweka hadharani mali zao kama ambavyo mzalendo Zitto amethubutu kufanya?

zito ni mzalendo tangu lini? mbona hakuweka fedha anazopewa na ccm?
 
Mtoa post nakushauri tu ni bora utafute hela kuliko kujipendekeza kwa mwwanaume mwenzako.utapumuliwa kichogoni shauri yako.
 
weee thubutu mshahara wake tu n 15m mkutano mmoja n 1m atawekaje hadharan athubutu tuone
 
Mali za kiongozi zinanisaidia nini ? Mimi nahitaji kiongozi anayejuwa Tanzania kwanini imekwama hapa na anamipango ya kuikwamua itoke hapa ilipo huyo ndiye kiongozi ninaye mtaka mimi sio malizake maana sitaki nasitegemei kula au kulala kwake
 
hahaha mkuu hii sheria kuna watu humu JF hawatakaa waonekane tena

Na hii sheria itawadhuru zaidi chadema kwan ushahidi unaonyesha kuwa ndo mashabiki wenye jazba na mihemko.

Watapukutika hapa jukwaani hata jukwaa litakosa uhondo make me wananifurahisha(ga) sana jinsi wanavyokuwa wakishambulia watu kwa matusi mazitomazito na kuwatukana wanajukwaa kisa wanakakosoa ka-sacos kao ka tengeru utadhan na wao washapewa fursa ya kwenda kukopa.

Jamani hapo wanakopa wenye kura ya veto... slaa,mbowe,ndesapesa, baba mwenyenyumba mtei n.k... wengine humo mpo kama mapoyoyo hivyo kuweni makini msije mkafungiwa bure tukakosa uharo wenu hapa jukwaani.
 
Upo sahihi kabisa,ukitumia akili ya asili bila ya kuchanganya ya mwalimu inawezekana sana ningekuwa na mawazo finyu na hafifu kama yako!

Labda nikusaidie kidogo tu kuondoa chengachenga za umbumbumbu. Unaposikia neno mali au "assets" ina maana kuwa kuna aidha mali zisizo hamishika, zinazo hamishika, hisa (untangible assets) na cash au pesa.

Kitu ambacho Zitto amefanya ni kutangaza mali zake pamoja na madeni.Kwa lugha ya kihasibu tunasema ametangaza 'assets' na 'liabilities'. Ambalo neno liability linajumuisha na madeni pia.

Hivyo basi, nakutaka wewe na watu wengine wa aina yako muelewe kuwa, neno mali halina maana ya cash pekee. Tena pia hata matajiri wa hapa nchini, mfano Mengi, huenda pale alipo hata Million mia moja (TZS) benki hana. Je utasema Mengi ni maskini? Watu wamewekeza kwenye hisa za makampuni, watu wanamiliki mahoteli, pesa ipo kwenye mizunguko ili ijizalishe zaidi.

Nadhani somo umelielewa.

Sasa kama huyo ametangaza robo wengine watangaze nusu jukwaa hili sio sehemu ya malumbano
 
Eti kama mzalendo Zitto alivyofanya.Kwa akili yako ya kuzaliwa bila kuchanganya na za walimu waliokunoa darasani
UNASADIKI KUWA ZITTO ANAMILIKI 18 M?
Mshahara wa mbunge kwa mwezi nalipata kusoma humu ni around 11 M (nakaribisha kukosolewa)amekaa bungeni miaka 10.

ww ndio akili huna kweli kweli kwa akili yako ya mkopo unadhani Mzalendo Zitto hana matumizi mengine mshahara wake wote anaenda kuweka bank?!

#Zitto
 
ww ndio akili huna kweli kweli kwa akili yako ya mkopo unadhani Mzalendo Zitto hana matumizi mengine mshahara wake wote anaenda kuweka bank?!

#Zitto


Mbona hamtangazi ACT mnatangaza huyo juha tu? Au yeye ndiye chama na nuru yenu Kama alivyosema yule kanjanja Kitila Mkumbo?
 
Last edited by a moderator:
Kwenye kundi la watu wajinga sana hapa duniani usisahau kujiorodhesha. wewe ni mpumbavu kabisa.

Hahahaha Hadija Kopa upo? Ulikua umehadimika sana. Tuliimiss sana mipasho yako... au ndo mambo ya Location? Mambo ya kupasua machungwa baada ya nazi kupanda bei??? Kwi kwi kwi... kwa hii sheria mpya nipo najiandaa kisaikolojia make watoto wa ufipa mtapotea muda si mrefu na tulikua tumewazoea sana na mipasho yenu...
 
Tangu lini umekuwa msemaji wa CHADEMA? Yasiyokuhusu mwachie Ngoswe.
Mkuu kuna watu huwa wanaitwa vizabinazabina, huyu Dada ndio a in a ya watu hao
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa kweli Zitto ni mzalendo wa nchi hii, Slaa kashaanza kuogopa maana Josephine ndie mmliki wa 60% ya mali zake. Mbowe naye vipi?
 
mpaka ww mleta mada ni pro Zitto,??!!! nimepata picha.
 
Padre slaa anaweza kutaja mali zake,lkn sio zote,lakini fisadi mwizi MBOWE hata ukisikia anataja mali zake ujue dunia inakaribia kumalizika,hawezi kusema ukweli kuwa eti anamiliki nyumba DUBAI,ana magari kadhaa na vingi ambavyo tunavijua tunamsubiri aseme uongo tu,ukweli slaa wala sina haja nae Bali Nataka ataje MBOWE tuwache vivywa wazi.
 
Kama viongozi, wanapaswa kufanya hivyo ili kuleta hamasa na uaminifu zaidi kwa wananchi.
 
WanaJF,

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, ameandaa tamko maalumu kwa wapenzi wote wa CHADEMA na Watanzania kwa ujumla juu ya kuziweka mali zake hadharani!

Tukio hili la kijasiri ambalo limepangwa kufanywa na Dr Slaa litaenda sambamba na kuweka wazi mshahara wake anaopewa na CHADEMA pamoja na marupurupu mengine.

Katika kufikia hatua hiyo, Dr Slaa pamoja na wafuasi wake wanaamini wataweza kusambaratisha kasi ambayo ACT - Tanzania imekuja nayo.

Aidha, baadhi ya wadau wa mtaa wa Ufipa wamesema pamoja na Dr Slaa kuandaa tamko hili la kijasiri, bado wana mashaka juu ya usahihi wa orodha ya mali ambazo Dr Slaa ana miliki.

Je, wewe unadhani Dr Slaa, Mbowe, Sugu, Msigwa na makamanda wengine waandamizi wataweza kuziweka hadharani mali zao kama ambavyo mzalendo Zitto amethubutu kufanya?

Namkataa shetani na mambo Yake yote kwani yeye ni mnafiki, muongo na chanzo cha maovu yote kama mleta hadithi hii.
 
Back
Top Bottom