Dr Slaa Atoa Madai Mapya Ya Kuongezwa Mshahara - CHADEMA

Status
Not open for further replies.
hiki ndio chama cha kuleta mabadiliko nchini!!!hebu chukuen hii nchi haraka sisi wenyevit wa vijiji hatukosi hata mil 1 kwa mwezi
 
hoja yako ya msingi ni ipi?? kiazi ww, weka na wa kinana kenge wewe. weka source ya hii taarifa, ama source ni brain yako.
 
Wana Ukumbi,

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, ametoa madai mapya ya kuongezewa mshahara na stahiki zake kufuatia mafanikio aliyoyapata ya kuongezewa mshahara katika madai yake yaliyopita ambayo yalikuwa ni ongezeko la asilimia 40 tu ya kile kiwango alichokitaka!

Mchanganuo sahihi wa mshahara wa katibu mkuu wa CHADEMA na stahiki zake:

Mshahara anaolipwa Dr Slaa kwa sasa ni Tshs. 9,300,000 kwa mwezi wakati kabla ya madai yake ya mara ya mwisho alikuwa akilipwa Tshs. 6,600,000. Ambalo ni ongezeko la 40%.

Stahiki za Dr Slaa kama Katibu Mkuu:

Dr Slaa anawekewa kiasi cha lita 1000 za mafuta ya Petrol kila mwezi ambayo kwa wastani ni Tshs milioni 2,000,000 katika gari lake alilokabidhiwa na chama ambalo pia ulitumia kwa shughuli zake binafsi na za chama. Ifahamike, hii ni nje ya mshahara!

Haijaishia hapo, Dr Slaa pia anapewa pesa kiasi cha Tshs 2,500,000 kama fedha ya matumizi ya ofisi ya katibu mkuu wa chama kila mwezi. Hii pia ipo nje ya mshahara wake na matumizi yake hayaeleweki.

Kama hiyo haitoshi, Dr Slaa kila afanyapo vikao vya chama vya ngazi mbalimbali uinuka na wastani wa Tshs. 1,500,000 kwa kikao kimoja.

Madai Mapya:

Mshahara: Dr Slaa kwa sasa ameitaarifu CHADEMA kuwa wakati wa kukamilisha asilimia 60 zilizobaki za madai yake ya awali ya mshahara wake umewadia. "Hii ni kutokana na ongezeko la gharama za maisha na pia kuongezwa mkataba wa kutumikia chama kwa nafasi ya ukatibu mkuu" alieleza Dr Slaa.

Hivyo basi, kama CHADEMA itaridhia madai hayo mapya na kumuongeza Dr Slaa kiasi cha asilimia 60 kilichobaki, Dr Slaa ndiye atakuwa katibu mkuu wa chama cha siasa anayelipwa pesa nyingi kuliko wote katika nchi za ukanda wa Afrika mashariki! Kiasi hicho kitafikia Tshs. 13,200,000 kwa mwezi huku kikienda sambamba na kuongezeka kwa posho na stahiki zingine.
mods ndo wanapenda kuuacha utumbo Wa namna hii
 
Kwenye ziara za Kinana Kila Mwaandishi analipwa Tshs90,000 kwa siku sambamba na Chakula na kulipiwa chumba!!
Unalifahamu hilo??
 
Mshahara uwa unatokana na uzalishaji na ile faida ipatikanayo ndiyo hutumika kutoa mishahara.

Kwa jinsi akili zako zilivyo changa hata hilo umeshindwa kulijua naamini wewe huku kwenye huo mgodi ulikuwa ni muokota mawe tu!

Huwezi kufananisha mshahara wa CEO wa CRDB na CHADEMA hata siku moja.

CRDB wanapata faida kutokana na kazi zao. Je CHADEMA wanazalisha nini? Pesa zote wanazofuja CHADEMA ni za walipa kodi hawa hawa wanazopata kwa njia ya ruzuku! Sasa iweje leo upendekeze Dr Slaa aongezewe mshahara ilhali kuna vituo vya afya havina vitanda, umeme wala dawa...achilia mbali maslahi mabovu ya wauguzi wetu.

Dude hamy D

Dont be narrow minded. Scope ya Uzalishaji haipo narrowed kwenye defn yako hiyo.

Uzalishaji could be kueneza chama; kuongeza wanachama, kuimarisha utendaji wa chama.
 
Last edited by a moderator:
hivi nyie bavicha nan kawaroga?, hapo hamuoni tatizo chama kutumia rasilimali kubwa kwa ajili ya mtu mmoja!
Webgine wanadai document, mbona zinapoletwa propaganda zinazomhusu zitto huwa mnazishadadia bila kuuliza document?.
 
ukitaka kujua uhai wa mtu,tazama fikra zake...DR SLAA hayuko hivyo unavyodhani.
 
Alafu wakurugenzi wachagga makao makuu wanalipana mamilioni ya ruzuku huku mikoani hawaambulii hata senti tano wanakufa njaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom