Mlyandigwa
Member
- Oct 10, 2012
- 39
- 4
teh teh,mkuu nani anaambilika?Slaa aliambiwa na Wanakigoma, kuwa hali haijatulia, asiende, akataka kushindana Ubavu na Zitto kwa kumuonesha kwamba yeye yuko Juu, sasa ona anaibika anahutubia upepo!. HUYU MZEE HAAMBILIKI, HAFAI HATA KIDOGO!
natural justice?acha utani,zitto katuumiwa kwenye kikao
tatizo nini kwani?Ha ha ha njaa mbaya sana Mzoga wetu umejiunga juzi tu....
Join Date : 4th December 2013
Posts : 244
Rep Power : 349
Likes Received25
Likes Given9
rais wa nini?? wasafi clasics??,,,,,tff?,,,,,,,,bavicha? si kila mtu anaweza kuwa raisDr. Slaa ni rais anayeongoza wananchi kupitia kwenye mioyo, wakati Kikwete ni rais abayetawala nchi kupitia nec
kabisa mkuuhilo ndio anguko kubwa sana la chadema
acha uongo mangi zitto mmemtimua kwa kuhofia atatwaa madaraka ndani ya chadema na hivyo kupoteza dhumuni halisi la kuanzishwa kwa chama chenukinachokusumbua ni mahaba wa si kingine,mahaba ya pupa hupofusha akili.na inaonekana hujui chochote umeingia kwnye ushabik kwa mkumbo,zitto na wenzake walipewa nafasi ya kujieleza na kujitetea juu ya tuhuma zilzowakabili,ndio maana wakaomba kujiuzulu,lakn wajumbe wakataa uamuz huo kwan ilionekana wangebak na heshima ambayo hawakustahili.we kama ni maamuma soma tu usichangie kwa lengo la kupotosha
siko cheap kama nyie mnaolipwa na babu ili mumlambe viatu kiasi cha kuvumilia uzinzi,,,,chuki ,,,na uwizi wa rudhukuhahahaaa....... mkuu umeingia shift ya usiki siyo! karibu tulikumiss muda
rais wa nini?? wasafi clasics??,,,,,tff?,,,,,,,,bavicha? si kila mtu anaweza kuwa rais
siko cheap kama nyie mnaolipwa na babu ili mumlambe viatu kiasi cha kuvumilia uzinzi,,,,chuki ,,,na uwizi wa rudhuku
halafu utamu mnawaachia akina babu walafi??CHADEMA hakuna malipo, ni makamanda tunapambana kwa jasho mpaka tuikomboe nchi!
kwaheri....naona mwenzangu umedataKama kichwa cha nazi inaweza kuongoza nchi sembuse msomi na kiongozi wa kweli Dr. Slaa!
Mkuu unapoteza muda wako hujui FaizaFoxy akili zake zimedumaa? hawezi kuhoji wala kudadisi
Foxy,hata house girl wako ndo angekuwa rais wa TZ angetunukiwa hayo matuzo ya bure. Naongelea udr wa kuchimba darasani sio wa kupewa bure.