Baitila Omungalo
Member
- Aug 11, 2013
- 68
- 6
Picha za magumashi kama elimu ya MBOE.
Acha upotoshaji mjinga wee.......polisi wapo kwa ajili ya raia na mali zao ni hali ya kisiasa ndiyo inayumbisha na wao kujikuta wanaitumikia viongozi wao hawa mafisadi bila kujijua.
Na wote tupo chini ya sheria mjinga wee!
Slaa alisema nchi hii haitatawalika tena, lakini sasa anachekelea ulinzi wa FFU kwa hisani ya serikali ya CCM.
Mkuu swali langu la msingi lilikuwa linakuuliza je Dr Slaa alifika KIGOMA?
itv bana,eti amepokelewa kwa shangwe kubwa...ikanibidi nikae kitandani na kutizama tv nione mamia ya watu,nakuta hata hawafiki 50.Nawasiwasi Kibarua cha MAKENE kinakaribia kuota nyasi,Amenunua ITV waedit picha,yeye amesahahu kuweka picha humu za Mikutano ya mwaka 2010 aseme za leo
matusi noma mkuu
Maelfu ya watu wakimsikiliza dr slaa huko kigoma.
Usiiseme nafsi....wengne jk ndo kipenz chetu
kadanganye dada zako kwa vpicha vyako vya camera ya tecno.