Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

SLAA
ni kiongozi mbinafsi.
ni kiongozi mzinzi.
ni kiongozi mwizi.
ni kiongozi mwenye chuki.
ni kiongozi mpenda madaraka.
ni kiongozi anayrechumia tumbo.
ni kiongozi mwenye sura mbili.
 
Tumeanza kuchanganyikiwa. Yaani badala ya kupambana na akina Kinana tupo busy kupambana na Zitto. Ni nani huyo aliyeturoga? Yaani Zitto amekuwa taasisi?

Kipimo kile tunachowapimia CCM ndicho tutakachowapimia Vibaraka wao popote hata kama wapo miongoni mwetu.Tukiwagundua.....!
 
slaa
ni kiongozi mbinafsi.
Ni kiongozi mzinzi.
Ni kiongozi mwizi.
Ni kiongozi mwenye chuki.
Ni kiongozi mpenda madaraka.
Ni kiongozi anayrechumia tumbo.
Ni kiongozi mwenye sura mbili.

chama cha majambazi (ccm) oyeeeee
 
Unataka kumfananisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete na kijidokta cha kanoni kilichoshindwa kuongoza kondoo na badala yake kudandia wake za watu? Unanchekesha!

Hahaha kikwete hana hadhi ya kuitwa dokta
 
Slaa huna ubavu wa kukaa na zitto meza moja mkajadiri issues kielimu. Tofauti yenu kubwa sana kama kas na kus. Labda ukakae na mapadri wenzako mpange mipango ya kiroho zaidi.
 
hivi mzurulaji yeyote anapewa tu.
 

Umekushuka tu, huna la kusema.
 
​hii picha si ya kigoma ilikuwa pande za moshi huko......tumewachoka kwa ulaghai wenu
 
Kipimo kile tunachowapimia CCM ndicho tutakachowapimia Vibaraka wao popote hata kama wapo miongoni mwetu.Tukiwagundua.....!
una dhambi sana wewe kwakuwa si wachaga unawaita vibaraka??? jinsi babu alivyokuambukiza chuki yake mpaka ukataka kumuua mtoto wa watu....dunia hii kijana mtendwa hutendwa ukabila na udini wenu vitawaangusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…