Talibani
Senior Member
- Jul 31, 2013
- 136
- 52
Wanajamvi;
Kama utani vile lakini ndio kweli.Ile speech aliyoitoa Dr Slaa sasa imeonekana kukubalika katika baadhi ya nchi za kiafrika.Kuanzia na jirani zetu wakenya ambao wao sasa wameanza kuijadili hotuba hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii.
Angalia link hapo chini;
Siasa 254: Speech by the Leader of Opposition in Tanzania to the Students of the University of Samford-USA.
It was really a Stunning Speech.
God bless you Dr Slaa...May you long live for us to see the better Tanzania.Together we Can.
Ngoja nimtumie hii speech Balozi wa china ili achukue wafungwa wake warudi kwao haraka.........c nunui furniture za mchina tena....congrats Dr Slaa tupo pamoja.....