Kilala Makusaro
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 688
- 383
Wakenya kweli wajadili mambo ya TZ? Toka lini manake hata JF inakipande cha Kenya. Punguzeni kujisifia ujinga kwanza twende sawa hata kenya wapuuzi wapo! Ingekuwa the Citizen TV sawa lakini katika blog za wamatumbi ndio mpaka mumtolee matusi presidaa wenu kwa hotuba ya kuongea na wanafunzi wa Samford je ingekuwa Harvad au Boston University, ebu jiangalieni na acheni ubwege .
Jinga lingine hili hapa yaani umewekewa hadi link na speech inajadiliwa kwa ujumla wake wa kuwazodoa maraisi wa africa kwa kusema tatizo la africa na tz. Wewe kwa kuwa umelemewa na gunia la ulimbukeni unabishana na web kwamba hawawez jadili wakati unaona uzi ukijadiliwa na wakenya. Taifa linaugua ugojwa wa vijana malimbukeni ka wewe. Umeishia darasa la ngapi ndugu? maana tusikulaumu labda hujui kimombo