Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,262
Kweli tunamsapoti
Kama kukusanya watu huashiria Imani waliyonayo kwako, Basi Diamond Platinum anaaminiwa Zaid ya Slaa.
Angalia Nyuma ya Noah Watu walivotapika.
![]()
View attachment 134034 Songea Mkutano wa Dr Slaa
Hii picha imepigwa wakati mvua kubwa inanyesha
Nimefurahishwa sana na Wananchi kuendelea kumsikiliza Mh. Dr W.P. Slaa na wakati mvua kubwa inanyesha,
Binafsi nimejifunza yafuatayo:-
- Wananchi wa Tanzania wana Imani kubwa sana na Chadema ktk kupata maisha wanayoyataka
- Wananchi wa Tanzania wana Imani sana na Viongozi wa Chadema
- Wananchi wa Tanzania wako tayari kwa lolote linalosemwa na chadema maana wanajua sio walopokaji kabisa bali wanatetea haki za wanyonge
Karibuni wanajamii tujadili
Chadema Zitto na Chadema Slaa, kwishney
Kama kukusanya watu huashiria Imani waliyonayo kwako, Basi Diamond Platinum anaaminiwa Zaid ya Slaa.
Angalia Nyuma ya Noah Watu walivotapika.
![]()
Mkuu hizi picha ni zile za mwaka ule wakati mzee anagombea urais?
Hapa kwa zaidi ya 90%watakusupport zilizobaki sasa.....
View attachment 134034 Songea Mkutano wa Dr Slaa
Hii picha imepigwa wakati mvua kubwa inanyesha
Nimefurahishwa sana na Wananchi kuendelea kumsikiliza Mh. Dr W.P. Slaa na wakati mvua kubwa inanyesha,
Binafsi nimejifunza yafuatayo:-
- Wananchi wa Tanzania wana Imani kubwa sana na Chadema ktk kupata maisha wanayoyataka
- Wananchi wa Tanzania wana Imani sana na Viongozi wa Chadema
- Wananchi wa Tanzania wako tayari kwa lolote linalosemwa na chadema maana wanajua sio walopokaji kabisa bali wanatetea haki za wanyonge
Karibuni wanajamii tujadili
Chadema sio wazuri kama vile tunavyowafikiria ila; Watz wamewachoka ccm ndio sababu kubwa.
wanakubali kiaina,ila sema mkataba wa BUKU 7 ndo tatizo,japo wanasuport kwa id ambazo hazipo kwny mikataba