Dr. Slaa atikisa Songea: Pata picha na habari

Dr. Slaa atikisa Songea: Pata picha na habari

View attachment 134034 Songea Mkutano wa Dr Slaa

Hii picha imepigwa wakati mvua kubwa inanyesha
Nimefurahishwa sana na Wananchi kuendelea kumsikiliza Mh. Dr W.P. Slaa na wakati mvua kubwa inanyesha,

Binafsi nimejifunza yafuatayo:-
  • Wananchi wa Tanzania wana Imani kubwa sana na Chadema ktk kupata maisha wanayoyataka
  • Wananchi wa Tanzania wana Imani sana na Viongozi wa Chadema
  • Wananchi wa Tanzania wako tayari kwa lolote linalosemwa na chadema maana wanajua sio walopokaji kabisa bali wanatetea haki za wanyonge

Karibuni wanajamii tujadili

Watanzania kweli wamerogwa na daima watabakia kuwa vichwa vya mwendawazimu kama ilivyosemwa huko nyuma

Hizo VXV8 si ndio wanazipigi KELELE hawa chadema kwamba ni gharama na ghali,zinakula mafuta na wakiingia madarakani wanaziondoa,,haya sasa kulikon wanaenda nazo huko vijijin na pesa zetu za ruzuku??

Na kama hiyo haitoshi wanaongeza na chopa,kisha wanajiita watetez,,huku watu wakifa njaa na kufa kwa maradhi mbali mbali kila leo..!!

lin mtaacha kupokea ulaghai wadanganyika??
 
Kma kweli anawapenda kweli mbona hakutoka na yeye kwenda kulowa nao mvua??

laana kubwa sana
 
Kama kukusanya watu huashiria Imani waliyonayo kwako, Basi Diamond Platinum anaaminiwa Zaid ya Slaa.

Angalia Nyuma ya Noah Watu walivotapika.

993602_394301970673759_1904623904_n.jpg

Hawa wamefuata burudani ya huyu msani....tunazungumzia watu nyomi wenye kufuata siasa na sera/ itikadi yenye matumaini sio blabla. Kumbuka hawa watu hawajeletwa kwenye mkutano wa CHADEMA kwa malori na coaster huku wakipewa bukubuku, wali, chumvi na vipande vya sabuni kama wafanyavyo mafisadi-ccm.

Na siku hizi, mafisadi ccm baada ya kuona wamepoteza mvuto wamekuwa wakiwatumia wasanii kuleta watu kwenye mikutano yao. Wapenda burudani wakiisha ona burudani imeisha viongozi wa mafisadi-ccm wamesimama watu huanza kuondoka.

Jamani tusijisahau tuangalie na history ya mwaka 1995 hakuna chama pinzani wa mgombea aliyekua na wafuasi wengi ka mzee aliyatonga mrema lakini nini kilitokea ila msiniite mchawi cdm ikivulunda mwaka ujao wa uchaguzi basi ndio kimekufa amini usiamini
 
Kama kukusanya watu huashiria Imani waliyonayo kwako, Basi Diamond Platinum anaaminiwa Zaid ya Slaa.

Angalia Nyuma ya Noah Watu walivotapika.

993602_394301970673759_1904623904_n.jpg
wewe mwanamke utakuwa na walakini, ni vigumu sana kumkuta binti anakesha mitandaoni kuitetea ccm, unagurugwa mas=wa yako
 
Unaweza ukawa na marafiki wengi mno ila nivigumu mno kujua wote nimarafiki wa kweli wakati flani zito alipata heshima mno ktk nchi hii ila hata weza tena kuipata hata kwa mwanae wa kumzaa huu niukweli usio pingika

wewe una heshima gani kwenye nchi hii.badala ya kuangalia maisha yako unahangaika na zito.au unataka akuoe?
 
Hawa wamefuata burudani ya huyu msani....tunazungumzia watu nyomi wenye kufuata siasa na sera/ itikadi yenye matumaini sio blabla. Kumbuka hawa watu hawajeletwa kwenye mkutano wa CHADEMA kwa malori na coaster huku wakipewa bukubuku, wali, chumvi na vipande vya sabuni kama wafanyavyo mafisadi-ccm.

Na siku hizi, mafisadi ccm baada ya kuona wamepoteza mvuto wamekuwa wakiwatumia wasanii kuleta watu kwenye mikutano yao. Wapenda burudani wakiisha ona burudani imeisha viongozi wa mafisadi-ccm wamesimama watu huanza kuondoka.

wameenda kuishangaa chopa....!
 
Namwona advocate mbogoro, amegombia ubunge songea, toka mwaka 2000, tunahitaji vijana sana, ili hili jimbo liende upinzani..
 
wameenda kuishangaa chopa....!

Kwa hiyo, mwaka jana mlipoiga kutumia chopa walikuja? au bado mliendelea kuwatumia kina the commedy na hao wengine? Mbona mmeacha kutumia chopa hawakuja kushangaa? kwa dr. hapo katika picha Mvua inawanyeshea bado wanashangaa chopa! Hilo mnalo.
 
Acha ujinga Salome, mwenzako anazungumzia watu kukubali kuloa ili tu wamsikilize mwanasiasa wanayempenda, ukitaka na wewe weka ya kinana ili tujue kama kuna mwanasiasa mwingine alipewa heshima hiyo, last time nakumbuka pale morogoro mkutano wa kinana na nape ulibaki robo tu baada ya manyunyu kuanza!! Jadili kwa akili dont be a dumb fool

Robo Tatu huwezi kuijua bila ya kujua kitu kizima kilikuaje au wewe Hesabu ulipata ' Absent'. Pengine hao tulioona kwa Slaa ni Robo ya Watu waliokuwepo kabla ya Mvua. Usipende kutumia Namba kama huzijui ni Rahisi kuumbuka.

1/3 of X= y, Hujui what is X halafu unatupa Namba kamili ya Y Lazima tuseme una ufaulu hafifu wa Hesabu.
 
Kwa hiyo, mwaka jana mlipoiga kutumia chopa walikuja? au bado mliendelea kuwatumia kina the commedy na hao wengine? Mbona mmeacha kutumia chopa hawakuja kushangaa? kwa dr. hapo katika picha Mvua inawanyeshea bado wanashangaa chopa! Hilo mnalo.

angalia picha ya kwanza hapo mbele umati wote macho kwenye chopa...! ha ha ha
 
magamba yakiona picha hii wanaishiwa nguvu kabisa.poleni sana magamba picha zinajieleza
 
wewe mwanamke utakuwa na walakini, ni vigumu sana kumkuta binti anakesha mitandaoni kuitetea ccm, unagurugwa mas=wa yako

Josephine Mushumbus ni Half Cast wa Jinsia? au kwa kuwa ni Mlezi wenu wa Viloba
14529_352093234889139_414237308_n.jpg
 
Mrema Alibebwa kabisa lakin hii leo yuko wapi?

Nyie kusanyeni Watu CCM inakusanya Ridhaa yao kwenye Sanduku la Kura,
Mrema alibebwa kabisa nini kujaa kwenye Mikusanyiko leo hii yuko wapi?
 
Acha tu mkuu.hapa arusha patakuwa hapatoshi, MUNGU ataonekana mwaka huu, wanajamii foram tuendelee kuomba mabadiliko yako mlangoni
Kamanda Mungu gani huyo atakayeoneka mwaka huu?
 
Tumaini Makene

Hivi mnamdanganya nani kutengeneza hizi picha mnamkuza Dr.Slaa ili picha yake watu wamuone.

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1390501290911.jpg
    1390501290911.jpg
    55.1 KB · Views: 68
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom