Dr. Slaa atikisa Songea: Pata picha na habari

Dr. Slaa atikisa Songea: Pata picha na habari

Imebidi ni cheke tu maana haya cdm ni miujiza ya Ki-Mungu. Magamba yanasituka kuujumu mikutano ya cdm ikiwa ukingoni. CDM imewapiga magori 10 dakika tatu kabla ya mpira kuisha.
 
Leo fisadi la chalinze moja amekufa kwa pressure ya OPD so that is a good greeting to to all magambaz
 
huo mkono wenye pete vipi mbona haushiki mic vizuri? halafu slaa amechoka na kuzeeka sana angejipumzikia tu na siasa hizi za majukwaani.
 
Mkuu hizi picha ni zile za mwaka ule wakati mzee anagombea urais?
kwani wakati anagombea Urais ilikuwa kipindi cha masika maana naona kuna mvua hapo. Leo hamsemi watu wachache ila mnadai picha sio za leo
 
Bravo!CDM is very strategic, kwa kufanya hivi wanaua ndege zaidi ya 50 kwa jiwe mmoja,kwanza wanamaliza uasi ndani ya chama,wanaonesha wanachi kwamba CDM haina mgogoro wa ndani,wanalizika swala la Zito,sasa ni M4C pamoja daima kesi ya mh Zito kapuni,na chama hakifi ndio kwanza kinashika kasi.
 
Kubwa ni kuwahamasisha watu hawa wajindikishe kupiga kura, watunze shahada zao na siku ya kupiga kura wapige kweli kweli!!!!
Pamoja na kupiga kweli kweli lazima kuanza kuweka mkakati wa kulinda kura, magamba ni wataalamu wa kubalidilishia ushindi mezani ama kukimbia na mabox ya kura!. Hapo inabidi pawekeze kisawa sawa, kama si hili CHADEMA 2015 ushindi ni dhahiri.
 
wamanchi wamesha elewa hitaji lao, halafu si Nape alisema hiki chama ni cha kaskazini, sasa, songea ipo kanda gani??/
 
CCM wanatia huruma sana, wao wametengeneza mtaji saaaf kwa CDM kwa hoja ya mawaziri mizigo sasa imewageukia vibaya sasa sjui watajitetea nn kwa wananchi. wakifa walazwe mahala panapo stahili
 
nchimbi ajabakiza wafuas wake wa kuvuruga operation, au nyoka katolewa meno anabaki kushangaa tu
 
Back
Top Bottom