Songoro
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 4,122
- 1,022
Akili zako makalioni...! Ungelingalisha hata na washabiki Uwanja wa Taifa tungeelewa unazo fikra zinazoendana...! Matamasha na Siasa ni kada au discipline 2 tofauti...hivyo kwako kulinganisha Diamond na Dr Slaa...ni hoja mfu, na fikra za mawazo mgando, au 'reversed thinking'!
Akili yako ipo kichwani ila umeshindwa kujua kuwa hapa inajadiliwa wingi wa watu sio alichokuwa anaongea Slaa, Sasa zikiwa Makalioni kama zangu si utakabidhi T.ako kabisa!