Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,996
- 134,182
Hongera msalimie Godbles Lema
ya mama ako
Hongera msalimie Godbles Lema
kama salma kikwete
Kwa msio na ufahamu, Christina Mugwai ni Dada wa Mh. Tundu Lissu.
Christina Mugwai ni Mbunge wa Viti Maalum Chadema.

Kwa hiyo wanapeana ubunge kiundugu siyo! Ina maana huko Singida Chadema wapo ukoo wa Tundu Lissu tu waliosoma??? Chadema genge la koo za watu
Dr Slaa balozi wa Gongo Tanzania