AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,040
wewew unatuletea mambo gani wewe zito hafukuziki chadema.
Mkuu kwa mazingira tuliyonayo sasa, Ninaweza kuunga mkono kauli yako hii kuwa Zitto hafukuziki CDM si kwa sababu eti yeye ni mkubwa zaid ya chama, ila ni kwa sababu inavyoonekana analindwa na baadhi ya wakuu chamani kwa maslahi binafsi, lakin Mungu ni mwaminifu ipo siku tutajua yote.