Dr. Slaa At The Capital Hill For Bilateral Talks With Senate Committee !

Baadhi ya Watanzania ni watu wa ajabu sana.

Ndiyo hawa hawa waliobeza safari ya Rais Obama kwenda Tanzania na ndiyo hawa watakaofagilia safari ya Dr. Slaa kuingia kwenye jengo la The US Capitol ambalo wakaaji wake walitoa pesa ya safari za Rais Obama kwenda Tanzania.

Kweli Siasa za Tanzania zina wenyewe.
 
Mkuu unaweka uzi nyeti namna hii kama unakimbizwa? Habari muhimu na serious kama hii ungeongeza nyama na kutuwekea source ili tumalize kiu yetu.
Mkuu, huyu jamaa anataka tu kutuonesha kuwa Dr Slaa alienda kutalii pale. Mbona hajaleta picha wakati wanajadiliana hayo aliyoyasema na badala yake anatuletea picha za kitalii?
 
Baadhi ya Watanzania ni watu wa ajabu sana.

Ndiyo hawa hawa waliobeza safari ya Rais Obama kwenda Tanzania na ndiyo hawa watakaofagilia safari ya Dr. Slaa kuingia kwenye jengo la The US Capitol ambalo wakaaji wake walitoa pesa ya safari za Rais Obama kwenda Tanzania.

Kweli Siasa za Tanzania zina wenyewe.
Mkuu, usishangae sana. Wafuasi wengi wa CHADEMA ni vigeugeu. Si unakumbuka walivyomtukana sana Lipumba na chama chake? Leo hii eti wanampamba. Unafiki mkubwa huu
 
Kuna rumors kuwa Mwigulu Nchemba nasikia ata-attend congressional hearing (Foreign relations committee) pale Capitol Hill, na kufanya presentation kali pale Council on Foreign Relations/CFR.
Angalieni C-SPAN jumatano asubuhi.
Labda Kiranga ana taarifa

Kiranga huyu wa JF afuatilie taarifa za huyo Pimbi.
 
Last edited by a moderator:
Congrats Dkt. Slaa kwa kuendelea kutanua exposure yako katika jukwaa la kimataifa na kujikita katika kuzungumzia mambo yenye maslahi kwa watanzania. Tangu umetua USA tumekuwa tukishuhudia mipango mikubwa unayoifanyia kazi yenye kuwalenga wananchi wa Tanzania na hujawahi kuwa mbinafsi mbele ya maslahi ya nchi yetu.

Buku saba fc hapa hamna hoja ya kujadili hata kidogo kwakuwa uwezo wenu wa kujadili mambo unaishia ndani ya mipaka ya nchi. Linapokuja suala kama hili la international forum mnalazimika kukaa kimya kwakuwa mentor wenu kasafiri kwenda marekani kusalimia punda wenzenu na sasa hamna wa kuwafeed cha kuandika.
 
Mkuu nimecheka sana asubuhi ya leo.Kudos!
 
Yule aliyesema tumemtuma mbona simwoni tena....!
 
Huyu wa kwake mmoja tena anaboba naye hadharani mchana kweupe.
Sasa mwenzie Kinana wake zake wanajaa mabasi mawili ya kwenda kasi Dar na bado anapiga nje.
Kikwete naye yupo na Mama Rizi lakini kila kona ya nchi wake wadogo msululu kawapa ulaji.
Haya niambie nani pale CCM siyo mbwa kwenye chovya chovya???
Mwigulu?? Ukiacha Uterrorist wa Kichina jamaa ni mzuri wa kutumia rungu lake, sijui Yule shangingi wa CCM (Happysometing) anayetembea naye kila kona hapa USA ataishia kum WINDOW shopping tu??? Labda kama kaokoka jana.

Si wanawake si wanaume wanashindana nani ni kiwembe zaidi ya mwenzie.

we boya hukumbuki hata obama alikuja na mamaa? akili za maiti bwana!!!?
 
Asante sana Dr Slaa , endelea kuipa heshima nchi yako Tanzania , ninakuamini sana .
 
Slaa anahallucinate! Eti bilateral talks between US and Tanzania!!!

Kuna aina nyingi sana za kurukwa na akili...
 
Baadhi ya Watanzania ni watu wa ajabu sana.

Ndiyo hawa hawa waliobeza safari ya Rais Obama kwenda Tanzania na ndiyo hawa watakaofagilia safari ya Dr. Slaa kuingia kwenye jengo la The US Capitol ambalo wakaaji wake walitoa pesa ya safari za Rais Obama kwenda Tanzania.

Kweli Siasa za Tanzania zina wenyewe.

Kifupi ni kwamba hawajui wanachotaka. Wanaongozwa na chuki waliyojazwa kwa kulaghaiwa...
 
Slaa hana mamlaka ya kufanya maamuzi hata ya kijiji. Hiyo bilateral talk anayofanya ni kwa niaba ya nani?

Slaa kwa umri wake hizi siasa za kilaghai wala hazimpendezi.
 
Hivi hizi ziara za Dr Slaa zina faida yoyote kwa chama chake CHADEMA au ni kupoteza muda na pesa za chama wakati chama hakinufaiki na lolote?

Sioni kama kuna tija kwa mtu ambae sio kiongozi wa serikali ujipeleke kwenye bunge la marekani wakati chama chako ni pinzani na kinataka dola na wapiga kura wapo Tanzania; huu muda alipaswa awe Mbinga au Ileje huko katika muendelezo wa kukijenga chama. Badala yake yeye yupo Marekani. Huyu kweli hana vipaumbele, Dr Slaa is a disgrace.
 
Kwani wewe ni mwanachama wa CHADEMA? Kwa taarifa yako katumwa na chama
 
Mbona umeghafirika mkuu?, hoja yangu ni kama hizo ziara za ughaibuni hasa hii aliyoenda na mchumba wake kama ina faida kwa chama au lah!

Kwa maana kama mambo yenyewe ndio hayo tunayo yaona akiwa anafanya huko basi mpaka sasa sijaona tija ya hii ziara zaidi ya kupoteza muda na pesa.
 
Back
Top Bottom