Dr. Slaa At The Capital Hill For Bilateral Talks With Senate Committee !

Dr. Slaa At The Capital Hill For Bilateral Talks With Senate Committee !

Rtackket

Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
74
Reaction score
373
Dr. Slaa held a bilateral talk with Senatorial subcommittee on wide ranging issues related to economic cooperation between the United States and Tanzania


Z

The Slaa's arriving at Capital Hill for Bilateral Talks. Wide ranging issues were discussed !


9k=


The Slaa's with one of the Senators
 

Attachments

  • The Slaa's at Capital Hill.jpg
    The Slaa's at Capital Hill.jpg
    41.4 KB · Views: 1,765
  • Capital Hill.jpg
    Capital Hill.jpg
    63.4 KB · Views: 1,843
Mkuu unaweka uzi nyeti namna hii kama unakimbizwa? Habari muhimu na serious kama hii ungeongeza nyama na kutuwekea source ili tumalize kiu yetu.
 
Mkuu unaweka uzi nyeti namna hii kama unakimbizwa? Habari muhimu na serious kama hii ungeongeza nyama na kutuwekea source ili tumalize kiu yetu.


Kamanda kuwa mpole; the best is yet to come. Nyama tutaongeza tu. KEEP CALM!
 
Yule mchumi daraja la kwanza na muuaji maarufu naona na yeye anaendelea kujitekenya na kujichekesha mwenyewe kwenye mitandao..
 
Ni Maccm tu ndo yayoweza kuumbuka 2015 lakini cyo watanzania. Watanzania watajuta kuiweka nchi likizo ya miaka
kumi. Nchi iko pabaya Kama ghorofa linaanguka na kuuwa watu, badala ya kutafuta namna ya kutatua tatizo, waokoaji
wanaitwa ikulu kupongezwa tena si kwa kuokoa Watu walio hai Bali kuopoa miili ya marehemu.
Dr. Njoo utuokoe 2015, Nchi inaangamia kwa kukosa maarifa watawala.
 
Huyu wa kwake mmoja tena anaboba naye hadharani mchana kweupe.
Sasa mwenzie Kinana wake zake wanajaa mabasi mawili ya kwenda kasi Dar na bado anapiga nje.
Kikwete naye yupo na Mama Rizi lakini kila kona ya nchi wake wadogo msululu kawapa ulaji.
Haya niambie nani pale CCM siyo mbwa kwenye chovya chovya???
Mwigulu?? Ukiacha Uterrorist wa Kichina jamaa ni mzuri wa kutumia rungu lake, sijui Yule shangingi wa CCM (Happysometing) anayetembea naye kila kona hapa USA ataishia kum WINDOW shopping tu??? Labda kama kaokoka jana.

Si wanawake si wanaume wanashindana nani ni kiwembe zaidi ya mwenzie.

Mijitu mingine bana babu kama huyu anakupa imani gani muda wote yupo na mchumba wake badala ya kuwa pamoja na viongozi wenzake wa chama.Hamwoni kuna tatizo hapo mbavu kabisa.Kaenda huko kula starehe halafu anatudanganya na kushika mafaili anafikiri watu wote tuna akili za kushikiliwa.
 
Kuna rumors kuwa Mwigulu Nchemba nasikia ata-attend congressional hearing (Foreign relations committee) pale Capitol Hill, na kufanya presentation kali pale Council on Foreign Relations/CFR.
Angalieni C-SPAN jumatano asubuhi.
Labda Kiranga ana taarifa
 
Hana lolote zaid ya kujipendekeza tu na kuomba misaada ambayo ataifaid yy na hawara yake'
 
Hana jipya. Anakula ruzuku za chadema ataweza kujadili uchumi wa nchi?
 
Vijana wengi mliopo CCM mnaonekana mmejichokea hamuwezi hata kujenga hoja za msingi ndiyo maana mmeng'ang'ania Dk. Slaa mzee bila kujali ndiyo kipenzi cha watanzania, unaweza kuwa na miaka 40 lakini ukawa kama una miaka 90 kutokana na namna akili yako inavyofanya kazi na mwenye miaka 90 akaonekana ana 40. Hamuwazi mbali zaidi ya matumbo yenu. Mbona mnamsifu Mugabe mwenye miaka 90? Nani mzee kati yake na Dk. Slaa? Wengine walipiga kura kwa Mara ya kwanza kutokana na Dk. Slaa kugombea na wanasubiri 2015 kwa hamu. Yeye ni tumaini kwa waliokuwa wamekata tamaa, kazi kwenu wenye chuki.
 
Ukitaka kuweka uzi tulia na uwe na taarifa bana sio iuweka heading ya mkutano halafu picha ya kumbukumbu!!!!!!!

Mkutanonoi ndio hapo sasa au????!!!!!!

No wonder matusi na kejeli haviishi
 
Back
Top Bottom