Dr. Slaa At The Capital Hill For Bilateral Talks With Senate Committee !

Dr. Slaa At The Capital Hill For Bilateral Talks With Senate Committee !

Vijana wa Bavicha mnalaghaika kirahisi sana.

FYI bilateral talks huwa ziko hivi:
bilateral.jpg
 
pamoja na propaganda, lakini kumbeza slaa kwamba anongea ua unafaya pumba ni upuumbavu uliopitiliza, hata kama hauitaji kumfaglia lakini jamaa yuko fiti na JK anatambua vizuri sana uwezo wa huyu Dr. na ndiyo maan Jk HATAKI KUSIKIA MDAALO NA HIKI KICHWA
 
Huwa nikikosa kazi ya kufanya nafungua jf kujifurahisha kwa kusoma post za wanaojiita critical thinkers. Kazi ipo tz.
 
Kwahiyo upande mmoja ni Slaa na upande wa pili ni Josephine. Kweli hiyo ilikuwa bilateral...

By the way, una jina la senators waliohudhuria hizo "talks"?

If you respond to this corrugated comment you will be belittling yourself. I know the guy is under mental stress
 
Kutaka kudanganya wanaJF kama huu mkutano ulifanyika The US Capitol na ilikuwa ni bilateral talks ni dharau ya kiwango cha juu kabisa.
Hapa ni chuoni ( University of Virginiana) hao walioko kwenye picha ni dean, mwenyekiti na makamu wake wa dept.

Vazi alilovaa Josephine ni tofauti na vazi alilokuwa amevaa kwenye picha walizopiga karibu na jengo la The US Capitol.

Jaribu kuwa muongo aliyekaribu na ukweli kwa sababu hata kofia iliyoko mezani ni kofia waliyopewa chuoni.

Kwa kukusaidia vizuri, angalia picha ya dean, mwenyekiti na makamu wake wa dept.
attachment.php

The school dean, deaprtment chair and vice chair with the slaa's

attachment.php


Tukiwambia CHADEMA ni chama cha kilaghai mmnaanza kupiga kelele. Toka lini chuo kikawa is the meeting place of the U.S. Congress.

Uwongo hauwezi kupambana na ukweli.

Be humble and truthfulness. Uwongo hausadii kwa sababu njia ya muongo ni fupi.
 
Kutaka kudanganya wanaJF kama huu mkutano ulifanyika The US Capitol na ilikuwa ni bilateral talks ni dharau ya kiwango cha juu kabisa.
Hapa ni chuoni ( University of Virginiana) hao walioko kwenye picha ni dean, mwenyekiti na makamu wake wa dept.

Vazi alilovaa Josephine ni tofauti na vazi alilokuwa amevaa kwenye picha walizopiga karibu na jengo la The US Capitol.

Jaribu kuwa muongo aliyekaribu na ukweli kwa sababu hata kofia iliyoko mezani ni kofia waliyopewa chuoni.

Kwa kukusaidia vizuri, angalia picha ya dean, mwenyekiti na makamu wake wa dept.
attachment.php

The school dean, deaprtment chair and vice chair with the slaa's

Tukiwambia CHADEMA ni chama cha kilaghai mmnaanza kupiga kelele. Toka lini chuo kikawa is the meeting place of the U.S. Congress.

Uwongo hauwezi kupambana na ukweli.

Mkuu,

Hawa watu wamezoea siasa za KILAGHAI.

Wanalazimisha legitimacy ambayo hawana.

Siku za mwizi ni arobaini. Ukiona Kiongozi Mkuu wa Chama analeta picha za uongo kusema alikuwa kwenye bilateral talks Capitol Hill basi ujue chama kizima kinaendeshwa katika misingi ya KILAGHAI...
 
Slaa anahallucinate! Eti bilateral talks between US and Tanzania!!!

Kuna aina nyingi sana za kurukwa na akili...

Wewe ndio unakichaa Dr Slaa je ana hallucinate vipi acha hiyo tabia ya kuwa greed umechacha kiakili huwezi kufanya attacks hata pasipo stahili wewe ni kuharibu threads zozote za Dr Slaa,Mbowe na Chadema ,hovyo kabisa you have nothing to contribute basi kaa kimya
 
...kama mpaka sasa mleta mada hajasema Dr Slaa alifanya hayo mazungumzo na masenator gani basi hii ni wazi kuwa hili ni changa la macho...
 
Wewe ni miongoni mwa WALAGHAIKA..

Department of Homeland Security
Enforcement Division

Federal Bureau of Investigations
Baltimore Field Office

State Department
Department of Consular Affairs


Ref: Mwigulu Nchemba The Terrorist in the United States of America

Mr. Mwigulu Nchemba is a deputy secretary of Chama Cha Mapinduzi (CCM) and Member of Parliament in Tanzania. Mwigulu has been directly linked to multiple terror activities in Tanzania. He has inhumanly directed the killing of individuals with impunity. Regardless of the incriminating evidence, no one has ever questioned this man. Mwigulu was trained by the Chinese Military, and thus constantly wears Chinese military hut.

Under the Government of president, Jakaya mrisho Kikwete Impunity is a common order of the day; Minister of Consular Affairs Tanzania embassy in Washington, Alan Mizengi, has been rewarded a job as an adviser to the president in Dar es salaam, Tanzania. Yet, in January 2008 ruling, a U. S. district court judge found that Mzengi and hi wife forced a 20 year old women named Zipora Mazengo into domestic slavery in their six bedroom Bethesda, MD. This was reported by the
Washington Post. Therefore, impunity is a big problem in the government which Mwigulu is part of.

Mwigulu Nchemba is a person of questionable moral character that should not have been allowed to enter the United States. He is a danger to the United States public. Mwigulu has been working with Tanzania intelligence services to kidnap, torture and Kill Chama Cha Mapinduzi opponents. On several occasions he has warned the Tanzanians not to attend opposition rallies.

On this day
CLICK HERE In Arusha Tanzania, Mwigulu warned the voters not to vote the opposition or attend their public rallies; doing so would expose them to death. On an opposition rally the following day, a Chinese made hand grenade was thrown into the opposition party meeting killing 5 people and more than 70 injured. Click here. Mwigulu issues a warning click HERE . He is the man wearing CHINESE military Uniform

Mwigulu Lameck Nchemba, Jackson Nzoka, and Ridhiwani Kikwete have been making inflammatory terroristic videos such as this. Mwigulu produced the video, without informing the police. Mwigulu has been orchestrating along with Tanzania police and intelligence services fake terror cases against the opposition leaders. Because they are in the government, no one has ever questioned them or can question them. No one can arrest them and take them to court. They are enjoying the same culture of impunity.

United States should never be partial to terrorists, and encourage impunity. On Sunday 29
[SUP]th[/SUP], Mwigulu will be holding a public political meeting in Maryland. This is a dangerous man that should not be in the United States Soil. Mr. Mwigulu is currently in USA and expecting to rally at 1400 University Blvd, East Hyattsville, Maryland 20783 from 4pm to 8pm, tomorrow September 29, 2013.

Thanking you in Advance
Human Rights Activist
Dar es Salaam


Mwigulu Lameck Nchemba
Last edited by Nikosoe; Today at 19:30.​
 
Teh teh teh...! Daktari bwana.., teh teh teh..! Eti naye anapiga picha mbele ya mnara..!

Hata Obama angependa piga picture hapo......minara ni fahari ya Nchi....na yeye yupo ktk hiyo fahari..Bahati mbaya hiyo ni nyumba lililopanda si mnara per sey
 
Back
Top Bottom