Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

another silly idea
unataka kufanya ukweli kuonekana uwongo?
dr slar angeshika nchi tungekuwa mbali kwa miaka hii alioshika JK
hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

umeona? wachaga wapo nchi nzima! Teh teh teh .M4C KAMAKAWA HUKU MTWARA WW TUMECHOKA NA CCM. NA CUF INAYOSEMA YENYEWE IMEJIKITA ZANZIBAR

Au safari hii watasema kuna wachaga na wasukuma wengi sana kilosa, maana usukumani nako tuna wabunge wengi sana.
 
hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

This is a home of thinkers and not home of sinkers. poteaaaaaaaa!
 
hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

Ufahamu wako unaongozwa na Ibilisi!
 
hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

Una njinsia gani wewe...? na labda evolution bado inaendelea kwenye cells zako... mtengewe maeneo yenu wewe na Wasira
 
Relax Dudes! the gentleman is trying to be realistic i mean come on! really ????? .. chadema kukamata madaraka ya hii nchi..??! that will never ever gonna happen!

yuda alipochukua vipande thelathini vya fedha kama bei ya kumuuza yesu, alitegemea wale wayahudi hawangeweza kumtia mikononi mwao bwana yesu, manake alijua angefanya makaratee ya kimiujiza na kutoweka wasijue ameelekea wapi, na ingekula kwao

alipoona wamemkamata, wameanza kumtesa, wanamfikisha kwa pilato, akajiuliza, hivi kweli nimemsaliti eeh!!! akaona ubaya wa wazo lake ya kuwa ni mtu aliyepotoka kabisa na akajihukumu mwenyewe kuutwaa uhai wake (akajinyonga)

kama unayo masikio ya kusikia usikie, lakini kama una masikio ngozi ya kuurembesha mwili wako, subiri, kwani bado kitambo kidogo. . . . .

KENGE HASIKII KIPIGO MPAKA DAMU ZIMTOKE MASIKIONI!!!!!!!!!!!!!
 
CCM inakufa halafu kuna watu wanategemea mbinu za zamani za vyombo vya dola kama mlango wa kutokea. Piga taswira yaliyotokea huko Mtwara jana ndo ujue mambo hayo yameshakwisha ndani ya mioyo ya Watanzania.
Mtwara kumetokea nini mkuu?
 
Njiwaa

My friend Njiwa I expeted you could come up with strong points of arguments to support your statement to why cdm will perish.

But without evidfence you are doing the same, Njiwa wakeup to realise a new Tanzania!

why -

a ) chadema ni wakabila

b) chadema ni chama cha kikanda

c) chadema ni wadini "anti muslims"

conclusion - chadema they will never ever kuja kukama madaraka tanzania "FACT" No discussion
 
hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

Chadema Ikisambaratika CCM na CUF zitafanya nini?
 
Magamba hayooooo safari imeanza!.. RIP chama cha Mabwe!... Nguvu ya UMMA > nguvu ya dola na wakuu wa mikoa na wilaya.
 
hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

Nakupotezea
 
why -

a ) chadema ni wakabila

b) chadema ni chama cha kikanda

c) chadema ni wadini "anti muslims"

conclusion - chadema they will never ever kuja kukama madaraka tanzania "FACT" No discussion

Kama njiwa udini, ukabila umechuja
 
Kila lakheri CDM. Karibu DR SLAA na CDM utawale nchi na byebye CCM.Hizi ni zama za MWISHO KWA CCM. Lazima wang'oke.
 
baadhi ya watu wana mawazo HASI kuwa mabadiliko hayawezekeni ,ukweli ni kwamba mabadiliko yana wezekana wasiwe na hofu na wasiwasi wakubali wao wenyewe kubadilika na uzuri wa watanzania wa leo ni wajanja hawadanganyika
 
Na wewe unanikumbusha Mohamed Al Sahaf aliyekuwa msemaji wa serikali ya Sadam Hussein huko Iraq. Alikuwa anazungumzia kusambaratishwa kwa majeshi ya muungano wakati walikuwa wanashambulia nje ya jengo alilokuwepo! Pole sana maana unachokisema kinafanana na makada wenzio maarufu kwenu. Akina Tambwe Hiza na Steven Wassira!
Hahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaa sina mbavu!! sina mbavu....... sina mbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

Huyu ndio njiwa akifikiria cha kuandika hapa JF...

419996_401316893254935_1250250102_n.jpg
 
Back
Top Bottom