Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

Mkuu njiwa,
Naona maneno yako yamekuwa sumu kila mmoja anakujibu kivyake mpaka wamesahu mada yao ya CUF kusambaratika.
 
Last edited by a moderator:

Relax Dudes! the gentleman is trying to be realistic i mean come on! really ????? .. chadema kukamata madaraka ya hii nchi..??! that will never ever gonna happen!

Kama wewe ndo mpiga kura pekee nchi hii nitakubaliana na wewe, ila kama tuko wengi sikubaliani na wewe kabisa
 
Mkuu njiwa,
Naona maneno yako yamekuwa sumu kila mmoja anakujibu kivyake mpaka wamesahu mada yao ya CUF kusambaratika.
Mkuu na hisi kama una kifaa cha thread detactor, hii thread ingekuwa ina husu kuwa vua magamba huko kilosa ungekuwa una chungulia kama Guest, ila kwa sababu ni CUF uko humu kwa amani tele, ila niongoni walio vua gamba hata wa kwenu wamo
 
Relax Dudes! the gentleman is trying to be realistic i mean come on! really ????? .. chadema kukamata madaraka ya hii nchi..??! that will never ever gonna happen!

Njiwaa

My friend Njiwa I expeted you could come up with strong points of arguments to support your statement to why cdm will perish.

But without evidfence you are doing the same, Njiwa wakeup to realise a new Tanzania!
 
hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

Njiwa would you mind to think a little bit?! Oh I forgot you have the brains of a bird!!
 
hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

Chungu lakini dawa sometime inatulazimu kuvumilia ili tupone:israel:
 
Kumbe Chadema,inayojiita chama makini ina ugomvi na hata vyama pinzani?
 
Aiseee baba yangu mwanamke asipo timiziwa haja zake anatafuta bwana mwingine ndio kilicho tokea kwa caf magamba hawajawatimizia haja zao ndio maana wamekimbia cdm akiachi kitu kudadadadadaki

ngoja nijipongeze kwa mbege
 
Mkuu njiwa,
Naona maneno yako yamekuwa sumu kila mmoja anakujibu kivyake mpaka wamesahu mada yao ya CUF kusambaratika.

Mkuu siyo vibaya na wew ukachangia ukiona ccm au cuf au vinginevo powa, lete mawazo yako. wewe, Njiwa na sis sote tu watanzania.
 
Last edited by a moderator:
Chadema bado hakijawa chama cha upinzani hasa...hebu kuna walau nukata moja ya sheria za nchi hii mumeshawishi kubadilishwa walau iwemo katika sehemu ya mafanikio yenu...naona mnapwaga tu!
 
Chadema bado hakijawa chama cha upinzani hasa...hebu kuna walau nukata moja ya sheria za nchi hii mumeshawishi kubadilishwa walau iwemo katika sehemu ya mafanikio yenu...naona mnapwaga tu!

Akili ya Magamba utaijua tu.....
 
Back
Top Bottom