Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

sababu watu wa vijijini hawapati story nyengine badala ya kunywa gongo na chadumu hivyo lazima kwenye mabasi wazungumze hicho chama.
 
He is the hero of our country, Dr. W.P. Slaa (Ph.D), Na asiyesikia na asikie sasa vinginevyo anyamaze huku akisubiri kibunga chake.
 
waangalie wasije wakageuzwa kondoo wa bwana tu, manake hicho chadumu ni chaka katoliki so they should be careful .

Kwa hiyo CCM ni chama cha waislam kwa kuwa mwenyekiti ni mwuislam? Acha upuuzi! Unataka kutuambia kuwa viongozi wa vyama vya siasa hapa nchini wanatakiwa wasiwe na dini? Fikiri kabla ya kuropoka.
 
Chadema bado hakijawa chama cha upinzani hasa...hebu kuna walau nukata moja ya sheria za nchi hii mumeshawishi kubadilishwa walau iwemo katika sehemu ya mafanikio yenu...naona mnapwaga tu!
haya mabadiliko ya katiba yalikumo kwenye ilani ya ccm???
nani aliye sababisha kubalika kwa sheria ya mabadiliko ya sheria ??
kwa hali hii nadhani upo busy mno hata siasa huzijui nakushauri endelea na jukwaa lako la MMU
 
hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

Wewe njiwa ndiye utakaye zimia, hatuhitaji ufe ili uweze kuona M4C inavyo songa mbele kumkomboa Mtanzania!!! Naona hata Nape atakuona mzigo hataweza tena kukulipa!!!!

Jaman kuna watu wanajifanya hawajui nguvu za chadema, ukweli moyoni inawauma sana siku moja nmeongea na MWENYEKITI WA COUNCIL Mmoja ambaye ni CCM alikiri sa iv hawana pa kushika, anasubiri muda ili aangalie ustarabu mwingine. Alisema watu sasa hawadanganyiki na yeye anaongoza kata ya kijijin kabsa
 
Asante mkuu kwa kuuweka ukweli hadharani...Huu ni ukweli ulio uchi...
 
Wewe njiwa ndiye utakaye zimia, hatuhitaji ufe ili uweze kuona M4C inavyo songa mbele kumkomboa Mtanzania!!! Naona hata Nape atakuona mzigo hataweza tena kukulipa!!!!

hahaha! ... wacha habari za kusadikika mkuu

Back
Top Bottom