Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

Hizo ni symptoms za loser.Kwani mlipokuwa mnaingia kwenye uchaguzi mlikuwa na imani gani na nec?Kama wewe umeshindwa ni kuachana na siasa...wache wnanchi waendelee na kazi zingine ...umeshindwa umeshindwa basi....
 
Watanzania tuliopo Tanzania,
Tuwe makini na michango mingi inayotolewa humu. Posts nyingi ni za wale wanaoishi nje ya nchi.
Hawapotezi lolote iwapo fujo na mauaji yatatokea hapa.
Ole wewe utakayedanganywa uuawe/udhurike/ndugu zako wauawe etc etc.
They have nothing to lose... wao ni kuchochea tu.

Tusubiri 2015 tujaribu tena.

Acha woga. Ni bora kufa nimesimama kuliko kuishi nikiwa nimepiga magoti. Pasipo haki hakuna amani.
 
slaa hana kazi ya kufanya hivyo anatufuta kazi ya kupoteza muda mahakamani kama kaka yake mtikila akatae matokeo wakati ana asilimia 24
 
Frankly speaking and writing nimependa comment yako mkuu, i was always downlooking you but i've come to appreciate you. Thanx but i'm sorry for always having a negative attitude about you. My confessions!



Nimeipenda hii sincerity mkuu
 
NADHANI kila mtu atapata kuufahamu ukweli.Lakini kwa maoni yangu sioni kama ni busara kwa Dr SLAA kupinga matokeo na kusema kwamba yamechakachuliwa JE?NIWAPI ANATAKA KUTUPELEKA?:sad:
Huho huko anakotaka Kikwete na makame.
 
Nadhani ni muda muafaka Dr Slaa kama alivyotuomba kura wana JF na watanzania kwa ujumla yeye na watendaji wote wa Chadema kuja na figure halisi ya maeneo yote yaliyo chakachuliwa na kutupa mwelekeo wa hatua gani tunachukua hasa tulioibiwa kura.Maana waliyotaka kufanya Arusha mjini,Kawe,Ubungo kwa upande wa Ubunge ndiyo haya yaliyotokea kwa Kura za Uraisi.
Na bila wananchi kudai haki isingetendeka.

DR SLAA ahadi ni deni.

Ndugu wana JamiiForums, Mtandao wa IssaMichuzi, wana FaceBook na mitandao mingine na Watanzania wenzangu wote kwa ujumla mtakaosoma ujumbe huu, Salaam toka Mbeya Vijijini, ndio tumeanza mikutano midogo ya kufunga kazi asubuhi hii na tutahitimisha baadaye.


Msiwe na shaka, hata toka Ikulu nitaendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa mitandao hii na kuwapa taarifa mbalimbali moja kwa moja na kujibu maswali mtakayokuwa nayo kuhusu serikali yenu pale inaponipasa mimi kutolea kauli. Asanteni!!

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Afrika

 
Huu ni ujinga, hata International Observers wameshatoa taarifa ya awali kuwa kulikua na ezembe katika kukusanya na kuripoti matokeo, hali ambayo inachangia uchakachuaji!!!

kama kupinga basi twende international court so that haki itendeke lakini bongo si yatakua yaleyale tu? yaani kesi ya nyani umpelekee ngedere????

SLAA anza mchakato fasta tuanze mambo!!!!!
 
ametoa hoja gani kupinga matokeo hayo hapa watu makini wanapoamua kujadili jambo kingumbaro kaaaaaaaaaaaaazi kwelikweli
 
Watanzania tuchukie mhalifu yoyote bila kuangalia hadhi yake ktk jamii.wizi wa aina yoyote ukilelewa ni hatari ktk jamii yetu,hakuna aliye na akili ambaye hakuona matayarisho ya haya yanayotokea sasa hivi.
 
Back
Top Bottom