Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Hivi sasa ITV inapitisha tangazo kuwa Dr. Slaa amepinga matokeo ya Uraisi kuwa yamechakachuliwa na NEC na kuwa hayana uhusiano wowote ule na maamuzi ya wapigakura kura...........
hivi sasa itv inapitisha tangazo kuwa dr. Slaa amepinga matokeo ya uraisi kuwa yamechakachuliwa na nec na kuwa hayana uhusiano wowote ule na maamuzi ya wapigakura kura...........
Dr Slaa amepinga matokeo yanayotangazwa na tume ya uchaguzi!!!!!!!(source ITV)
Wewe ndio mchochezisio uchochezi huo?
sio uchochezi huo?
haki ya mtu haipatikani bila kupiganiwa(the rule of thumb)