Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Hivi sasa ITV inapitisha tangazo kuwa Dr. Slaa amepinga matokeo ya Uraisi kuwa yamechakachuliwa na NEC na kuwa hayana uhusiano wowote ule na maamuzi ya wapigakura kura...........
 
hivi sasa itv inapitisha tangazo kuwa dr. Slaa amepinga matokeo ya uraisi kuwa yamechakachuliwa na nec na kuwa hayana uhusiano wowote ule na maamuzi ya wapigakura kura...........


uwezekano ni mkubwa kutokea kwa vurugu kama zile za kenya
 
namuunga mkono... na akizungusha petition... nitasaini in BOLDS
 
MALRIA SUGU inakusumbua, imeingia mpaka kichwani unapayuka hovyo hovyo! Meza HATI PUNGUZO!!
 
Eee Mungu wangu

Najua uko upande wa haki

Tunakuomba, tunakulilia,

Utulinde,

Watanzania wote na watoto wetu,

Tunakuomba ulinzi wako,

Amen
 
Back
Top Bottom