Dr slaa apata pigo Iramba - mkutano wadoda!

Status
Not open for further replies.
Hahahhhahahhahhahhaha,

Sijawahi kuhudhuria mkutano wa BAVICHA.

Unauliza kuhusu kupigika kwa Ben Saanane?Eti kwamba alikua hajui atakula nini?Tafuta backgroubd yangu,tafuta kuhusu upambanaji wa Ben Saanane mzee!Usijaribu kurudia tena.
Wacha mkwara kawatishie vijana wapaleeeeeee makao makuu kinondoni sio hapa JF.
 
Na connect dots mkutano wa iramba dr slaa kudoda na muanzisha uzi huko Iramba. Now thanks God kwa thread hii Monique sha kumjua Harmy-D ni nani hasa!?

Mbunge anayetarajiwa kutimuliwa kazi Mkoani Singida ifikapo 2015
 
na ukishajitambua acha kuchumia tumbo

Unaandika na kujijibu bila kujua kwamba hujabadili ID.Unatia Aibu.Ndiyo maana ninasema niliwafundisha mimi jinsi ya kutumia mitandao.Leo mtakoma.!! Ulichofanya hapo juu ni aibu.Umejisahau kama mtu ambae ni ignorance kabisa katika matumizi ya mitandao.Tulieni,leo ni lazima mchanganyikiwe!
 
 
Sasa tupo kwenye mchakato wa rasmu hapa kiwanja cha people's. Nani mwingine yupo humu?
 
wewe ni p...mbavu unataka kusema upo perfect kiasi gani used co..ndm
 
Wacha mkwara kawatishie vijana wapaleeeeeee makao makuu kinondoni sio hapa JF.

Kaa mbali mzee,CUF hamjaweka hadharani utaratibu wenu wa kukusanya maoni.Sitaki majibu yangu kwako yaonekane kuwa ni matusi.Please,Sitaki kukujibu kwa ajili ya heshima kidogo niliyobakiza kwa wanachama na viongozi wenu kama Ismail Jussa na Julius Mtatiro bila kumsahau ndugu Katani(JV-CUF) na Chalamila.Wote hao hawajawahi kuthubutu kunichokoza kama unavyotaka hapa.Usiwaige hawa wengine wanaotaka kutuondoa kwenye mjadala wa ibara zao za katiba hasa katiba yao ibara ya 94(14) na Ibara ya 94(15) inayowapa mamlaka viongozi wa mkoa kuwafukuza uanachama na uongozi Madiwani wao.

Sakata la Sheikh Ponda haliwezi kuisha kwa wewe kujiingiza kichwa kichwa kwenye mhadala huu mkuu.Tafakari upya!Alivyofanyiwa Sheikh Ponda ni Sahihi?

Haya turudi kwenye mada😛icha za mkutano wa Singida zinahitajika sasa.
 
jipeni moyo makamanda wa naendelea na hatua za kuleta ukombozi nyinyi porojo na amupendwi hata kidogo watanzania tumewachoka wacha wanaojaliwa waendelee kufanya kazi
 
rais uliye moyoni mwa wa tanzania magamba umewashika pabaya usiache shikilia hapo hapo wameshalegea kaza sisi tuko nyuma yako wanaangaika na dada yao mwigulu
 
na ukishajitambua acha kuchumia tumbo

Hahahahahahahaahhaah...Mkimuona Ben Kitu inagonga chu.pi hahahah...pole sana mkapa unajijibu siyo mchezo.....futa basi watu wasikushitukie wengi
 
Chadema inabidi wajipange upya kuwafahamisha watanzania wanasimamia wapi. Dr Slaa, watanzania wengi wameishamchoka hana jipya kila siku anakosoa serikali tu lakini hawafahamishi watanzania kipi atawafanyia.

CCM na walionufaika na ufisafi serikalini hawatatuchagulia mgombea.Umefanya wapi utafiti?Speak for yourself!
 
Hapa taifa Dar FULL TIME YANGA1-0 AZAM.
Yanga ndiye bingwa wa kihistoria wa michuano hii ya ngao ya jamii!
 
Amehitimisha kwa kusema amani inapatikana haki ikitendeka.
 
janaume zima unapokuwa mmbea kama demu ni aibu hata kwa familia yako,kutwa nzima slaa ooh mbowe mara chadema,utaolewaaaa
 

Kiswali chenyewe hujui kuandika.Uongo wako una limit.Communication barrier.

Pia,leta picha kuthibitisha ubayosema.I recommend you,Jukwaa la Lugha litakufaa.Ni bora utumie muda mwingi kule kabla hujachangia hapa kwenye jukwaa la siasa.Kuna wenyewe,tuachie! Bitter pill to swallow.Pole!
 

hahahaha!!na badoooo!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…