PayGod
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 1,259
- 57
Tutaona mengi
mpaka siku dr slaa, atakapo apishwa kuwa RAIS WA TANZANIA
Tutaona mengi
Shyt did they say this??? Yaani kama proffessional org. inaongea hivyo mbona safari ni ndeefu!
embu tuelezane ukweli jamani...
REDET=Real Enemy of DEmocracy in Tanzania au??
Inawezekana Redet walijisahau wakasoma matokeo KINYUMENYUME. Matokeo halisi yalipaswa kuwa Slaa; 68%, Kikwete; 12%, Lipumba; 10%, Waliobaki 10%.
Nilikua nasikiliza taarifa asubuhi hii kutoka Radio Free Africa, nimeshtushwa na taarifa ya mtu aliyejitambulisha kua ni mkurugenzi wa taasisi inayojishughulisha na utafiti (CACT) kama wa REDET) akiipinga report ya REDET kwa kusema taasisi yao nayo inaendelea na utafiti huo kwa njia mbalimbali, sms, emails, kuhoji moja kwa moja, etc nchi nzima.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo hadi sasa Dr. Slaa anaongoza kwa 73%, JK 12% na Lipumba 9%. Kwa mujibu wa mkurugenzi huyo anapinga kitendo cha REDET kuchagua baadhi ya mikoa na kuacha mikoa mingine especially kanda ya Ziwa ambako ndio kuna wapiga kura wengi na anapinga report yenye only 2600 samples.
Siifahamu kampuni hii (CACT), wanaJF mwenye taarifa zaidi atuhabarishe
halafu that fake Dr Bana, kafanana na jina lake yupo kama kabanwa koo or like smbody in toilet, jina lake bana kama kabanwa na haja kubwa vile, hata his face unaonyesha alivyo muongo hawana lolote
[/COLOR] mpaka siku dr slaa, atakapo apishwa kuwa RAIS WA TANZANIA
Taarifa ya REDET inaweza kuwa sahihi kabisa inategemea umemwoji nani? cha msingi hapa ni sampling.
ktk hawa watu 2600 ni lazima kuna wenye na wasio na vyama.
Kwahiyo ktk ripoti yao ilibidi waonyeshe ktk waliowaoji ni wangapi wana ccm, wangapi wapinzani na la msingi wangapi kati ya hao 2600 hawana vyama. Hawa ni muhimu kwa maana ndio hasa wanaochagua Rais kwa maana watanzania wengi hawana vyama.
Kwa Tanzania kama sample yako haina asilimia 30, aslimia 20 wapinzani na asimilia 50 ambao hawana
vyama. Basi utafiti au survey yako nzima haina maana kwa maana it does not reflect reality.