Igweeee!Dr.Slaa slaa ndo anaongea...anasema CHADEMA tumefikia 99.999% katika kutoa elimu ya uraia..
kwani mleta uzi kasema tumjuze? au hujasoma thread yake?Umeanzisha uzi tunataka kujua nini mgeni rasmi anaongelea sio unachoona wewe ndio cha kutueleza mara nyingi wana habari wa JF wanafinya ukweli lakini ahsante kwa kutujuza
sawa kamanda. usisahau picha na dondoo zenyewe! all the best!
Hapana sio maana yangu nilikuwa namwomba aendelee kutiririka sio anaanzisha thread halafu anaishia au anatuambia kitu kidogo lakini sasa anatiririkakwani mleta uzi kasema tumjuze? au hujasoma thread yake?
:welcome:Hapana sio maana yangu nilikuwa namwomba aendelee kutiririka sio anaanzisha thread halafu anaishia au anatuambia kitu kidogo lakini sasa anatiririka
Simu yangu inashindwa kuapload picha kamanda!
Habar comrades!
Rais Dr.W.Slaa amesema kuwa vijana wasipoteze muda wao kubishana na watu kwenye mitandao wanaomwita yeye babu kwani amesema anafurahi kuitwa babu kuliko Dr.Slaa kwani neno babu kwa tafsiri za kiafrika ni busara, hekima.
Ameyasema hayo kwenye kongamano la CHASO dar.
jina gani? babu au?Wakigundua kama hilo jina analipenda hawatomwita tena.
nawashauri chadema kama mnampenda babu mwambieni apumzike ameshajichokea
mnasonga mbele kuelekea nyuma au?