Dr. Slaa aongea na wanafunzi katika Kongamano la wanavyuo

Sisi vijana wa zamani angalau tukaribishwe kama observers basi. Ha ha ha ha ha!
 
Hivi Chaema mlikosa ukumbi mpaka mkafanyie mkutano wenu hapo Msimbazi.
 
Hapo kwenye red ni nini hicho?

Wewe na wakristo hadi utakufa,kisa msimbazi centre ni kumbi ya wakristo basi,vitu vingine avina hata point unavyoviongea,chuki dhidi ya wakristo itakutafuna wewe mwenyewe,ukilala,ukiwa lumumba,ukiwa chooni,ukiwa barabarani wewe unawaza wakristo tu,hakuna kitu kingine unachowaza,pole sana.
 
Ngumbalu tu huyo, Jf walianzisha watu wa dini gani? Mbona usiku kucha anahangaika nayo! Hawa ndio wanajilipua kwa kuji lundikia moyoni imani za ajab u!
 
muitumie vizuri sana nafasi hii ya kukutana na Rais Mtarajiwa.
 
Back
Top Bottom