ascat mgona
Member
- Dec 21, 2012
- 28
- 5
Mapambano yanaendele makamanda
Sogea huko weweee!!mtu mwenyewe kumbe unatafuta mtu wa kukukanyaga??hapa naamini hutapata,watu tuna heshima zetu humu!mnasonga mbele kuelekea nyuma au?
haya mkuuSogea huko weweee!!mtu mwenyewe kumbe unatafuta mtu wa kukukanyaga??hapa naamini hutapata,watu tuna heshima zetu humu!
mnasonga mbele kuelekea nyuma au?
Dr.Slaa slaa ndo anaongea...anasema CHADEMA tumefikia 99.999% katika kutoa elimu ya uraia..
kwako ndo hakina maana kwangi kina maanaAisee! Nini unaandika? Inaonekana una muda wa kuchezea. Afadhali ukazurure!
Mkuu Shardcole Dr Slaa mwiba sana hahahahaa, eti analipenda hilo jina la babu..utashangaa CCM wanabadilisha hawatamwita tena babu..sababu nia yao sio kumwita jina analolipenda utashangaa wanamwita kijana,lakini Dr atasema analipenda pia sbab kijana inamaanisha nguvu, wataachana nalo watamwita mtoto, Dr atalifurahia pia sababu mtoto ina maanisha malaika.. Jaman uyu Dk mbona anainyanyasa ccm hivi,?..sidhani kama kuna propaganda itakayokuja mshusha chini DR sababu ya kadi mbili siisikii tena, nawasifu chadema kwa kumlipa dkt mshahara mkubwa, na chadema walivyo wajanja wamemkopesha na hela mil 140 ali kumfungia kabisa chadema asiondoke,wapo watu wanaodhani chadema ni wajinga lakini kile chama kina watu wenye akili nyingi sana... Viva Dr wa ukweli ambae ccm umeishinda serikali na bado utaisumbua sana
jina gani? babu au?
Taaruma ndio kitu gani?Cdm imefanya taaruma ya siasa ikose heshima
Huyu jamaa bana...ni NomaKamanda Bananga yupo jukwaani amesema atarudi ccm siku chadema watakapo achamisingi ya kuwatetea wanyonge na siku ambayo Riziwani Atajiunga CDM.
mbona rais wako kamuasi mungu kwa kulindwa na majini,lakini unamuamini?kwel m2 kusoma hujui hata kuona picha? yaani m2 kama kadirik kumuasi mungu ake itakuwaje kwa binadam mwenzake! alafu kaasi familia! dah mie sidanganyiki ngoo
Mbona hakuna updates?au mmeambiwa mzime cm?au mkutano umeisha?Huyu jamaa bana...ni Noma
Babu kalikubali vipi tukitohoa tukamwita Kibabu atalikubali pia??