Dr. Slaa aomba ukimbizi Canada

maneno yote aliyosema Gwajima dhidi ya Slaa kumbe ni kweli tupu- cheza na wote lakini usicheze na mtumishi wa mungu
 
Aiseee anajiandaa kuanzisha chama chake? He he he mazito haya, kwanini asirudi CCM tu maana kadi anayo amsaidie magufuli,
msaada wake ni kwa ajili ya ustawi wa Taifa Hili.... Ww subiri kolabo ya Prof Lipu na Dk Bastola ujue kuwa kinachofanywa ni hatari na hakuna anayeweza kukizuia
 
Ukiona mtu Mzee ambae aliwahi kupata mafanikio na amani hapo kabla, na sasa anaishi maisha yake ya uzee katika hali ya mahangaiko pasipo na amani basi basi jua huyo mzee ana LAANA.
 
baadhi ya vyombo vya habari vya hapa nchini siyo vya kuamini au vya kuttumia kama source wengine hawana weledi hata kidogo wa uandishi bali wa be driven na wanasiasa. hapa nchini naona gazeti moja tu anagalau linajitaidi kuandika RAIA MWEMA
Naona unakariri tu...RAIA MWEMA nalo ni Gazeti..!! lina tofauti gani na Mzalendo
 
Chezea Ccm wenye,Washamtumia na kumdampo.Sasa anaona aibu mke keshakula nyumba.Afadhali apotelee huko huko maisha yake yote.
Watanzania hawamwitaji tena.

Mungu mkubwa, mwaka jana muda kama huu mlikuwa mnampamba kwa mapambio hatare leo mtu akisoma post zenu anaweza zimia kama hawajui vile, manake msala na jumba bovu mnatupia watu wengine. Raisi wa mioyo yenu leo amekuwa si lolote. Tulikuwa tunawaambia siasa hazifiki mbali mlituangushia kila aina ya matusi leo. Ndio wengine wanaagiza popcorn tu wala hawathubutu kuwa jibu. Ila nyie nouma
 




Nyinyi ndiyo mliomfanya leo hii awe mkimbizi,hivi mlishindwa kumshauri kabla ya kuchukua mke wa mtu amchunguze huyo mke kama ni asset au liability?
 

Naamini kwa Sana adui mkubwa wa Slaa ni ccm kuliko chadema
Chadema kwa Sana Slaa sio ishu Tena ...alishawaumiza kwa namna flan na uchaguzi is over ....Ila ccm wanna hasira kwa Sababu project Slaa haikufanikiwa ...Pengine kwa mikakati mobovu ya handlers wenyewe ....Ila Sheria ya kutimika ni kutupwa au kuuliwa Kama ukishindwa au hata some extent ukifanikiwa Ili usiseme kweli .....na dr Slaa Kama msomi anajuwa Hilo
Scerio kama ya Sasa ambako Lipumba anawabip CuF ...sidhani Kama kwa dr Slaa itatakiwa kwa kuwa yeye ndio alikuwa target
 
L
Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!

Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
LOWASA
 
Inawezekana kweli mahana bila yeye ccm wasingeshinda kizembe kama vile.
 
Hihihiiii mtaalamu wa saikolojia alione hili.
DuppyConqueror
Sasa mtaalam wa psychology tena akahudumiwe na wataalam wengine? Ama kweli mganga hajigangi!! Mzee wa watu mafuta ya Chrisma yanamtesa maskini!! Kazee kanaona aibu kurudi Tz kataweka wapi uso wa kenyewe huku Lowassa kaliyemsema ni liability anaendelea kunawiri tu huku UKAWA ikiingiza mjengoni wabunge lukuki na kushika majiji karibia yote!!
 
Kwanza huku wana UKAWA wengi wanamuonea huruma
alivyoingizwa mkenge na Magufuli

Sasa watu wanao kuonea huruma wataku dhuru vipi?
Hata mimi mwana CCM namwonea huruma sana Dk Slaa sikutegemea maisha yake yatasinyaa kiasi cha kuanza kukimbia kimbia kuomba nchi ya kuishi ndani ya muda mfupi kiasi hiki, nawaombeni tumuombee!!

Na kama Magufuli kuna alichomwahidi angemtekelezea padre wake hakuwajua wanasiasa alidhani ni wachungaji wenzie.
 
Haka sio kampango kama kale ka gavana wa kipindi kileeeeee aliekufa bila mazishi
 
Duuuu,ndio maana kuna watu walikuwa wanasisitiza kuna maisha baada ya uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…