sema ww. Na sasa zito waliye mfukuza ndo anawabeba bungeni.Kuna nyuzi hapa zilidai Dr. kapewa pesa nzito nafikiri sio chini ya dola au paundi milioni moja. Sasa hiyo nyumba ina thamani gani hadi ashindwe kuilipia? Kuna ukweli gani kwenye habari hizi? Au ndio kumsanifu?
Zamaulid mpendwa, hao ni wawezeshaji na sio michepuko. Ukweli katika kuoa kunahitaji umakini. Kinachotokea kwa mzee wetu tuliyempenda sana ni ushauri mbovu toka kwa mama yetu Mshumbushi.We si umeshaoa....na una "mamichepuko mawili"...South na Botswana....
Nimesharekebisha mkuu!Sio Habili/Abeli,aliyetangatanga ni kaini baada ya kumuua Habili
C=A-Lasset na liability..
Tatizo unachangia kwa mihemuko ya kisiasa.Dr. Slaa ni jina kubwa haijalishi wewe unamwonaje. Hakubaliani na unafiki kwa kuwa yeye si mnafiki. Habari za yeye kuomba ukimbizi Canada tunaitaka serikali ifuatilie na itupe mrejesho. Kama vitisho hivi vinatoka kwa Hugo rais wa wawahuni wanayesema anaishi kama rais hatua zichukuliwe kuuthibitishia umma kwamba ipo serikali makini yenye uwezo wa kulinda RAIA wake
hiiiihiiiiiiiiKama ni kweli basi inatakiwa tuchukie tahadhari kubwa wakati wa kuoa.
Hakuna kitu kama hichoMaadui wa Dr Slaa wanajipanga kwa 2020. Wanamwona paroko wa watu kama kirusi and they want to scan him
Kama source yenyewe ni Mtanzania, basi ni kutilia shaka. Ingekuwa Mwananchi afadhali kidogo!Nunua gazeti la Mtanzania upate habari zaidi!
Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!
Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?