Toka lini wewe ulikuwa Chadema wewe Chadema akademia umekuja na laki si pesa. Chadema.Mkuu mimi ni cdm tokea zamani lakini siwezi kukubali kuendeshwa na sugar mammy mshumbushi kamwe
Mkuu mimi ni cdm tokea zamani lakini siwezi kukubali kuendeshwa na sugar mammy mshumbushi kamwe
Hili kundi ni la ajabu kweli linatukana kila kiongozi wa Chadema anaehoji au kupingana na misimamo yao.
Ni kundi lenye nguvu na ushawishi mkubwa sana, na Vijana wa Chadema bila kujijua wamesombwa na mafuriko ya kundi hili kiasi cha kukashifu viongozi wao waliokuwa pamoja kwenye jua na mvua usiku na mchana.
Ni kundi lisilo na uchungu na Chama, lenyewe linawaza madaraka tu, halijui miiko, misingi, itakadi wala taratibu za Chama.
Ni kundi linalowaza madaraka tu, lina uchu na tamaa ya madaraka bila kujali yatapatikana kwa njia gani au kwa kumwathiri nani.
Halina msimamo, wala halijali kitu asubuhi litakusifia jioni litakuponda halina uvumilivu wa kisiasa.
Limeua slogan zote za CHADEMA , sasa hivi huwezi kusikia nguvu ya uma, M4C wala kukemea ufisadi ...... Hili kundi limeua slogan ya Chadema safari ya uhakika, sasa hivi wote tunaimbishwa safari ya matumaini Na Lowassa tu.
Muda sio mrefu tutaona rangi halisi ya kundi hili, wale waliosombwa na mafuriko ya kundi hili watajikuta wako kondeni mithili ya takataka zilizosombwa na maji... na maji yamekauka.
Nawaasa Team Lowasa japo mmekaribishwa mpaka Chumbani muwe na nidhamu kwa wenyeji wenu.!
Ni kweli wanomtukana Dr Slaa ni wale hata Mwembe Yanga hawaujui ulipo ,ni wale ambao kitu kinaitwa maandamano hawakijui,ni watu ambao virungu na mabomu ya polisi hawayajui,wakuja ndiosasa wameishika Chadema ,na muda si mrefu Chadema itwekwa mfukoni na mafisadi,si mnaona wanavyohama kwa fujo,na hamjiulizi wanafuata nini Chadema na kwa nini hawajiungi vyama vingine?leo hii Chadema imekuwa lulu ,hawahawa wanaojazana Chadema si ndio tuliwaona kwenye bunge la katiba na bungeni wakiwazomea hao ambao sasa ndio wamekuwa maswahiba,wanasau kuwa bila Dr Slaa wasiingeikuta Chadema hapo ilipo,huyo Mbowe si alikuwepo miaka mingi pamoja na Mtei kuna lipi walilolifanya ,Chadema imekuwa ni chama kikuu cha upinzani kutokana na Dr Slaa hilo ndio mjue na msiotaka kujua shauri yenu lakini huo ndio ukweli wenyewe hawa akina Mwaimu wanaopiga makelel jukwaani hata akichukua fiomu ya udiwani pale Mchambawima hakuna atakaye mchagua,bado ni chekechea kwenye siasa.mkuu uko sahii kabisa wanaomtukana ni pro lowasa ambao hawajaonja machungu ya Kuwa cdm
WanaJF na hasa wana CHADEMA wenzangu tuwe makini sana na maandishi yetu hapa jukwaani kuhusu huu ukimya wa DR SLAA, tafadhalini sana, DR ni kiongozi mkubwa sana anastahili kuheshimiwa, wale wenye uchungu na CHADEMA na tunaofahamu tulipotoka hatuwezi kumkashifu huyu mtu, kwa lipi hasa ?
Acheni kabisa jambo hilo, sikupenda kuandika jambo hili maana linaweza kuendeleza malumbano zaidi lakini nimelazimika kuliweka kama angalizo.
ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASAWanaJF na hasa wana CHADEMA wenzangu tuwe makini sana na maandishi yetu hapa jukwaani kuhusu huu ukimya wa DR SLAA, tafadhalini sana, DR ni kiongozi mkubwa sana anastahili kuheshimiwa, wale wenye uchungu na CHADEMA na tunaofahamu tulipotoka hatuwezi kumkashifu huyu mtu, kwa lipi hasa ?
Acheni kabisa jambo hilo, sikupenda kuandika jambo hili maana linaweza kuendeleza malumbano zaidi lakini nimelazimika kuliweka kama angalizo.
ubarikiwe sana .Erythrocyte umesema vizuri sana! Asante kamanda! Ukombozi wa pili uko karibu!!
Mbowe katudhalilisha sana wanachadema,ccm wameingia chadema baada ya mbowe kumleta lowasa na wale chadema wasafi wakiumiwa,Leo chadema imegeuka gafla chama cha kupokea mafisadi huku mbowe na wafuata upepo wakiongea tutoe kwanza CCM madarakani
.
Kweli tunaitoa ccm madarakani kwa UKAWA kumsimamisha lowasa aliyekuwa fisadi!
Bila uso wa haya mnamsafisha lowasa na kumwita mkombozi.
Mafisadi wameingia chadema na ccm imebaki bila mafisadi imewatema halafu chadema mliojipambanua mnapinga ufisadi Leo mnamleta fisadi asimame kwenye UKAWA .
Kama Dr Slaa hatakwepo kwenye safu ya UKAWA nitafurahi UKAWA washindwe kabisa heri ccm iendelee tu,mafisadi wamekuja kusimama kwa upande mwingine na tumewacha kuwathamini waliotoa maisha yao kwa ajili ya chama.
Wakati watu wakipigwa risasi,mabomu arusha,wakipigwa risasi ya moto morogoro na nzega lowasa alikuwa wapi Leo anaibuka tu kama mzimu.
Kina Dr Slaa wakipelekwa polisi,mpaka mke wa Slaa alipigwa na polisi na kumwagika damu,kina Tundu Lissu walichaniwa mpaka nguo kudhalilishwa na hawa ccm sera za majukwaani ilikuwa kuwaponda hao mafisadi wa ccm.
Leo lowasa kaingia chadema analeta jopo la mafisadi wa ccm watu mnashangilia.
NITAFURAHI UKAWA ISHINDWE UCHAGUZI MKUU KAMA DR SLAA HAYUPO NA KAMA Mgombea ni lowasa.
Nahakikisha mwaka huu kwa madudu anayofanya mbowe lowasa akisimama UKAWA na wakashindwa upinzani ndo utakuwa umekufa rasmi mpaka hapo itakapokuja chama makini na siyo ACT wazalendo
Na wakishinda utafanyaje?

CCM itoke kwanza madarakani
We ndo umeleta jazba,kama sio uwehu ni nini mjenge chama mkipinga ufisadi na kuonyesha misingi ya kusimamia hali Leo wale mliowaita mafisadi mnawakaribisha na kuwafanya wagombea ,mnawasafisha tena,mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya ujinga kama huo eti kisa mnaondoa mfumo wa ccm uliopo wakati mmeuhamisha kwenu,wananchi wanaweza kuwavumilia hata mkipoteza uchaguzi mgekuwa wenyewe,mkipoteza tu hamna atakayewaamini tena.
Btw kama lowasa akishinda UKAWA ndo itakuwa dampo la watu wachafu na ccm kugeuka wasafi
Umeongea kijazba bila kujenga hoja za maana by da way unamatatizo unaposema utafurahi ukawa wakishindwa inamaana hutaki mabadiliko alafu sisi tushaona mfumo wa ccm hautufai tunahitaji changamoto mpya nyie vilaza ndio maana hitler alikuwa hawaachi mzidi kuongea mihemko yenu hakuna uthibitisho lowassa ni fisadi kwa kauli yake na jibu la serikali kushindwa kumchukulia hatua inamaana alikuwa mkubwa kuzidi serikali au ?????
acha washindweee. Kwa kweli, Sipigi kura ukawa kama Lowasa ndo kasimamishwa na Slaa katimuliwa indirect. Nashawishi wafuasi wangu pia wasipigie kkura CDM ktk ngozi ya UKAWA