Dr. Slaa amuonya vikali Spika Anne Makinda

Ukiwa mwanasiasa uwe na ngozi ngumu, malalamiko ya nini ukivunja kanuni utakula za uso tu, hakuna aliye juu ya sheria.
 
HAkuna kifungu chochote cha kumruhusu SLAA kumuonya SPIKA, huko ni kupungukiwa uwezo wa kupambanua mambo
Huu ni umbumbu wa haki zako za msingi. Hivi hujui kwamba hata wewe unayo nafasi ya kumuonya speaker na hata Rais iwapo kuna jambo lolote ambalo unaliona ni la hatari ambalo Rais au kiongozi yeyote wa serikali anafanya? Au hujui kwamba tangu rais hadi balozi wa nyumba kumi ni waajiriwa wa wananchi na wananchi ndiyo wenye say ya mwisho kwao? Huu ujinga wa wanaCCM wa kudhani kwamba ukiwa kiongozi basi umepewa hatimiliki ya nchi ndiyo unaowafanya mjisahau sana. Hata Ghadafi alidhani Libya ni mali yake binafsi, nafikiri sasa hivi unajua yuko wapi baada ya waajiri wake kuamua kuichukua nchi yao.
 
HAkuna kifungu chochote cha kumruhusu SLAA kumuonya SPIKA, huko ni kupungukiwa uwezo wa kupambanua mambo

mkuu, hayo ni madhara ya kukimbia shule. ndo maana hata sheria na kanuni za kuongoza shughuli zao hawazijui
 

mtu anayeonya ni yule mwenye mamlaka ya juu kuliko anayeonywa. nithibitishie kama dr slaa ana mamlaka makubwa kumzidi spika na rais
 
Ni vizuri bunge lijalo wagombea ubunge wakapimwa kama wanatumia madawa ya kulevya.vinginevyo tutashuhudia vituko na kuropoka kusikowasaidia wananchi.
 
mtu anayeonya ni yule mwenye mamlaka ya juu kuliko anayeonywa. nithibitishie kama dr slaa ana mamlaka makubwa kumzidi spika na rais
Hapo ndiyo uelewa wako ulipoishia? Pole! Maana siyo kosa lako; tatizo ni kuwa CCM. You think ukiwa na mamlaka basi upo juu ya kila kitu. Mnasahau kwamba hata mfagia choo tu wa ofisini kwako anayo mamlaka ya kukuonya kama una mienendo isiyoridhisha.
Soma hii habari hapa chini halafu useme kama Masauni ana mamlaka makubwa kuliko viongozi wa serikali za Africa!
http://www.mwananchi.co.tz/habari/M...frika/-/1597578/1858658/-/vot7ju/-/index.html
 
Wewe ungekua side b bado ungesema ndioooo ndio maana tulikupiga chini...sasa ndio issue gani hii kuuliza mbona hauulizi habari mpya mpya kama za kina kinana na habari za kikwete na wabunge wake kuwaponda kina filikunjombe?uliza haya1!? Sasa leo umepangiwa hoteli gani na nani?maana najua wanabadilishana tuu
 
Ha ha ha ha h kweli ccm mambumbumbu na mazuzu mpo wengi sasa angalia hapa umeadmit kiaina kuwa ccm kusema ukweli ni sumu na mnaishi kinyume cha ukweli halisi ...sisi hatutaki kuongozwa na mfalme juha na wafuasi wake!!hivi how old ar u!!/ wewe c kijana kama ni kijana basi hauna kazi(kwa upumbavu wako umekosa hata fursa kutokana na unao watetea),kama una kazi bais wewe ni mtoto pumbavu usie na elimu na baba ako ni sisiem,au wewe ni mpuuzi mmoja unaeishi kwa kujipendekeza kwa kucheka cheka na kupamba watu esp ccm na huwezi kukosoa inapobidi hata kama unajua ni kosa...au wewe ni shoga flani hivi...haiwezekani uwe mwanaume mwenye akili timamu unaandika upuuzi kam unaoandika humu...wewe lazima shoga wewe
mkuu, hako kaugonjwa na wao kanawanyemelea. Ipo siku watakua kuvua nguo bungeni. Ila nashukuru dr kigwangala amewatibu na sasa watakuwa wanatoa michango mizuri
 
Wewe hauna akili wewe kwa hiyo baba ako akitaka kukugegeda utataulia kwa sababu ana mamlaka makubwa zaidi yako...unaandika mambo marahisi sana wewe na utakuwa unajibiwa kirahisi hivyo hivyo...nijibu bosi wako akitaka kukutia dole utatulia tuu!?au kistaarabu bosi wako acheze kiduku juu ya meza yako ofcn utauchuna tuu huku akiaribu kazi zako ili uanze upya?ndio wanchofanya ccm na makinda!!!ndio maana mi nakwambia wewe shoga wewe
mtu anayeonya ni yule mwenye mamlaka ya juu kuliko anayeonywa. Nithibitishie kama dr slaa ana mamlaka makubwa kumzidi spika na rais
 
Wabunge wa CHADEMA wamekuwa kama wamechanganyikiwa. Hawajielewi. Wakaonane na Dr. Kigwangala wapatiwe tiba.

Nasikia mkeo ni dokta wa binadamu mfikishie taarifa namtafuta akanitibu ugonjwa ninaoumwa.
 
HAkuna kifungu chochote cha kumruhusu SLAA kumuonya SPIKA, huko ni kupungukiwa uwezo wa kupambanua mambo

Uelewa wa mambo nao ni tatizo kubwa ulimwenguni humu, hivi kwa mfano David Cameroon akiionya Siria kuhusu utumiaji wa chemical weapon, kuna kifungu chochote kile kinachomuruhusu amuonye? Sijui hata Kiswahili unakijua kweli, ngoja nikuambie, KUONYA ni level ya juu ya kushauri. Anayemuonya mtu anamkanya mwenzake aache kufanya jambo fulani kwa sababu lina madhara. Anayeonywa anaweza akapuuzia au akakataa, lakini muonyaji yeye ni vema akafanya kitu, asipofanya anaweza kupatwa na jambo baya. Mpaka sasa hivi, tangia Tanzania ipate uhuru, nadhani ni speaker Anna Makinda ndiye amekuwa akilaumiwa kuliko wote. Ukisoma katuni iliyochorwa na vyombo vya habari vya Kenya, inaonyesha jinsi gani bunge la Tanzania linadhalilika kwa sababu badala ya kuongelea hoja za maendeleo, wabunge wamekuwa waakipiga siasa. Na Speker kama kiongozi wa bunge anatakiwa awaelekeze wabunge kuongea hoja na sio siasa. Kwa mfano, mbunge wa Sumbawanga mjini katika hotuba yake ameuliza zilikoenda shilingi bilioni 250, badala yake kwa sababu iliulizwa na mbunge wa upinzani, Speaker hakufanya lolote. Bunge badala ya kusimamia serekali limekuwa likisimamia vyama. Ukiangalia kwa makini, nguvu nyingi inatumika kukosoa hotuba za wabunge wa upinzani badala ya kuchukua kilicho chema na kuacha ambacho sio chema ili kuboresha bajeti za wizara.
 
mtu anayeonya ni yule mwenye mamlaka ya juu kuliko anayeonywa. nithibitishie kama dr slaa ana mamlaka makubwa kumzidi spika na rais
Nchi Hii ikiwa na watu kama wewe na thatha wabunge watakojelea juu ya vichwa vya wananchi kwa vile wako "juu". Sisi ni waajiri wakuu wa wabunge na serikali. wanaishi kwa kodi zetu!! tunayo mamlaka ya Kuonya na kufukuza kazi!! Sema kwa sauti TUNAYO MAMLAKA DHIDI YA MAKINDA NA SERIKALI YOTE!!! RUDIA MARA 5!!!!! ikuingie
 

Bila kujua Mh. Anne Semamba Makinda kitendo cha kumwamuru Mh. Mbilinyi kukaa na kuahirisha kikao cha Bunge kwasababu ya "Kupata Stroke" AMEKIPAAISHA CHAMA CHA CHADEMA. Kila mmoja aliyeona na kusikia ameamini ni jinsi gani serikali yetu inahusika na yale yote hata pengine na yale ambayo Mh. Mbilinyi hakuzungumza.

Nitoe mfano wa maisha ya kawaida katika familia: Jamaa mmoja alikuwa na familia ya watoto sita siku moja familia hii ilivamiwa na mwizi. Mzee alijitahidi kisha akaweza kumdhibiti yule mwizi akamfunga kamba na kumpa kichapo cha nguvu hata akafa. Watoto wote walishuhudia sakata lile. Mzee akabeba mwili na kwenda kuuficha anakojua yeye, kisha akarudi nyumbani, maisha yakaendelea kama kawaida.

Siku moja alikuja mgeni mtoto wa mwisho wa yule mwenye nyumba kama kawaida mbele ya yule mgeni akatema siri akimwambia yule mgeni... " Baba yangu ana nguvu sana juzi alimpiga.....Baba akaingilia "Shiiiii!!! akamwambia toka nje!!"

Yule mgeni hakuweza kufahamu nani alipata kipigo toka kwa yule mzee ilibaki fumbo.

Hii ndiyo hali ilivyo kwa Bunge la jana tarehe 20/5/2013. Sisi wageni tumenyimwa haki ya kujua kwa undani unyama wa serikali au niseme CCM.

Tunashukuru sana mitandao imetuletea hotuba yote, Nyie CCM na Serikali yenu hivi ndivyo mlivyo???
 
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
Ni kweli kabisa bunge siyo kijiwe lakini unapaswa kutambua kuwa linaendeshwa kwa kanuni siyo kuwapangia watu waongee nini. Kama Mh.Mbilinyi amesema uongo angetakiwa kuondoa maneno yanayoudhi yeye mwenyewe au angetakiwa kuthibitisha na siyo kupangiwa maneno ya kuongea na kamati ya kanuni
 
Ni kosa kubwa kugeuza bunge letu kuwa idara ya Serikali.
Hebu CCM badilikeni na mtambue kuwa Tanzania ni yetu zote,
 
Kwa jinsi pua inavyoisujudia ardhi, ndivyo ambavyo kila binadamu ataonja mauti siku ya mwisho ikifika. Viongozi hata kama mlijipa dhamana ya kutuongoza bila ridhaa yetu ila hata kifo mtakikwepa tena???????????????? Ee mola usituache na utulipie kwani hatuna ubavu wa kupambana na hawa wezi wa mali na roho zetu.
 
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
akachukue maneno mbinguni?
 
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
...Mbona hawakuahirisha bunge wakati Serukamba anachangia ili kamati ya maadili ikalipitie lile neno lake kabla hajaendelea kuchangia. au hapo kanunu za magamba zinaruhusu.
 
Du hawa jamaa wamekuja wengi hapa leo kumtetea spika au ni mtu mmoja na id nyingi? hawa ndo wale nchi ikikombolewa watashikwa na kiharusi.
 
Ni wajibu wa bunge kuisimamia serekali sasa kama bunge haliwezi kuihoji serekali kwa vitu kama ambavyo jana ilihojiwa ni nani ataisimamia serekali?

mkuu,ihi kitu inasikitisha sana mbunge wabunge wa ccm,badala ya kuisimamia serikali wao ndio kwanza wanaisemea sasa watu wanashangaa kazi ya bunge ni nini,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…