wabunge wa chadema wamekuwa kama wamechanganyikiwa. Hawajielewi. Wakaonane na dr. Kigwangala wapatiwe tiba.
amuonye kwanza sugu
kwani uongo hamuwang'oi kucha waandishi na meno na kuwaua kama kwa mwangosi
slaa awaonye watembea na sumu hadi bar kwanza ndipo aweze kumuonya spika
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
Bunge siyo kijiwe cha kahawa.
amuonye kwanza sugu
slaa awaonye watembea na sumu hadi bar kwanza ndipo aweze kumuonya spika
Just 'cause Dr. Slaa got an opinion does that make him a politician? Jibu ni hapana.
bunge haliwezi kuvunjika kwa matakwa yake wala ya walalamikaji, litavunjwa kwa matakwa ya wananchi maskini na wavuja jasho
bungeni sio mkutano wa kampeni au mkutano wa hadhara wa chama flani kutafuta umaarufu kwa kupotosha mambo. ni ukumbi wa mikutano ya kutunga sheria za nchi, na kujadili mustakabali wa taifa
Kila siku anamuonya SPIKA wa bunge. HOW MANY TIMES?. Kwa nini sasa asichukue hatua. Inaonekana Kuonya kwa tafsiri ya Dr. Slaa ndiyo kuchukua hatua butu. Hizi ni kama kelele zisizokuwa na maana ambazo zinakosa hata mwelekeo maalum.
DO SOMETHING or just shuthole.
Dr slaa hana uwezo wa kuingilia mambo yanayoendelea bungeni. anawaharibia bure wabunge wa chadema na sasa wamekuwa kama wamechanganyikiwa vile. ukiona sugu alivyowasilisha ile speech jana utakubaliana nami kuwa wabunge wa chadema sasa hawatumii hata chembe ya akili yao kufikiri. wanatekeleza tu maagizo ya mkubwa wao bila ya kujua athari zake
Slaa inaonekana anaishiwa hoja na nguvu ya kisiasa kwisha aangalie njia nyingine yakuweza kurudi kayika ulingo wa siasa tena.
Dr. Slaa anafurahisha sana, hawezi kukaa siku tatu bila ya kutafuta tukio la kutokea nalo kwenye jamii ya Watanzania na akikosa tukio analazimisha ili mradi tumsikie.
Viongozi wa CHADEMA hawana tofauti na RockStars.
Wabunge wa CHADEMA wamekuwa kama wamechanganyikiwa. Hawajielewi. Wakaonane na Dr. Kigwangala wapatiwe tiba.
jifunze kuwa mtu mzima wapinzani hawapangiwi cha kuzungumza lakini uhuru wao kisiwe kigezo cha kutunga uongo kwa malengo ya kuchafua watu,kuchochea chuki na kukejeli wetu.wajenge hoja wataeleweka tu,waoneshe uongozi wao nasiyo kuonesha ujana.
bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
kanunu ipi inaruhusu spika ailishe shughuli za bunge? Kisa kesi ipo mahakamani? Shame!
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
Bunge siyo kijiwe cha kahawa.
amuonye kwanza sugu
slaa awaonye watembea na sumu hadi bar kwanza ndipo aweze kumuonya spika
Just 'cause Dr. Slaa got an opinion does that make him a politician? Jibu ni hapana.
bunge haliwezi kuvunjika kwa matakwa yake wala ya walalamikaji, litavunjwa kwa matakwa ya wananchi maskini na wavuja jasho
bungeni sio mkutano wa kampeni au mkutano wa hadhara wa chama flani kutafuta umaarufu kwa kupotosha mambo. ni ukumbi wa mikutano ya kutunga sheria za nchi, na kujadili mustakabali wa taifa
Kila siku anamuonya SPIKA wa bunge. HOW MANY TIMES?. Kwa nini sasa asichukue hatua. Inaonekana Kuonya kwa tafsiri ya Dr. Slaa ndiyo kuchukua hatua butu. Hizi ni kama kelele zisizokuwa na maana ambazo zinakosa hata mwelekeo maalum.
DO SOMETHING or just shuthole.
Dr slaa hana uwezo wa kuingilia mambo yanayoendelea bungeni. anawaharibia bure wabunge wa chadema na sasa wamekuwa kama wamechanganyikiwa vile. ukiona sugu alivyowasilisha ile speech jana utakubaliana nami kuwa wabunge wa chadema sasa hawatumii hata chembe ya akili yao kufikiri. wanatekeleza tu maagizo ya mkubwa wao bila ya kujua athari zake
Slaa inaonekana anaishiwa hoja na nguvu ya kisiasa kwisha aangalie njia nyingine yakuweza kurudi kayika ulingo wa siasa tena.
Dr. Slaa anafurahisha sana, hawezi kukaa siku tatu bila ya kutafuta tukio la kutokea nalo kwenye jamii ya Watanzania na akikosa tukio analazimisha ili mradi tumsikie.
Viongozi wa CHADEMA hawana tofauti na RockStars.
Wabunge wa CHADEMA wamekuwa kama wamechanganyikiwa. Hawajielewi. Wakaonane na Dr. Kigwangala wapatiwe tiba.
Matamko mengine......
hivi chadema huwa hampitii tamko kabla ya kulitoa?
DR SLAA kweli ana lake jambo si bure!
Yani kiongozi mkubwa kama yeye anatoa maelezo ya uchochezi waziwazi hivyo?
Kwa hotuba ya jana ya kambi ya upinzani iliyosomwa na Sugu haina wasifu wa kusomwa bungeni, sana sana Sugu angeenda kuwasomea wavuta bangi na wabwia unga wenzie.
Taifa letu Tanzania aliwezi kukaa kusikiliza maneno ya kihuni kihuni aliyoyajaza Sugu na washirika wake kwenye hile hotuba.
DR SLAA muogope mungu, kujitangaza kwako kisiasa kusichafue viongozi wetu wa kitaifa. Kwanza vitabu vitakatifu vimeagiza tuziheshimu mamlaka zilizo wekwa na Mungu, wewe ni PADRE gani usie heshimu maelekezo haya ya Mungu?
Mkwara mbuzi ikibidi hotuba ipigwe chini haiwezekani hotuba iandaliwe klabu na walevi wajiwekee maneno yao machafu isikike na taifa zima naunga mkono spika Mia kwa alfu moja
wewe kwa akili yako finyu unadhani dr slaa atachukua hatua gani kama si kuendelea kulalamika tu. imemshinda familia ataweza kutetea maslahi ya taifa?
mkuu, dr slaa ameshakata tamaa ya kuwa rais wa nchi. ndo maana anaendelea kulalamika tu. si unakumbuka mkuu yale madai yake kuwa amepigiwa mizinga 21 kule zambia tarehe 9/5/2013? hizo ndo dallili za mwisho za mtu aliyefilisika kisiasa
mkuu, huo ni udhaifu mkubwa kudhani kuwa kila anayempinga dr slaa analipwa buku saba. wengine wamejenga tu chuki naye kutokana na kitendo chake cha kulikimbia kanisa. wengine wamechoka kwa kitendo chake cha kupora mke wa mtu. wengine wana bifu naye kwa kitendo chake cha kujaribu kubaka ofisini kwake. huku wengine wakimchukia kwa kitendo cha kushinikiza akina shonza na mwampamba wafukuzwe, kwa ujumla dr slaa ana maadui wengi kuliko unavyofikiri. ni wewe tu umebaki kumtetea kwa vile tu unatetea mkate wake
serikali haisimamiwi kwa matusi na kejeli slaa anakokwenda siko yawezekana ndiyo mwisho wake kisiasa.
nami naunga mkono maamuzi ya spika
Tatizo kubwa la nyie Bavicha mnadhani kila anakula kutoka na siasa, wewe unavyopewa viroba na chakula kumtetea Dr Slaa unadhani wote tupo hivyo jipange kijana.
chadema ndo wana sera za kuua wapinzani. Rejea mauaji ya chacha wangwe
Kama usingizi mnono wa asubuhi ulikufanya kuzembea shule, hili siyo tatizo langu kutokuelewa neno SHUTHOLE. Jaribu masomo ya jioni ya kujiendeleza!!In bold....ndio nini hio? Never heard of it....stick to lugha unayoiweza!!! (Shukuru Kawambwa Graduate)
bunge haliwezi kuvunjika kwa matakwa yake wala ya walalamikaji, litavunjwa kwa matakwa ya wananchi maskini na wavuja jasho
hivi umesoma hotuba tafuta thread iko humu imejaa ukweli mtupu sema spika na MACCM waoga wanawaogopa wananchi ,inafurahishwa kwamba MACCM yanafurumishwa na wananchi wamegeuka macacoonmkuu, nadhani ndo unaamka. Kwa taarifa yako, spika hakuahirisha kikao kwa ajili ya kuzungumzwa jambo lililo mahakamani. Kimsinhi ile hotuba ya jana ilijaa uchochezi na kutokana na hali hiyo ndo maana kikao kiliahirishwa ili kamati ya maadili iijadili na kutolea maamuzi. Sugu na chadema hawakufanya hivyo. Ni utovu mkubwa wa nidhamu
chadema ndo wana sera za kuua wapinzani. Rejea mauaji ya chacha wangwe
Buku Saba FC. Inaonekana jana mlilipwa bonus.Speed ya kupost imeongezeka...
Punguwani wewe sema maneno ya mtaani au kanuni iliyovunjwa pale na sugu!
Ndio kwenye kipindi cha bunge kwa sababu wamewakata Star Tv na ITV kutuonyesha bunge nchi ya wagagagigigoko